Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

Haya mafurushi sijui yanatuchukuliaje humu!!
 
Ni wakati wenu wamama pambanieni kombe la ucheoukaji nadhani hamsomi maandiko matakatifu mkaelewa
 
Mtoto wangu nimpeleke akalelewe na mama mwingine tena mwenye hasira kias hiki.....usinglemom siyo mauti ...nitalea mwenyewe



Sawa,
Ilimradi usiombe ruzuku ya malezi ya huyo Mtoto,
Pambana mwenyewe.
Na sio kumfanya mtoto kitega uchumi.
Wanaume wanafanya hivyo ili kulinda ndoa zao.
Mtoto akibaki kwa mchepuko mawasiliano yataendelea kuwepo na uhusiano Pia kwa kujifanya kumjulia hali mtoto.

Usitumie Mtoto kama fimbo sababu kwenye ndoa ako na watoto wa kike na wewe umezaa nae wa kiume na kujua udhaifu wake.

Pia tabia na malezi mazuri ni afadhali kumchukua mtoto mapema na kulelewa na Baba yake na mama wa kambo.
Michepuko wengine mazuri mazuri yenye maadili hakuna, mwamko wa elimu hakuna, unamuachaje mwanao akue Na kulelewa kwenye mazingira ya hivyo Kwa mfano?
 
Sijawahi mtegemea mtu.Asante
 
Utapata unachokitafuta,siku ukitoka mapele na kuanza homa za mara kwa mara ndo utaita maji,mma.
 
Ninaona bovu zenu hapa , uwa mnaumia sana wake wenu tukitoka nje lkn nyie unakula tuu nje huko.
Leteni maneno yenu hayo.
Hujui unachotafuta,umemsaliti mumeo kwa kumegwa na mume wa mwanamke mwenzio,kilicho kuumiza kwa mumeo na wewe ukawa tayari kumfanyia mwanamke mwenzio na akose amani aanze kumegwa na mume wa mwingine tena,na mkija tunawamega kweli,HAPA MWENYE MAKOSA NI WEWE UNAETAMANISHA WANAUME WAKUTONGOZE NA AKILINI UNAWAZA PESA,HUNA TOFAUTI NA SLAY QUEENS/GOLD DIGGER,MAKAHABA WENYE IPHONE..
 
Malaya mdangaji! Kwani huyo mtoto wa nje amempata wakati ukiwa nae ndoani au?
 
Inawauma ee mwanaume, mkeo akifanya hivi eti
 

kabla sijaenda mbali

“Mtoto huyu ni wangu na ataishi hapa kama hutaki waweza ondoka”

Kauli za kiuanaume hizi na siku hizi ni chache sana

MWANAUME NI KAULI YA MWISHO
 
Shida si ndo hayo maumivu uliyo nayo?
 
Hii thread ukiisoma mpaka mwisho utagundua mwandishi ni mmoja na zile nyingine zilizotangulia, lengo hasa sijajua ni kutuliza hasira za mwanamme pindi akifumania au lengo ni kuongeza chuki ya jamii kwa mwanamke.
Lakini hakika yake lengo ni ovu.
I naingia eti, unataka upunguze maumivu,
Ndo hivyo najua wanaume mnaumia sana mkeo akifanya hivyo. Ila nyie mnaona sawa tuu.
Hata mkeo analiwa huko nje
 
Naona wateja wamepungua huko mtaani,umeamua sasa kwenda kidigital zaidi kwa kuweka tangazo hapa,

Komaa hivyo hivyo na ukimaliza kujenga hiyo nyumba,uanze na ujenzi wa uwanja wa mpira ili team ziwe zinaukodisha.
 
Vijana wapo bize na kampani za kukataa kuoa sijui ndo tayari wameshajiunga na mambo ya upinde!!
 
Mommy unaumia au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…