Mume wa Zari na wenzake wakamatwa Afrika Kusini

Okei.. Tuifuatilie movie hii.
Kipimo murua kabisa kwa Zari na Diamond.
 
Mkewe lazima atakua anajua baadhi ya dawa
ndio maana jamaa hasikii wala haoni
 
Aisee yaani Kama manyaunyau....???
 
Mume wa zari siyo dmond tena wewe utakuwa umetumwa na ubaya wewe make anahangaika sana!
 
mmmmmmmmmmmmmmmmmm,mbona balaa wamekua pweza wamejipalilia makaa ya moto wenyewe...
 
'' sangomas' hili neno linatumiwa sana na waganda kwa raia wao wanaoishi south africa..acheni ushamba nyie halihusiani na uganga wa kienyeji...kuna mmoja hapo anaitwa katsha ana kesi ya fraud zaidi ya dola milioni moja,,nadhani ndio itakuwa hiyo imewaunganisha
 
ukisikia u sangoma unajua ni wa mnayanga??????????
 
hata yule goalkeeper wao(DENNIS ONYANGO)anayedakia supersport fc anaitwa sangoma sababu anaishi south africa?kaulize mombasa na nairobi kina ustaaz j na musoma au marehemu jilala walivyokuwa wanapiga watu hela kwa uganga feki
 
Dah,nimemkumbuka marehemu Ng'wizukulu Jilala aliyefarikia Angola, hizo ndo zilikuwa ishu zake hizo,Mara ya kwanza na ya mwisho kumwona Ng'wizukulu ilikuwa nchini Namibia mwaka 2004.Kifo chake kilihusiana na mambo haya haya usangoma.
Kabla ya kifo chake waliwekeana mkwara na marehemu JB,JB alimwambia Mtemi Jilala mjukuu wa Mwanamalundi kuwa utakufa kifo kibaya sana na yeye akamjibu utakufa kama mimi na wote walikufa kwa kupigwa risasi kwa wakati tofauti na matukio tofauti.
 
Aisee kwa mpunga walio nao hawa jamaa lazima sembe inahusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…