Mume wa Wolper

Mume wa Wolper

hebu tuwekee picha yake tumune huyo the best wako
Nawe unapenda ubuyu
IMG-20180120-WA0002.jpg

Huyo hapo ni member wa humu hhhaa
 
Huyu ndiye atatuliza kitenesi chake maana tumeonyweshwa Wengi. Naye anataka mtoto jamani
 
Tuwavutie...

Sasa kapicha kangu na virasta vyangu[nataka kufuga] kakirushiwa wakati naengage kama huyu bwana si nitaghairi kuoa.
We mzuri unatosha ulivyo ila nenepa kidogo una mwili wa kichoyoo
 
We mzuri unatosha ulivyo ila nenepa kidogo una mwili wa kichoyoo
Halafu nyie ndiyo mnasababisha wanakuwa mashoga mwanaume mzuri?? Wapi tako, guu, au kifua.

kunenepa sijaanza leo kuambiwa toka nipo shule.. nilikuwa nikirudi nyumbani mama anachukia hatari.. hapo hapo anachinjwa kuku nalazimishwa kumla hadi nimmalize mwenyewe. Lakini wapi? Nipe dawa basi nifutuke kama nanii
 
Ukikaa na mie lazima upate kashavu,,,fanya likizo moja uwe karibu yangu
 
Hahaha wee mi navyopenda ukuni itabdi uwe unahamia kitandani tunapiga 3some,,zikiongezeka na zako atajutaaa atajua ule msemo mwanaume mashine au laaaa
Aisee hii comment yako mpaka nimedinda. Na hapa sijapata K nina wiki 3 sasa. Dah asalale mtoto umenichanganya kwa kweli.
 
Back
Top Bottom