Mume wa Spika Tulia kuwa Mkurugenzi EWURA, ni Mateso kwa taifa, Mafuta hayapatikani

No matter how beautiful she looks, someone somewhere is tired of her shit..


nimeipenda sana signature yako.
 
Hata mke wa clinton alikuja kuwa Waziri wa Nje wa US Na baadae akagombea uraisi wa nchi! Kama ana uwezo hakuna shida asibaguliwe kwa vile ni mke wa Spika!
Sasa unalinganisha huu usaka na Mama Bill Clinton?
Unadhani USA kuna teuzi za michongo kama Tanzania!Kule upewi Ubalozi achilia mbali Uwaziri bila kuhojiwa na Bunge la Marekani!
 
Ni kweli kuna uhaba wa Mafuta huko mokowani Kama kule Katavi na kuna Wafanyabiashara wa Mafuta tayari wameshakamatwa na EWURA kwa kuficha Mafuta ili kusubiri bei ilande ndiyo watowe Mzigo!!
 
Tatizo ni Ewura kama uwura!?
au tatizo Dr James Mwainyekule!?
Tatizo ni umume wa spika!?
Tatizo ni Spika!?
Tatizo ni umke wa mkurugenzi!?
Au tatizo ni dada Tulia Jackson!?

Kama vile siielewi maada
Imagine issue ya kuwa mke wa supika inaingiaje
 
Suluhisho ni kutafuta mwekezaji, aje achimbe haya mafuta tuliyonayo.
 
Aaha kumbe! Ndiyo maana Tulia mwezi uliopita alisema jimboni kwake Iyunga wananchi wanaunganishiwa umeme kwa shilingi 27,000/=! Mods wakawa wanaunyofoa uzi kumlinda!
 
Tatizo ni Ewura kama uwura!?
au tatizo Dr James Mwainyekule!?
Tatizo ni umume wa spika!?
Tatizo ni Spika!?
Tatizo ni umke wa mkurugenzi!?
Au tatizo ni dada Tulia Jackson!?

Kama vile siielewi maada
All the above
 
Too much conflict of interests
 
Hata mke wa clinton alikuja kuwa Waziri wa Nje wa US Na baadae akagombea uraisi wa nchi! Kama ana uwezo hakuna shida asibaguliwe kwa vile ni mke wa Spika!
Kugombea urais ni cheo gani?
Mawaziri wa US huthubitishwa kwa wingi wa kura na bunge la seneti.
 
Hatari Mno. Wanao safiri na magari madogo kati ya Dar hadi kigoma wana pata shida sana.

Ukishafika gairo, hakuna mafta, tabora hakuna mafuta. Kimsingi vituo vya nje ya mkoa vyote havina mafuta.
Vyote!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…