Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

Mume wako kabila gani?

Anaonekana mtu wa misimamo [emoji3][emoji28]

Na harogeki hatawaliki.
 
Kwa hiyo umeleta Uzi ili kuona tunaumiaje???


Hahah hamna anayeumia humu jamii forums Ila ni wewe na mume wako.

Sisi tunasoma alafu tunakudharau mtoa mada.

Mwanamke ambaye aheshimu ndoa yake akidhan anamkomoa MTU...

Pole na hongera Kwa kupambana kujenga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naungana na mumeo, siku zote mrithi wa familia ni mwanaume.
 
Aisee pole sana kwa changamoto unayopitia. Ila ukumbuke tu ukishaingia kwenye kulipizana kisasi na mwanume, basi tambua fika mwisho wa mahusiano yenu utakuwa ni mbaya sana.

Kwa ufupi tu ndoa yenu itaishia kuvunjika. Maana hakuna namna nyingine. Mwanaume akigundua tu mke wake anachepuka/amechepuka na wanaume wengine, hata awe na yeye ni mchepukaji kiasi gani! Hawezi kusamehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…