Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

Pole kwa yote! Unachepuka ili upate wa kukujengea? Nakushauri pambana na biashara zako, hizo tabia za ajabu zitaishia pabaya.
 
Ukishindana na mwanaume zitakazoumia ni sehemu zako za siri tu.

Tafuta note duniani ukikuta mke kaolewa na mume zaidi ya mmoja then go ahead.
Pole dada lakini umefanya kosa sana kutumia style ya tit for tat (jino kwa jino).Mme alikusaliti mara moja na akajisalimisha kumtambulisha mtoto kwako
.Wewe tayari umeshachepuka na watu wawili yet hujamueleza na umejenga nyumba kwa siri.Kwanza tambua kwamba nyumba mnayokaa wewe una shirika nayo je hiyo uliyojenga.Kigamboni unadhani mme hana shirika nayo?
Hebu kaa chini ujitafakari tena nadhani kama ni mkosaji wewe ndiyo umekosa zaidi ya mmeo.
 
Wanaume mnaumizwa sana na usaliti wa namna hii.
Nawajua mnaumia sana
Mtafute mwanasaikolojia akusaidie upone, hutakaa sawa kwamwe kwa hilo unalolifanya, utajaribu kila namna huwezi kupona maumivu yako, mtafute mwanasaikolojia km unaamin kt Mungu huu ni muda wa kurudi kwa Mungu, utamaliza wanaume wote but amin hutopata aman ya kweli
 
Unatengeneza majuto na ni suala la muda tu.
Ni vema kuangalia ustawi wa wanao Kama bado ni tegemezi lakini si kushindana na mumeo.
 
Vipi donda limepona kwa kuuza Uchi?
 
MMtoto wa kiume alimzaa kipindi yupo katika ndoa yenu au kabla hajakuoa?
 
Tangu kuchepuka kwako umewahi kusahau hayo maumivu ya kuletewa mtoto wa nje??
Hajasahau ndomana kabadilisha danga sahizi.

Inshort anatumia kigezo cha maumivu kuficha uzinzi wake,ubinafsi wake wa kuogopa mtoto wa nje kurithi mali pamoja na watoto wake.

Wewe ni danga kama madanga mengine kwasababu kwa hao michepuko upo kimkakati sana wakusaidie sio kwa mapenzi.


Mwanamke mjinga sana wewe.
 
Una mume fala, aliyekutana na ka mwanamke kamalaya ambako vinasaba vya umalaya vilikua vimesinzia ndani yake na sasa vimeamka.
Ningekusifu na kukuheshimu kama ungefanya maamuzi ya kuwa huru tofaut na kuamua kuwa malaya.

Uzuri na kuvutia ni sifa ya mwanamke yeyote yule, so usijivimbishe kichwa, Mwanamke kuwa mbaya ni ajali tu kama ajali nyingine.
 
Kama yeye anafanye huko nje kwanstarehe zake kwa nininwewe usifanye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…