Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waganga wanagongaga mademu wakali Mie nlijua jamaa ni bizness tycoon kumbe mpiga tunguli Haaaa.
Waganga wanagongaga mademu wakali Mie nlijua jamaa ni bizness tycoon kumbe mpiga tunguli Haaaa.
Tulale tupitwe?! Akaaaaa lala weweBongo hatulali kwa umbea!
Mganga hajigangiSasa imekuaje mondi akampora mke kama yeye ni sangoma, si amloge tu arudishe mke
Ngoja waje team domo....Diamond ni punda wa Kinje na kampuni yao ni ile ile ya kina babu tale..
Ngoja waje team domo....
kaikamilisheMmmmhhh hii habari haijakamilika!
Mkuu unaposema kipimo una maanisha nini?Okei.. Tuifuatilie movie hii.
Kipimo murua kabisa kwa Zari na Diamond.
ukisikia u sangoma unajua ni wa mnayanga??????????'' sangomas' hili neno linatumiwa sana na waganda kwa raia wao wanaoishi south africa..acheni ushamba nyie halihusiani na uganga wa kienyeji...kuna mmoja hapo anaitwa katsha ana kesi ya fraud zaidi ya dola milioni moja,,nadhani ndio itakuwa hiyo imewaunganisha
hata yule goalkeeper wao(DENNIS ONYANGO)anayedakia supersport fc anaitwa sangoma sababu anaishi south africa?kaulize mombasa na nairobi kina ustaaz j na musoma au marehemu jilala walivyokuwa wanapiga watu hela kwa uganga feki'' sangomas' hili neno linatumiwa sana na waganda kwa raia wao wanaoishi south africa..acheni ushamba nyie halihusiani na uganga wa kienyeji...kuna mmoja hapo anaitwa katsha ana kesi ya fraud zaidi ya dola milioni moja,,nadhani ndio itakuwa hiyo imewaunganisha
Kabla ya kifo chake waliwekeana mkwara na marehemu JB,JB alimwambia Mtemi Jilala mjukuu wa Mwanamalundi kuwa utakufa kifo kibaya sana na yeye akamjibu utakufa kama mimi na wote walikufa kwa kupigwa risasi kwa wakati tofauti na matukio tofauti.Dah,nimemkumbuka marehemu Ng'wizukulu Jilala aliyefarikia Angola, hizo ndo zilikuwa ishu zake hizo,Mara ya kwanza na ya mwisho kumwona Ng'wizukulu ilikuwa nchini Namibia mwaka 2004.Kifo chake kilihusiana na mambo haya haya usangoma.
Mkewe lazima atakua anajua baadhi ya dawa
ndio maana jamaa hasikii wala haoni