Anaitwa mkaza shangazi.
Ushaelekezwa, ndo ubadilike sasa.
sawa kabisa huyo ni mume wa MjombaAnaitwa Baba Shangazi, kwa kufupisha tunaita Ba Shangazi.
Nyinyi mnaomwita mkaza shangazi mnatakiwa muhojiwe na tume ya maadili
Anaitwa baba shangazi
Anaitwa "NKAZAHAU
ni sawa,niliwahi kuwasikia wataalamu wa lugha wakisema mume wa shangazi anaitwa 'mkaza shangazi' na mke wa mjomba anaitwa 'mkaza mjomba'.