Mume wa shangazi kwa Kiswahili sahihi anaitwaje?

huku kwetu tumezoea ni mjomba ila ni mkwe

Nadhani mjomba inaleta maana,lakini sidhani kama mkwe inaweza kuingia hapa..kwa sababu,mkwe ni yule aliye muoa mtoto wako wa kike au kuolewa na mtoto wako wa kiume-wewe kumuita hivyo au yeye kukuita hivyo....So nadhani mume wa shangazi ni sahihi kumuita mjomba.
 
Baba Shangazi, ndicho kiswahili chake sahihi japo wengine humwita huyo wakiume shangazi, ila iliyo kaa vizuri ni baba shangazi. Unaitaja kwakuunganisha pasipo kuacha nafasi kama hivi; Babashangazi.
 
Nadhani mjomba inaleta maana,lakini sidhani kama mkwe inaweza kuingia hapa..kwa sababu,mkwe ni yule aliye muoa mtoto wako wa kike au kuolewa na mtoto wako wa kiume-wewe kumuita hivyo au yeye kukuita hivyo....So nadhani mume wa shangazi ni sahihi kumuita mjomba.

Me hua namwita mjomba
 
Back
Top Bottom