Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

Umeleta uzi wako unataka upewe ushauri wa namna gani?. Majibu yote na njia unayoitaka kupita maamuzi unayo tayari...
Kiufupi ww ni danga tu km danga wengine hapa mjini!.,. Eti atanisaidia, kweli?!. Hiyo familia yenu kama naiona inavyoenda kusambaratika maana ndo aina ya maisha mliyoamua kuyaishi, maisha ya uzinzi.
Usisahau kutujulisha pia mtakapoingia kwenye gridi ya Taifa.
Ungeshirikisha waliowafungisha ndoa hayo maumivu unayopitia na km ni ndoa ukaivunja mapema kisha ukaenda na njia uliyoamua kupita....
Ninaona bovu zenu hapa , uwa mnaumia sana wake wenu tukitoka nje lkn nyie unakula tuu nje huko.
Leteni maneno yenu hayo.
 
Ulisharithi hiyo tabia ya uzinzi toka mtoto aidha Kwa mama au ndugu zako wa karibu....ilikuwa inatafuta sababu tu ya kujitokeza/kulipuka.

Kwa asili wewe ni wale wanawake wanaowinda wanaume.
 
Miaka kadhaa iliyopita mume wangu alimtambulisha mtoto wa nje katika familia yake ni wa kiume alikuwa ni mtu wa furaha sana na kujisifu kuwa kapata mtoto wa kiume na ndugu zake walimpongeza hasa mtoto alifanana nae. Japo mimi nilibaki na maumivu, kwani nimezaa nae watoto wawili wa kike tuu.
Katika maisha yangu nilipenda kuwa na mwanaume ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu. Ila ijakuwa hivyo. Nimelipokea japo nina maumivu.

Mume wangu ni mtu wa mfumo dume niseme. Akiongea ndani ya nyumba ndo ishakuwa hivyo. Aliniambia tuu mtoto huyu ni wangu na ataishi hapa kama utaki basi waweza ondoka.
Nikasema tuu sawa, basi mtoto tunaishi nae hapa.

Tulijenga nyumba moja tulikuwa tunashirikiana kwa kila kitu kwa sababu mimi nina kazi na mume wangu pia na baadhi ya biashara. Na tulishaanza nyumba nyingine kujenga. Ila nilisimama baada ya tukio hilo lililonipa maumivu.

Nilishangaa sana mume wangu anatabia ya kusema tuu yeye hana uwoga. Anasema kuwa huyu ni mtoto wangu wa kiume ndio atarithi mali zangu kwa kuwa anaendeleza jina langu. Mimi namuangali tuu. Mtoto anapita nae mtaani kwa kujisifu hata mbele ya marafiki zake kwa kuwa mtoto kafananae. Na yeye mali zetu zipo kwa jina lake na mimi hata ushahidi kuwa nimeweka mkono sina ninabaki namuangalia tuu.

Miaka 3 iliyopita kuna kiwanja kimoja aliniachia marehemu Baba kipo kigamboni kule ni kikubwa kiasi. Na mume wangu ajui hiko kiwanja. Ni mimi tu ka ndugu zangu. Sasa nilipigania kuwa niwajengee watoto wangu nyumba pale japo mimi mama yao sina sio tajiri. Nikasema nitapambana tuu. Nilikuwa naweka vipesa vyangu baadhi na kujinyima. Hata pesa ya mume wangu ya matumizi nilikuwa naibana sana.
Biashara zetu na mume wangu nilikuwa nachota kiasi bila mume wangu kujua kabisa.

Nilianza msingi wa nyumba mbili kwenye eneo moja. Nyumba sio kubwa ni vyumba viwili tuu vya kulala, living na dining room, choo na store na jiko. Sio kubwa kivile.

Ilikuwa ngumu sana kwangu kuanza kujenga.
Sasa siku moja nilikutana na Baba mmoja mtu mzima na anamke na watoto wakubwa tuu. Nilikutananae karikoo kwenye nduka moja hivi. Tulizoeana mapaka kupanga nichepuke nae.
Mkewe kuna kipindi nikamjua mpaka nyumbani kwake. Ni Baba mwenye uwezo tuu tena sana.
Mimi ni mwanamke nina mvuto kwa hio niliamini hawezi nikataa yule Baba. Mara nyingi tulikuwa tunakutana kwenye hotel. Nilimueleza shida zangu akasema atanisaidia.

Alinisaidia kumaliza msingi mpaka boma kuisha za vijumba vyangu. Nilijitahidi sana mume wangu asijue kwani yeye namjua reaction yake endapo akijua.

Yule Baba alikuwa ananifurahia sana , ila alikuwa ananionya kuwa kuwa makini mumeo asijue kabisa. Mimi namwambia tuu usijali ni kweli nilijitahidi mume wangu asijue kabisa.
Nilikaanae miaka 2 yote hio niliendelea nae bila my hubby kujua.
Yeye yuko busy na mtoto wake maana namuangali tuu jinsi anavyomuaangaikia. Mwaka jana alinisaidia sana kuwezeka vijumba vyangu.
Ila mwishoni mwa mwaka jana aliamishwa na kwenda Dodoma kikazi na mahusiano na mimi yaliisha.
Nikiri tuu alinisaidia sana yule Baba. Kwa kiasi kikubwa.

Sasa mwaka huu nilikutana na kijana mmoja mgahawa mmoja nilimpenda, nilijitahidi nikapata tukabadilishana namba najua hawezi kunikataa coz mimi ni mzuri najiamini. Niliingia nae kwenye mahusiano. Na sijamwambia kuwa ni mke wa mtu. Japo vijana ni wagumu kutoa pesa ila anajitahidi kiasi chake. Naamini atanisaidia hata kwenye biashara zangu binafsi, coz yeye anaagiza vitu china.

Najua wanaume mnakasilishwa na usaliti kama huu, najua wapo watanitukana na maneno juu. Lkn hata nyinyi ni wasaliti kwa wake zenu, thread zenu za michepuko mnashauriana sana humu jf.

Mume wangu kanipa donda kubwa sana , tena hata aibu anasema huyu ndo mrithi wangu. Yeye ni wale wanaume akisema basi wote mtii.
Namuangali tuu na mwanae.

Sijaleta kama sifa ni matokeo ya maumivu niliyopata sikuwa na hio tabia kabisa.
Mwenye kuleta povu na alete tuu.
Achana nae huyo wee enjoy de libolo....mbususu suo kitu cha kunyima mtu bwana na mwanaume atakaye vunja ndoa kisa mke wake ametombwer huyo ni mjinga kuliko wajinga wote duniani
 
Hujui unachotafuta,umemsaliti mumeo kwa kumegwa na mume wa mwanamke mwenzio,kilicho kuumiza kwa mumeo na wewe ukawa tayari kumfanyia mwanamke mwenzio na akose amani aanze kumegwa na mume wa mwingine tena,na mkija tunawamega kweli,HAPA MWENYE MAKOSA NI WEWE UNAETAMANISHA WANAUME WAKUTONGOZE NA AKILINI UNAWAZA PESA,HUNA TOFAUTI NA SLAY QUEENS/GOLD DIGGER,MAKAHABA WENYE IPHONE..
Imekuchoma nyuzi zenu mnazizileta hapa , na nyie tusemeje.
Makahaba mliokubuu au kuwaitaje malaya mlikubuu
 
Aisee pole sana kwa changamoto unayopitia. Ila ukumbuke tu ukishaingia kwenye kulipizana kisasi na mwanume, basi tambua fika mwisho wa mahusiano yenu utakuwa ni mbaya sana.

Kwa ufupi tu ndoa yenu itaishia kuvunjika. Maana hakuna namna nyingine. Mwanaume akigundua tu mke wake anachepuka/amechepuka na wanaume wengine, hata awe na yeye ni mchepukaji kiasi gani! Hawezi kusamehe.
Yes najua hilo ila kuchepuka hatakuja kujua kwa asilimia 100 kwani najua life style yake.
 
Back
Top Bottom