Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

Ukitoka kuliwa,ukifika nyumbani osha mzigo mpe mumeo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tupia hata kapicha tuone huo uzuri wako
 
Unauza Mali isiyo hamishika.ukifika nyumbani osha kwa maji na sabuni,kisha mpe mmeo🤣🤣🤣🤣
 
We ni mwanamke mpambanaji, hongera sana na pole

Ila kwani umechepuka?

Ndoa ni mapambano pia, ulipaswa upambane, ila wewe uliwaza Mali tuu...
Kuchukuliwa na mtoto ...

Huyo mtoto ni jaribu na ni baraka ungemlea na kumpenda tuu
Yaani ili mwanamke ikisifu kwa jamii kua umepambana ni lazima nyeti zitobolewe na mtingozi
 
Wacha wakate tamaa kwani kila mtu si ana macho ya kujionea
 
Kwakweli mkakati wenu tumeushtukia

Haiwezekani nyuzi za kuchepuka zianzishwe na id mpya kila uchao

Lengo lenu Nini?

Wake zetu tuwaone wabaya au?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…