Mume wa shangazi ananitaka kimapenzi, naomba ushauri

Kama yote haya ni kweli, kosa lako usingemuahidi anko, mkatalie tu kimya kimya na yataisha.

Mimi nilikataliwa na dada wa kazi mwenye msimamo na nikatulia tukaishi vizuri tu, wanaume tunajua kusonga mbele na maisha pale ukikataliwa na hatuweki visasi.
Mimi nilikataliwa na dada wa kazi mwenye msimamo na nikatulia tukaishi vizuri tu,[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Sio chai ya pilipili.Maisha yako yanaandamwa na mikosi huo ni mtego ili ukose msaada.
Ukimwambia ant yako jiandae kutimuliwa home hapo utaonekana Kirusi.
Ukimpa jamaa,utakuwa umemtendea mabaya sana ant yako na Huwa hakunaga Siri ipo siku itafichuka.
Hapo tegemea kifo.
Huyo anko wako ni mateka ajitambui kapigwa upofu, mwambie tu kwa upole na hekima ili umzibue Nyege zake zirudi chini huku ukimuahidi kumtunzia siri.
Usimwambie ant wanawake ni watu wa visasi na hawasahau mambo utajuta maisha yako yote ukiwaambia ukwel.
Mimi nilitongoza dada wa kazi sawa na anko wako hivyo hivyo then akasema live mtu tatu kati japo niliipangua hadi Leo ipo njia panda na kubanwa kote lakini mwanaume usikubali kuweka silaha chini na ukaomba msamaha itakucost Bora ibakie tu kati ukwel si ukwel uongo Sio uongo ili kuinusuru ndoa.
Mimi hata mdada atembee uchi siwezi nimekoma.
Unaweza ukadhalilika kwa ndugu na jamaa kwa aibu
Kama unapenda hizo mambo siku zote jitahidi kuuishi huu msemo: When you strike at a king, you MUST kill him!

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Mimi elimu yangu sio kubwa niliishia std 7, nina miaka 19, nimepitia changamoto nyingi sana za maisha. Mama na baba walitengana mimi nikiwa darasa la pili, kwahiyo nimeishi na baba kijijini huko mpaka nikamaliza la 7.

Nilipomaliza nikipata kazi za ndani mjini, nikaenda kwa huyo mama kufanya u house girl. Nimefanya miaka 3 sikuwahi kurudi kijijini ila baba nilikuwa namtumia pesa.

Kwa bahati mbaya mwaka Jana nikapata mimba baada ya kuanza tu mahusiano kwa mara ya Kwanza na kijana mmoja hivi. Yule mama alinifokea sana lakini akanifanya kama mwanae na yule kijana akawa anatoa sapoti ya huduma. Lakini kabla sijajifungua yule kijana aliondoka kwenda kwao hatoi tena ushirikiano na nilipoongea na kaka yake akasema huyo kijana kashaoa na hatakuja tena mjini.

Hadi Sasa Nina miezi 8 tangu nijifungue mtoto wa kike. Lakini tangu nimejifungua yule mama alikuwa ananinyanyasa kisa sina mtu anayenisapoti mahitaji.

Kuna shangazi yangu wa damu kabisa anaishi kwenye hili Jiji nilipo nikampigia nikamweleza akaniambia anaongea na mme wake waone Cha kufanya. Akanipa jibu kwa anko amekubali niende kukaa kwao maana wamejenga Wana nyumba mbili na watoto ni Wawili tu wakike wadogo tu wa kwanza Darasa la tatu na wapili ni chekechea.

Kimwonekano shangazi yangu ni kama tunalingana ila umri kanizidi hata anko mwenyewe ni kijana bado sema amefanikiwa kimaisha mapema.

Nina miezi mitatu nipo hapa ni watu ambao wapo bize sana maana kukicha asubuhi anti anaenda kusimamia biashara zao na anko anaenda kazini alikoajiriwa kwenye kampuni moja. Watoto wote wanaenda shule nyumbani nabaki peke yangu.

Huyu anko sikuwa namfahamu tangu amuoe anti ndo mara ya kwanza, nilikuwa namsikia tu. Kimwonekano ni mpole, hana kisirani, sio mwongeaji sana mara nyingi bize na laptop yake.

Nikibaki peke yangu nyumbani, wakati wa kurudi wanaanza watoto Kisha anafuatia anko saa moja moja hivi ndo anafuatia anti lakini kama anko akipitia kwenye biashara zao wanarudi wote na anti.

Sasa tangu nimefika anko huwa wakati mwingine ananipa pesa ananiambia kwaajili ya matumizi yangu binafsi na mtoto. Nilikuja nikiwa na kiswaswadu, anko akanunua simu akampa anti, anti akanipa akaniambia anko wako kakununulia, nikashukiru sana maana sijawahi kutumia smartphone.

Siku moja kabla ya kuniambia niachotaka kusema, alishinda nyumbani wakati huo watoto wameenda shule na anti ameenda Kwenye eneo kusimamia biashara zao.

Alinipa pesa nikanunua nyama, akaniambia ikiiva nimwekee supu...nilifanya hivyo nikamwandalia nikamwekea mezani nikamwambia anko supu iko tayari akasema nimpelekee chumbani maana yupo bize na akasema mgeni yeyote akija nisiseme kama kama yupo. Nikampelekea nikamwekea huku akiwa bize na laptop yake pembeni chumbani kwao Kuna kiti na meza, alikuwa na bukta na singilendi.

Alipomaliza akaniita nitoe vyombo akaniambia Asante sana kwa supu, ilikuwa tamu sana, wewe ukiolewa utakuwa mke bora sana. Nikamwambia asante anko, nikaondoka.

Sasa Jumamosi kazini kwake huwa anarudi mchana, ana kawaida ya kupitia kwenye biashara zao kuangalia maendeleo lakini Jumamosi alinyoosha tu nyumbani. Alinikuta Mimi maana watoto walikuwa wameenda kucheza nyumba jirani.

Alirudi mnyonge, akaniita kwa Jina, nikaitika abee akaniambia njoo , alikuwa kwenye kichumba kidogo kina shelfu za vitabu vitabu watoto huwa wanasomea huko na yeye wakati mwingine anakuwaga ana laptop yake.

Nilipoingia alikuwa ameanamia chini kapiga magoti anachambua chambua makaratasi, anko huwa hana ujasiri sana wa kuongea, ila akaniambia unajua anti yako tumegombana na unajua ukali wake hadi sahivi akili yangu haiko sawa hata kazini kimawazo sipo sawa maana sijakutana nae mwezi mzima. Usione tunarudi wote ila kiukweli siko sawa kiakili. Mi naomba unisaidie mwili wangu hauko sawa nashindwa utulivu wa akili. Akasema samahani sana sio kwa vile upo kwangu usinifikirie vibaya, nakupa Uhuru, hata ukikataa siwezi kuchukia ila iwe siri usimwambie shangazi yako au mtu yeyote.

Nikamwambia anko Mimi leo sipo sawa nikiwa sawa nitakwambia, ila sikuwa hedhi nilikuwa nipo sawa tu, akasimama akanishika mkono akaniambia lini utakuwa sawa, nikamwambia baada ya siku tatu. Akaniambia sawa akanikumbatia kwa mara ya Kwanza niliwaza sana nakukosa amani.

Sasa hapa nipo Njiapanda, sielewi nifanyaje jamani, leo ni siku ya tatu tangu nimwambie kwamba nitakuwa tayari baada ya siku tatu, wiki hii ataniambia tena. Naomba ushauri, maana nawaza au nimwambie anti, nikisema niondoke mi sina Chochote, sina hapa pa kuanzia, baba mwenyewe kijijini anategemea nimtumie pesa. Halafu Sasa hata baba huwa anaongea na anko kumshukuru kwa kunipokea, anko anamwambia uwe na amani Yuko salama kabisa.

Naomba mnishauri nifanyaje.
We la saba wa wapi asiee, umeandika kwa grammar kali kabisa. Kuna watu na degree zao hata kuweka paragraph ni tatizo, kutumia r na l ni shida. Hongera sana.

Sasa ukimpa au usipompa kuna tatizo gani? au ataacha alama usoni?
 
Mwombe hela 2 million upate mtaji halafu uhame.
2mil apewe hana pa kwenda hana biashara unampoteza mwenzio.

mfundishe mbinu ya kumsaidia kesho maana kwa leo kashafeli lazima atatoa tu. Msaidie kesho asitoe tena yani atoe mara moja tu na iwe once and for life.

mara paap mara 1 na mimba juu na mwanaume aseme anataka uzae Huyu dada lazima ahisi Shetani ni pacha ake.
 
Huyu si wewe?
Au umebadili jinsia Mkuu?
Nilikua nasubiri hizi comments 😂😂😂
 
2mil apewe hana pa kwenda hana biashara unampoteza mwenzio.

mfundishe mbinu ya kumsaidia kesho maana kwa leo kashafeli lazima atatoa tu. Msaidie kesho asitoe tena yani atoe mara moja tu na iwe once and for life.

mara paap mara 1 na mimba juu na mwanaume aseme anataka uzae Huyu dada lazima ahisi Shetani ni pacha ake.
Hivi bado hamjamgundua huyu jamaa wakuu😂😂😂🙌
 
...yaani anko ana laptop unafikiri hapajui humu... Pole sana hukupaswa kuyaanika humu...

fanya kumkatalia maana kasema hatachukia...

kuhusu utaishije usijali karipoti police... Kama atakubhughuzi au kutaka kukudhuru
 
Binafsi nimemgundua,lakini natamani watu wasiangalie kwa namna ya Story waichukulie serious washauri maana Kuna mtu mahali yupo humu JF anapitia hii hali.

Watu wakitoa majibu pasipo wao kujua watakua wamemsaidia mtu mwingine mahali flani.
That's nice 🤝
 
Mimi elimu yangu sio kubwa niliishia std 7, nina miaka 19, nimepitia changamoto nyingi sana za maisha. Mama na baba walitengana mimi nikiwa darasa la pili, kwahiyo nimeishi na baba kijijini huko mpaka nikamaliza la 7.

Nilipomaliza nikipata kazi za ndani mjini, nikaenda kwa huyo mama kufanya u house girl. Nimefanya miaka 3 sikuwahi kurudi kijijini ila baba nilikuwa namtumia pesa.

Kwa bahati mbaya mwaka Jana nikapata mimba baada ya kuanza tu mahusiano kwa mara ya Kwanza na kijana mmoja hivi. Yule mama alinifokea sana lakini akanifanya kama mwanae na yule kijana akawa anatoa sapoti ya huduma. Lakini kabla sijajifungua yule kijana aliondoka kwenda kwao hatoi tena ushirikiano na nilipoongea na kaka yake akasema huyo kijana kashaoa na hatakuja tena mjini.

Hadi Sasa Nina miezi 8 tangu nijifungue mtoto wa kike. Lakini tangu nimejifungua yule mama alikuwa ananinyanyasa kisa sina mtu anayenisapoti mahitaji.

Kuna shangazi yangu wa damu kabisa anaishi kwenye hili Jiji nilipo nikampigia nikamweleza akaniambia anaongea na mme wake waone Cha kufanya. Akanipa jibu kwa anko amekubali niende kukaa kwao maana wamejenga Wana nyumba mbili na watoto ni Wawili tu wakike wadogo tu wa kwanza Darasa la tatu na wapili ni chekechea.

Kimwonekano shangazi yangu ni kama tunalingana ila umri kanizidi hata anko mwenyewe ni kijana bado sema amefanikiwa kimaisha mapema.

Nina miezi mitatu nipo hapa ni watu ambao wapo bize sana maana kukicha asubuhi anti anaenda kusimamia biashara zao na anko anaenda kazini alikoajiriwa kwenye kampuni moja. Watoto wote wanaenda shule nyumbani nabaki peke yangu.

Huyu anko sikuwa namfahamu tangu amuoe anti ndo mara ya kwanza, nilikuwa namsikia tu. Kimwonekano ni mpole, hana kisirani, sio mwongeaji sana mara nyingi bize na laptop yake.

Nikibaki peke yangu nyumbani, wakati wa kurudi wanaanza watoto Kisha anafuatia anko saa moja moja hivi ndo anafuatia anti lakini kama anko akipitia kwenye biashara zao wanarudi wote na anti.

Sasa tangu nimefika anko huwa wakati mwingine ananipa pesa ananiambia kwaajili ya matumizi yangu binafsi na mtoto. Nilikuja nikiwa na kiswaswadu, anko akanunua simu akampa anti, anti akanipa akaniambia anko wako kakununulia, nikashukiru sana maana sijawahi kutumia smartphone.

Siku moja kabla ya kuniambia niachotaka kusema, alishinda nyumbani wakati huo watoto wameenda shule na anti ameenda Kwenye eneo kusimamia biashara zao.

Alinipa pesa nikanunua nyama, akaniambia ikiiva nimwekee supu...nilifanya hivyo nikamwandalia nikamwekea mezani nikamwambia anko supu iko tayari akasema nimpelekee chumbani maana yupo bize na akasema mgeni yeyote akija nisiseme kama kama yupo. Nikampelekea nikamwekea huku akiwa bize na laptop yake pembeni chumbani kwao Kuna kiti na meza, alikuwa na bukta na singilendi.

Alipomaliza akaniita nitoe vyombo akaniambia Asante sana kwa supu, ilikuwa tamu sana, wewe ukiolewa utakuwa mke bora sana. Nikamwambia asante anko, nikaondoka.

Sasa Jumamosi kazini kwake huwa anarudi mchana, ana kawaida ya kupitia kwenye biashara zao kuangalia maendeleo lakini Jumamosi alinyoosha tu nyumbani. Alinikuta Mimi maana watoto walikuwa wameenda kucheza nyumba jirani.

Alirudi mnyonge, akaniita kwa Jina, nikaitika abee akaniambia njoo , alikuwa kwenye kichumba kidogo kina shelfu za vitabu vitabu watoto huwa wanasomea huko na yeye wakati mwingine anakuwaga ana laptop yake.

Nilipoingia alikuwa ameanamia chini kapiga magoti anachambua chambua makaratasi, anko huwa hana ujasiri sana wa kuongea, ila akaniambia unajua anti yako tumegombana na unajua ukali wake hadi sahivi akili yangu haiko sawa hata kazini kimawazo sipo sawa maana sijakutana nae mwezi mzima. Usione tunarudi wote ila kiukweli siko sawa kiakili. Mi naomba unisaidie mwili wangu hauko sawa nashindwa utulivu wa akili. Akasema samahani sana sio kwa vile upo kwangu usinifikirie vibaya, nakupa Uhuru, hata ukikataa siwezi kuchukia ila iwe siri usimwambie shangazi yako au mtu yeyote.

Nikamwambia anko Mimi leo sipo sawa nikiwa sawa nitakwambia, ila sikuwa hedhi nilikuwa nipo sawa tu, akasimama akanishika mkono akaniambia lini utakuwa sawa, nikamwambia baada ya siku tatu. Akaniambia sawa akanikumbatia kwa mara ya Kwanza niliwaza sana nakukosa amani.

Sasa hapa nipo Njiapanda, sielewi nifanyaje jamani, leo ni siku ya tatu tangu nimwambie kwamba nitakuwa tayari baada ya siku tatu, wiki hii ataniambia tena. Naomba ushauri, maana nawaza au nimwambie anti, nikisema niondoke mi sina Chochote, sina hapa pa kuanzia, baba mwenyewe kijijini anategemea nimtumie pesa. Halafu Sasa hata baba huwa anaongea na anko kumshukuru kwa kunipokea, anko anamwambia uwe na amani Yuko salama kabisa.

Naomba mnishauri nifanyaje.
Hakuna std seven hapaaa
 
Nimesoma Tu aya ya Kwanza nikachoka nilipoona n drs la 7 Ila ana mwandiko wa high school nikaona hii chai itanichoma... Mwenye andazi plz
 
Hongera zao walimu wako wa elimu ya awali na msingi.
 
Back
Top Bottom