Mume wa shangazi kwa Kiswahili sahihi anaitwaje?

Mume wa shangazi kwa Kiswahili sahihi anaitwaje?

wote mmekosea anaitwa Gurumo! :eyebrows:
 
Nyinyi mnaomwita mkaza shangazi mnatakiwa muhojiwe na tume ya maadili
 
Nyinyi mnaomwita mkaza shangazi mnatakiwa muhojiwe na tume ya maadili

ni sawa,niliwahi kuwasikia wataalamu wa lugha wakisema mume wa shangazi anaitwa 'mkaza shangazi' na mke wa mjomba anaitwa 'mkaza mjomba'.
 
mme wa shangazi ni mjomba wako,na mke wa mjomba ni shangazi hicho ndo kiswahili,siyo mkazap shangazi hicho ni kichaga
 
Mkaza shangazi ni kiswahili fasaha ila kwa karne hii ya kizazi cha nyoka maneno wanayatia najisi mpaka unaogopa kama hilo mkaza pia kuna kukanyaga na kusiginwa wameyavurugavuruga.
 
ni sawa,niliwahi kuwasikia wataalamu wa lugha wakisema mume wa shangazi anaitwa 'mkaza shangazi' na mke wa mjomba anaitwa 'mkaza mjomba'.

Mwenyewe nakumbuka marehemu babu alinambia mke wa mjomba aitwa Mkaza mjomba.
 
Back
Top Bottom