Mume wa Wolper

Kuna wanaume wagumu na sura zinavutia pia
Huyo wangu mi ni the best,,kila kitu anacho
Ndy mnasemaga hivyo,, mwisho wa siku zikipigwa simu mkiwa na hao waume zenu,,, mnakwenda kuongelea jikoni, , hivi mnatafutaga NINI kwengine Kama wamekamilika kila kitu?
 
Ndy mnasemaga hivyo,, mwisho wa siku zikipigwa simu mkiwa na hao waume zenu,,, mnakwenda kuongelea jikoni, , hivi mnatafutaga NINI kwengine Kama wamekamilika kila kitu?
Nyie wanaume ndio tuwaulize halaf hayo mengine
 
Sasa ngoja nikusaidie,
Sisi wanawake tunaposema mwanamme mzuri hatumaanishi 'mrembo', au 'mlaini',anayejiremba ama kuchekacheka au mwenye haiba ya kike!.
Tunamaanisha mwanamme mwenye mvuto,sura yake ni nzuri kiume!Yani sio mbaya!
Anavaa kiume,anajipenda na ana haiba ya kiume
Ni kama nyie mnapisifia makalio na rangi za wanawake na mnajiona mna haki ya kuwapenda hata sie pia japo tupo wengi kuna wanaume wanatuvutia pia
 
Hao ndiyo wengi.
Alafu wana dharau sana,hawathamini wanawake alafu na pesa hawana.
Kama MWANAUME mbaya,, pesa hana,, KITANDANI pia Hanna kitu,, hivi hadi unamkubali umevutiwa na nn? Kipo kilichokuvuta sio bure,,, 100% ni pesa au cheo chake NDY kilichokuvuta kumfata
 
Ndy mnasemaga hivyo,, mwisho wa siku zikipigwa simu mkiwa na hao waume zenu,,, mnakwenda kuongelea jikoni, , hivi mnatafutaga NINI kwengine Kama wamekamilika kila kitu?
Naona unahamisha mada
 
Kama MWANAUME mbaya,, pesa hana,, KITANDANI pia Hanna kitu,, hivi hadi unamkubali umevutiwa na nn? Kipo kilichokuvuta sio bure,,, 100% ni pesa au cheo chake NDY kilichokuvuta kumfata
Kwa sababu mwanamke atatembea na mwanamme wala sio Mbuzi.
No matter what,binadamu mwenye akili timamu mate wake ni binadamu.
Mwisho wa siku ukikosa unayemtaka utatoka na kilichopo.
 
Naona unahamisha mada
Nina maana Kama MWANAUME wako kakamilika kwa uzuri wake,, na Ana pesa,,, na Ana kila kitu KITANDANI.. Nn kinafanya uhangaike? Sasa jaribu sura NGUMU mkuu.. Hutokimbilia jikoni tena,,, kuongea na sm,,, hutoona cha kufata nje...
 
Mtu yeyote,akipata vyote anavyohitaji hawezi kufanya hivyo.
Ukiona hivyo kuna shida mahali.
 
Kwa sababu mwanamke atatembea na mwanamme wala sio Mbuzi.
No matter what,binadamu mwenye akili timamu mate wake ni binadamu.
Mwisho wa siku ukikosa unayemtaka utatoka na kilichopo.
Sio kweli,,, Hata siku moja huwezi kumkuta kipepeo kwenye majani makavu,,, kipepeo hufata maua mazuri,, tena yanayopendeza,, sasa siku ukimkuta kipepeo ktk majani makavu basi elewa ipo sababu,, sasa mwanamke ukimkuta yupo kwa MWANAUME sura NGUMU,, au mbaya elewa kuna kitu special anacho,,,, hebu jiulize jack wolper kaona hao warembo wanaume wangapi? Akaamua kunasa kwa hyo mnayemuita sura NGUMU? kwhyo MWANAUME Kama UNA SURA NGUMU,, Kama Huna pesa na KITANDANI Huna kitu,, huwezi kuwapata wanawake,, so Huyo jamaa anacho something so special that jack wolper never seen before,, mwacheni ajilie BUMUNDA lake
 
Brown
Mwanamme anapiga piga mapicha na kujiremba ovyo.
Yani anashinda Gym na kutinda nyusi awanase wanawake wenye pesa .
Mwanamme mdangaji simpendi kabisa.
Wanatutesa kimapenzi na pesa wanataka shenze.Afanye kazi aache umariyoo
Na zile tattoo mwili mzima loh!!mwanaume anapaka lip shine hahha inahu
 
Jack ana haraka ya ndoa haangalii hata kama vingine anataka ndoa arushe picha insta
 
Usishangae hata mahali Wolper kajichangia.Maana alikuwa anataka sana ndoa.Na condition ya kumkubalia ilikuwa ni Ndoa.
 
Duuh karne hii wanaume tusio ma hechibiii tutakwisha.

wacha nibebe box nitafute vidolari nikachonge pua kama Wako Jacko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…