Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

Muwe wavumilivu huko nyuma...Foleni bado inasogea mtafikiwa[emoji3]
IMG_20230526_072019.jpg
 
Miaka kadhaa iliyopita mume wangu alimtambulisha mtoto wa nje katika familia yake ni wa kiume alikuwa ni mtu wa furaha sana na kujisifu kuwa kapata mtoto wa kiume na ndugu zake walimpongeza hasa mtoto alifanana nae. Japo mimi nilibaki na maumivu, kwani nimezaa nae watoto wawili wa kike tuu.
Katika maisha yangu nilipenda kuwa na mwanaume ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu. Ila haijakuwa hivyo. Nimelipokea japo nina maumivu.

Mume wangu ni mtu wa mfumo dume niseme. Akiongea ndani ya nyumba ndo ishakuwa hivyo. Aliniambia tuu mtoto huyu ni wangu na ataishi hapa kama hutaki basi waweza ondoka.
Nikasema tuu sawa, basi mtoto tunaishi nae hapa.

Tulijenga nyumba moja tulikuwa tunashirikiana kwa kila kitu kwa sababu mimi nina kazi na mume wangu pia na baadhi ya biashara. Na tulishaanza nyumba nyingine kujenga. Ila nilisimama baada ya tukio hilo lililonipa maumivu.

Nilishangaa sana mume wangu ana tabia ya kusema tuu yeye hana uwoga. Anasema kuwa huyu ni mtoto wangu wa kiume ndio atarithi mali zangu kwa kuwa anaendeleza jina langu. Mimi namuangalia tuu. Mtoto anapita nae mtaani kwa kujisifu hata mbele ya marafiki zake kwa kuwa mtoto kafananae. Na yeye mali zetu zipo kwa jina lake na mimi hata ushahidi kuwa nimeweka mkono sina ninabaki namuangalia tuu.

Miaka 3 iliyopita kuna kiwanja kimoja aliniachia marehemu Baba kipo Kigamboni kule ni kikubwa kiasi. Na mume wangu hajui hiko kiwanja. Ni mimi tu na ndugu zangu. Sasa nilipigania kuwa niwajengee watoto wangu nyumba pale japo mimi mama yao sina sio tajiri. Nikasema nitapambana tuu. Nilikuwa naweka vipesa vyangu baadhi na kujinyima. Hata pesa ya mume wangu ya matumizi nilikuwa naibana sana.
Biashara zetu na mume wangu nilikuwa nachota kiasi bila mume wangu kujua kabisa.

Nilianza msingi wa nyumba mbili kwenye eneo moja. Nyumba sio kubwa ni vyumba viwili tuu vya kulala, living na dining room, choo na store na jiko. Sio kubwa kivile.

Ilikuwa ngumu sana kwangu kuanza kujenga. Sasa siku moja nilikutana na Baba mmoja mtu mzima na ana mke na watoto wakubwa tuu. Nilikutana nae Karikoo kwenye duka moja hivi. Tulizoeana mapaka kupanga nichepuke nae.

Mkewe kuna kipindi nikamjua mpaka nyumbani kwake. Ni Baba mwenye uwezo tuu tena sana.
Mimi ni mwanamke nina mvuto kwa hio niliamini hawezi nikataa yule Baba. Mara nyingi tulikuwa tunakutana kwenye hotel. Nilimueleza shida zangu akasema atanisaidia.

Alinisaidia kumaliza msingi mpaka boma kuisha za vijumba vyangu. Nilijitahidi sana mume wangu asijue kwani yeye namjua reaction yake endapo akijua.

Yule Baba alikuwa ananifurahia sana, ila alikuwa ananionya kuwa kuwa makini mumeo asijue kabisa. Mimi namwambia tuu usijali ni kweli nilijitahidi mume wangu asijue kabisa. Nilikaa nae miaka 2 yote hio niliendelea nae bila my hubby kujua.

Yeye yuko busy na mtoto wake maana namuangalia tuu jinsi anavyomuhangaikia. Mwaka jana alinisaidia sana kuezeka vijumba vyangu.

Ila mwishoni mwa mwaka jana alihamishwa na kwenda Dodoma kikazi na mahusiano na mimi yaliisha.
Nikiri tuu alinisaidia sana yule Baba. Kwa kiasi kikubwa.

Sasa mwaka huu nilikutana na kijana mmoja mgahawa mmoja nilimpenda, nilijitahidi nikapata tukabadilishana namba najua hawezi kunikataa coz mimi ni mzuri najiamini. Niliingia nae kwenye mahusiano. Na sijamwambia kuwa ni mke wa mtu. Japo vijana ni wagumu kutoa pesa ila anajitahidi kiasi chake. Naamini atanisaidia hata kwenye biashara zangu binafsi, coz yeye anaagiza vitu China.

Najua wanaume mnakasirishwa na usaliti kama huu, najua wapo watanitukana na maneno juu. Lakini hata nyinyi ni wasaliti kwa wake zenu, thread zenu za michepuko mnashauriana sana humu JF.

Mume wangu kanipa donda kubwa sana, tena hata aibu anasema huyu ndo mrithi wangu. Yeye ni wale wanaume akisema basi wote mtii.
Namuangalia tuu na mwanae.

Sijaleta kama sifa ni matokeo ya maumivu niliyopata sikuwa na hiyo tabia kabisa.
Mwenye kuleta povu na alete tuu.
Ni bora watoto wakajijengea kuliko kuwajengea kwa mapato haramu
Alafu kushindana na mtu kwa ajili ya mtoto wake ni upuuzi
 
The best article in this year.Hail to you mama.Mimi sijaona baya ni results za a broken heart.Muhimu usimchukie huyo mtoto wake pia tumia kinga.Kazi iendelee Hawa wanaume wanatuonaga sisi maboya Sana.Safiiiii.
 
Zaa mtoto mwingine tena. Ongezea na mwingine
 
roho ya kisasi sio nzuri
 
Dada umeamua[emoji23][emoji38][emoji38][emoji13]
 
Hivi kuna mtu kaona namna uandishi wa hawa wanaojiita wanawake wanaosaliti waume zao unafanana sana, hadi makosa ya kiuandishi..??

Hii thread ni ya 3 kitu ni kile kile, hivyo wake za watu wote mnaochepuka mnajikuta wote hamjui kuandika Kiswahili sanifu siyo..??

Hongereni attention seekers..!!
Carleen sijakuelewa dear?
 
Hata nyie ukishindana na mwanamke unapunguza umri wako wa kuishi tuu.
Kupitia sehemu zangu za siri.
Inaelekea unapenda sana kupambana na mumeo ila usisaha siku amajua unamsaliti ndo siku mke mwenzako atakuwa mke na wewe utakuwa mchepuko ndani ya nyumba yako mwenyewe. Huyo baba hao ni watoto wake wote so usidhan atawabagua. Hizo nyumba unajenga ataishi nani maana zitakuwa ni zasiri
 
Back
Top Bottom