Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

Unaonekana una ka nature kaumalaya tu, sema umetafuta excuse ya kujieleza hapa jf, ungeachana na mumeo hapo tungekuona shujaa, ila ni tabia uliyonaya nna mashaka hata kabla ya kuolewa na mumeo.
Unautumia uzuri wako economically and financially, sema tu sa hivi umepata sababu ya kanzishia uzi wa katabia kako.
Hao watoto wawili wa kike sidhani kama ni wa mumeo.
Tuliosomea Russia tushaelewa.
 
Tangu kuchepuka kwako umewahi kusahau hayo maumivu ya kuletewa mtoto wa nje??
Mimi nimemuelewa kuwa hawezi kusahau hayo maumivu, badala yake anatafuta wanaume wa kuchepuka naye halafu awapige vizinga akamalizie nyumba.

Si umeona yule mzee aliyehamishiwa Dom alimsaidia msingi hadi boma...!!
 
Anatafuta uhalali wa kuendelea kukazwa.
Huu ni ugonjwa. Unaanza pale binti akiwa shule na kuanza zinaa.

Mtoto wa kike akianza zina mwisho huwa malaya. Na haya ndio matokeo yake.

Ndio maana tunaamini mtoto wa kike ana haki ya kuolewa huku unaendelea na masomo ili kumuepusha na hili jinamizi la umalaya.

Hali hii ya umalaya ni ya kimfumo. Hivyo wote wawili ni kizazi cha unalaya.

Haya ulifanyie nini mtachepuka tu.

Nina mwaka wa 10 toka nimeoa sijachuka. Na juzi niliachiwa msichana wa kazi niishi nae mke akiwa kapata safari.

Kakaa siku 3 tu, siku ya nne nimemwambia arudi kwao. Kwani sheria hairuhu kukaa tukiwa wawili pekee. Ni baada ya kuona naanza kumtamani.

Jana nimesoma twitter mwanamke kefanya umalaya hadi kazaa. Sasa kapata mchumba ambae kwanza alimficha. Baadae akajamwambia ana mtoto. Mwanamme kamtema. Mwanamke anamshangaa kwa kosa gn anatamwa. Anauliza kwanini ninyi wanaume hampendi watoto wa wenzenu.

Jilo ndilo jinamizi la umalaya.

Huku dume kuleta mtoto demu kafungulia.

Kule demu katambulisha mtoto dume kaachia.

Waungwa wanaoamini mke wa mtu...... hyams hiyo imejileta. Kisu chako tu.
 
Miaka kadhaa iliyopita mume wangu alimtambulisha mtoto wa nje katika familia yake ni wa kiume alikuwa ni mtu wa furaha sana na kujisifu kuwa kapata mtoto wa kiume na ndugu zake walimpongeza hasa mtoto alifanana nae. Japo mimi nilibaki na maumivu, kwani nimezaa nae watoto wawili wa kike tuu.
Katika maisha yangu nilipenda kuwa na mwanaume ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu. Ila haijakuwa hivyo. Nimelipokea japo nina maumivu.

Mume wangu ni mtu wa mfumo dume niseme. Akiongea ndani ya nyumba ndo ishakuwa hivyo. Aliniambia tuu mtoto huyu ni wangu na ataishi hapa kama hutaki basi waweza ondoka.
Nikasema tuu sawa, basi mtoto tunaishi nae hapa.

Tulijenga nyumba moja tulikuwa tunashirikiana kwa kila kitu kwa sababu mimi nina kazi na mume wangu pia na baadhi ya biashara. Na tulishaanza nyumba nyingine kujenga. Ila nilisimama baada ya tukio hilo lililonipa maumivu.

Nilishangaa sana mume wangu ana tabia ya kusema tuu yeye hana uwoga. Anasema kuwa huyu ni mtoto wangu wa kiume ndio atarithi mali zangu kwa kuwa anaendeleza jina langu. Mimi namuangalia tuu. Mtoto anapita nae mtaani kwa kujisifu hata mbele ya marafiki zake kwa kuwa mtoto kafananae. Na yeye mali zetu zipo kwa jina lake na mimi hata ushahidi kuwa nimeweka mkono sina ninabaki namuangalia tuu.

Miaka 3 iliyopita kuna kiwanja kimoja aliniachia marehemu Baba kipo Kigamboni kule ni kikubwa kiasi. Na mume wangu hajui hiko kiwanja. Ni mimi tu na ndugu zangu. Sasa nilipigania kuwa niwajengee watoto wangu nyumba pale japo mimi mama yao sina sio tajiri. Nikasema nitapambana tuu. Nilikuwa naweka vipesa vyangu baadhi na kujinyima. Hata pesa ya mume wangu ya matumizi nilikuwa naibana sana.
Biashara zetu na mume wangu nilikuwa nachota kiasi bila mume wangu kujua kabisa.

Nilianza msingi wa nyumba mbili kwenye eneo moja. Nyumba sio kubwa ni vyumba viwili tuu vya kulala, living na dining room, choo na store na jiko. Sio kubwa kivile.

Ilikuwa ngumu sana kwangu kuanza kujenga. Sasa siku moja nilikutana na Baba mmoja mtu mzima na ana mke na watoto wakubwa tuu. Nilikutana nae Karikoo kwenye duka moja hivi. Tulizoeana mapaka kupanga nichepuke nae.

Mkewe kuna kipindi nikamjua mpaka nyumbani kwake. Ni Baba mwenye uwezo tuu tena sana.
Mimi ni mwanamke nina mvuto kwa hio niliamini hawezi nikataa yule Baba. Mara nyingi tulikuwa tunakutana kwenye hotel. Nilimueleza shida zangu akasema atanisaidia.

Alinisaidia kumaliza msingi mpaka boma kuisha za vijumba vyangu. Nilijitahidi sana mume wangu asijue kwani yeye namjua reaction yake endapo akijua.

Yule Baba alikuwa ananifurahia sana, ila alikuwa ananionya kuwa kuwa makini mumeo asijue kabisa. Mimi namwambia tuu usijali ni kweli nilijitahidi mume wangu asijue kabisa. Nilikaa nae miaka 2 yote hio niliendelea nae bila my hubby kujua.

Yeye yuko busy na mtoto wake maana namuangalia tuu jinsi anavyomuhangaikia. Mwaka jana alinisaidia sana kuezeka vijumba vyangu.

Ila mwishoni mwa mwaka jana alihamishwa na kwenda Dodoma kikazi na mahusiano na mimi yaliisha.
Nikiri tuu alinisaidia sana yule Baba. Kwa kiasi kikubwa.

Sasa mwaka huu nilikutana na kijana mmoja mgahawa mmoja nilimpenda, nilijitahidi nikapata tukabadilishana namba najua hawezi kunikataa coz mimi ni mzuri najiamini. Niliingia nae kwenye mahusiano. Na sijamwambia kuwa ni mke wa mtu. Japo vijana ni wagumu kutoa guypesa ila anajitahidi kiasi chake. Naamini atanisaidia hata kwenye biashara zangu binafsi, coz yeye anaagiza vitu China.

Najua wanaume mnakasirishwa na usaliti kama huu, najua wapo watanitukana na maneno juu. Lakini hata nyinyi ni wasaliti kwa wake zenu, thread zenu za michepuko mnashauriana sana humu JF.

Mume wangu kanipa donda kubwa sana, tena hata aibu anasema huyu ndo mrithi wangu. Yeye ni wale wanaume akisema basi wote mtii.
Namuangalia tuu na mwanae.

Sijaleta kama sifa ni matokeo ya maumivu niliyopata sikuwa na hiyo tabia kabisa.
Mwenye kuleta povu na alete tuu.
Umefanya vzuri kupambana kwa ajili ya watoto wako.
Hatua ulofikia achana na huyo kijana baki na huyo mume wako uendelee kumalizia hizo nyumba taratibu.
Akimrithisha huyo wa nje na ww utakua unachakuwarithisha wa kwako.
Usikubali wa kwako kuharibikiwa kwa sabb hata huyo mwanamke mwenzio hatakubali huyo wa kwake kuharibikiwa.
Ila tu kua mama mzuri kwa watoto wote wa ndani na wa nje, utaona Mungu atakavo kufungulia njia.
 
Ndoa haziko straight hivyo...kwamba unaamua kufanya lolote at any time t...
Huu ni urongoo...
 
Wanaume mnaumizwa sana na usaliti wa namna hii.
Nawajua mnaumia sana
Wewe umevurugwa,endelea kutafuta mwanamme mwingine akununulie gari,yaani utom.b.e she *** kma yako Mimi niumie!?

Kwangu mimi ni kufukuza kwangu ili UK.t.ombeshe vizuri,eti wanaume wanaumia, wa wapi wewe, ehhe we wapi!?
 
Miaka kadhaa iliyopita mume wangu alimtambulisha mtoto wa nje katika familia yake ni wa kiume alikuwa ni mtu wa furaha sana na kujisifu kuwa kapata mtoto wa kiume na ndugu zake walimpongeza hasa mtoto alifanana nae. Japo mimi nilibaki na maumivu, kwani nimezaa nae watoto wawili wa kike tuu.
Katika maisha yangu nilipenda kuwa na mwanaume ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu. Ila haijakuwa hivyo. Nimelipokea japo nina maumivu.

Mume wangu ni mtu wa mfumo dume niseme. Akiongea ndani ya nyumba ndo ishakuwa hivyo. Aliniambia tuu mtoto huyu ni wangu na ataishi hapa kama hutaki basi waweza ondoka.
Nikasema tuu sawa, basi mtoto tunaishi nae hapa.

Tulijenga nyumba moja tulikuwa tunashirikiana kwa kila kitu kwa sababu mimi nina kazi na mume wangu pia na baadhi ya biashara. Na tulishaanza nyumba nyingine kujenga. Ila nilisimama baada ya tukio hilo lililonipa maumivu.

Nilishangaa sana mume wangu ana tabia ya kusema tuu yeye hana uwoga. Anasema kuwa huyu ni mtoto wangu wa kiume ndio atarithi mali zangu kwa kuwa anaendeleza jina langu. Mimi namuangalia tuu. Mtoto anapita nae mtaani kwa kujisifu hata mbele ya marafiki zake kwa kuwa mtoto kafananae. Na yeye mali zetu zipo kwa jina lake na mimi hata ushahidi kuwa nimeweka mkono sina ninabaki namuangalia tuu.

Miaka 3 iliyopita kuna kiwanja kimoja aliniachia marehemu Baba kipo Kigamboni kule ni kikubwa kiasi. Na mume wangu hajui hiko kiwanja. Ni mimi tu na ndugu zangu. Sasa nilipigania kuwa niwajengee watoto wangu nyumba pale japo mimi mama yao sina sio tajiri. Nikasema nitapambana tuu. Nilikuwa naweka vipesa vyangu baadhi na kujinyima. Hata pesa ya mume wangu ya matumizi nilikuwa naibana sana.
Biashara zetu na mume wangu nilikuwa nachota kiasi bila mume wangu kujua kabisa.

Nilianza msingi wa nyumba mbili kwenye eneo moja. Nyumba sio kubwa ni vyumba viwili tuu vya kulala, living na dining room, choo na store na jiko. Sio kubwa kivile.

Ilikuwa ngumu sana kwangu kuanza kujenga. Sasa siku moja nilikutana na Baba mmoja mtu mzima na ana mke na watoto wakubwa tuu. Nilikutana nae Karikoo kwenye duka moja hivi. Tulizoeana mapaka kupanga nichepuke nae.

Mkewe kuna kipindi nikamjua mpaka nyumbani kwake. Ni Baba mwenye uwezo tuu tena sana.
Mimi ni mwanamke nina mvuto kwa hio niliamini hawezi nikataa yule Baba. Mara nyingi tulikuwa tunakutana kwenye hotel. Nilimueleza shida zangu akasema atanisaidia.

Alinisaidia kumaliza msingi mpaka boma kuisha za vijumba vyangu. Nilijitahidi sana mume wangu asijue kwani yeye namjua reaction yake endapo akijua.

Yule Baba alikuwa ananifurahia sana, ila alikuwa ananionya kuwa kuwa makini mumeo asijue kabisa. Mimi namwambia tuu usijali ni kweli nilijitahidi mume wangu asijue kabisa. Nilikaa nae miaka 2 yote hio niliendelea nae bila my hubby kujua.

Yeye yuko busy na mtoto wake maana namuangalia tuu jinsi anavyomuhangaikia. Mwaka jana alinisaidia sana kuezeka vijumba vyangu.

Ila mwishoni mwa mwaka jana alihamishwa na kwenda Dodoma kikazi na mahusiano na mimi yaliisha.
Nikiri tuu alinisaidia sana yule Baba. Kwa kiasi kikubwa.

Sasa mwaka huu nilikutana na kijana mmoja mgahawa mmoja nilimpenda, nilijitahidi nikapata tukabadilishana namba najua hawezi kunikataa coz mimi ni mzuri najiamini. Niliingia nae kwenye mahusiano. Na sijamwambia kuwa ni mke wa mtu. Japo vijana ni wagumu kutoa pesa ila anajitahidi kiasi chake. Naamini atanisaidia hata kwenye biashara zangu binafsi, coz yeye anaagiza vitu China.

Najua wanaume mnakasirishwa na usaliti kama huu, najua wapo watanitukana na maneno juu. Lakini hata nyinyi ni wasaliti kwa wake zenu, thread zenu za michepuko mnashauriana sana humu JF.

Mume wangu kanipa donda kubwa sana, tena hata aibu anasema huyu ndo mrithi wangu. Yeye ni wale wanaume akisema basi wote mtii.
Namuangalia tuu na mwanae.

Sijaleta kama sifa ni matokeo ya maumivu niliyopata sikuwa na hiyo tabia kabisa.
Mwenye kuleta povu na alete tuu.
Mwisho wa siku kinachotafutwa ni furaha. Kama furaha unaipata nje nenda kaitafute. Pia kumbuka watoto wanahitaji furaha zaidi. Sema yakibumburuka ndo pale mnagawana ofisi za serikali kama usemavyo mtaa.
 
Pole.

Ila mmeo anastahili pole zaidi, sababu afanya mambo ya kumletea uharibifu zaidi.

Michepuko na mazao yote ya uchepukaji ni chukizo kubwa kwa Mungu.

Hosea 1:2-9
 
Mwenzako kafanya mapenzi nje kwa lengo la kukuza uzao, wewe unafanya nje kwa tamaa ya mali😁
 
Miaka kadhaa iliyopita mume wangu alimtambulisha mtoto wa nje katika familia yake ni wa kiume alikuwa ni mtu wa furaha sana na kujisifu kuwa kapata mtoto wa kiume na ndugu zake walimpongeza hasa mtoto alifanana nae. Japo mimi nilibaki na maumivu, kwani nimezaa nae watoto wawili wa kike tuu.
Katika maisha yangu nilipenda kuwa na mwanaume ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu. Ila haijakuwa hivyo. Nimelipokea japo nina maumivu.

Mume wangu ni mtu wa mfumo dume niseme. Akiongea ndani ya nyumba ndo ishakuwa hivyo. Aliniambia tuu mtoto huyu ni wangu na ataishi hapa kama hutaki basi waweza ondoka.
Nikasema tuu sawa, basi mtoto tunaishi nae hapa.

Tulijenga nyumba moja tulikuwa tunashirikiana kwa kila kitu kwa sababu mimi nina kazi na mume wangu pia na baadhi ya biashara. Na tulishaanza nyumba nyingine kujenga. Ila nilisimama baada ya tukio hilo lililonipa maumivu.

Nilishangaa sana mume wangu ana tabia ya kusema tuu yeye hana uwoga. Anasema kuwa huyu ni mtoto wangu wa kiume ndio atarithi mali zangu kwa kuwa anaendeleza jina langu. Mimi namuangalia tuu. Mtoto anapita nae mtaani kwa kujisifu hata mbele ya marafiki zake kwa kuwa mtoto kafananae. Na yeye mali zetu zipo kwa jina lake na mimi hata ushahidi kuwa nimeweka mkono sina ninabaki namuangalia tuu.

Miaka 3 iliyopita kuna kiwanja kimoja aliniachia marehemu Baba kipo Kigamboni kule ni kikubwa kiasi. Na mume wangu hajui hiko kiwanja. Ni mimi tu na ndugu zangu. Sasa nilipigania kuwa niwajengee watoto wangu nyumba pale japo mimi mama yao sina sio tajiri. Nikasema nitapambana tuu. Nilikuwa naweka vipesa vyangu baadhi na kujinyima. Hata pesa ya mume wangu ya matumizi nilikuwa naibana sana.
Biashara zetu na mume wangu nilikuwa nachota kiasi bila mume wangu kujua kabisa.

Nilianza msingi wa nyumba mbili kwenye eneo moja. Nyumba sio kubwa ni vyumba viwili tuu vya kulala, living na dining room, choo na store na jiko. Sio kubwa kivile.

Ilikuwa ngumu sana kwangu kuanza kujenga. Sasa siku moja nilikutana na Baba mmoja mtu mzima na ana mke na watoto wakubwa tuu. Nilikutana nae Karikoo kwenye duka moja hivi. Tulizoeana mapaka kupanga nichepuke nae.

Mkewe kuna kipindi nikamjua mpaka nyumbani kwake. Ni Baba mwenye uwezo tuu tena sana.
Mimi ni mwanamke nina mvuto kwa hio niliamini hawezi nikataa yule Baba. Mara nyingi tulikuwa tunakutana kwenye hotel. Nilimueleza shida zangu akasema atanisaidia.

Alinisaidia kumaliza msingi mpaka boma kuisha za vijumba vyangu. Nilijitahidi sana mume wangu asijue kwani yeye namjua reaction yake endapo akijua.

Yule Baba alikuwa ananifurahia sana, ila alikuwa ananionya kuwa kuwa makini mumeo asijue kabisa. Mimi namwambia tuu usijali ni kweli nilijitahidi mume wangu asijue kabisa. Nilikaa nae miaka 2 yote hio niliendelea nae bila my hubby kujua.

Yeye yuko busy na mtoto wake maana namuangalia tuu jinsi anavyomuhangaikia. Mwaka jana alinisaidia sana kuezeka vijumba vyangu.

Ila mwishoni mwa mwaka jana alihamishwa na kwenda Dodoma kikazi na mahusiano na mimi yaliisha.
Nikiri tuu alinisaidia sana yule Baba. Kwa kiasi kikubwa.

Sasa mwaka huu nilikutana na kijana mmoja mgahawa mmoja nilimpenda, nilijitahidi nikapata tukabadilishana namba najua hawezi kunikataa coz mimi ni mzuri najiamini. Niliingia nae kwenye mahusiano. Na sijamwambia kuwa ni mke wa mtu. Japo vijana ni wagumu kutoa pesa ila anajitahidi kiasi chake. Naamini atanisaidia hata kwenye biashara zangu binafsi, coz yeye anaagiza vitu China.

Najua wanaume mnakasirishwa na usaliti kama huu, najua wapo watanitukana na maneno juu. Lakini hata nyinyi ni wasaliti kwa wake zenu, thread zenu za michepuko mnashauriana sana humu JF.

Mume wangu kanipa donda kubwa sana, tena hata aibu anasema huyu ndo mrithi wangu. Yeye ni wale wanaume akisema basi wote mtii.
Namuangalia tuu na mwanae.

Sijaleta kama sifa ni matokeo ya maumivu niliyopata sikuwa na hiyo tabia kabisa.
Mwenye kuleta povu na alete tuu.
Je huko kutoka kumekusaidia? Kama unataka visasi jino kwa jino kamwambie ukweli mumeo kuwa nawe unacheza kama yeye. Ila katika vita hii unaweza kuumia zaidi ya huyo mhuni wako. Kama mna watoto ndiyo watakaolipia
 
Mbinu unazotumia hazikusaidii zaidi ya kukuitia shida zaidi, yaani shetani unapambana nae kwa wewe kumvaa shetani pia, utakufa vibaya na aliyetakiwa kufa vibaya alikua ni mwanaume wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mme wako ni mkoloni ulimkubaliaje
 
Toka uanze kubong'olewa huko nje hasira zimeisha, hata hivyo kama kitu jamaa hakijui jua kabisa unajiumiza wewe na yeye haumii lolote. Ukitaka aumie kama ambavyo wewe uliumia siku moja mwambie na mimi nina mchepuko wangu unanisaidia kujenga nyumba. Tofauti na hapo unaumiza papuchi zakobtu na hakuna mtu atakuja kuumia ila uchi wako tu.
 
Back
Top Bottom