Mume wangu amenitenga baada ya kupinga manyanyaso ya ndugu zake

Kongosho no maana huwa nasema wanaume wanahtaj mtu mkaksi tu. nilisema sitoki kwangu na ni ful dont see me, yaani hakuna itu kibaya kama kumignore mtu hadi akajiona kama vile haish na hapo hakuna kulia tena. ifike muda mwanamke u4c haki zako za msingi lol! kimya nacho ni dawa ya mtu mwonevu.
 
Last edited by a moderator:
Daaaah aisee.....pole sana mpendwa!


Kwani ni lazima usubiri hiyo talaka ndio uende kwenu?..........kama una uwezo wa kulea wanao kwa nini usijiweke pembeni taratibu kuliko hayo mateso unayopitia?
 
SnowBall huko ndiko kuwaendekea wanaume wallah natamani huyu dada awe jiran yangu nimfundishe kiburi. yaani ndani kwangu sitoki na wala habari nae sina mii bize na wanangu na wala hakuna kulia lia hapa manake ukilia ndo kumpa boichwa. kaa hapo ndani aone unavyoish pasi kuterereka na yeye yuko kama fenicha tu na unajipigilia pamba za nguvu mbona atarui huyu? wee
 
Last edited by a moderator:

Hehehehehe that's mai kungwi gfsonwin lol.............wewe jasiri mpendwa hongera sana!
 
Last edited by a moderator:

Kungwi mfundishie hapa hapa labda atakuelewa lol!
 

Hebu isome tena stori yenyewe halafu unambie kama kung'ang'ania kwa mumewe kuna msaada wowote kwake kwa sasa. Kuna mazingira mke anaweza sema sitoki tutabanana hapa. Lakini kwa huyu mzazi ambaye pengine hana hata msaada sioni kama ni mantiki.
 
Hehehehehe that's mai kungwi gfsonwin lol.............wewe jasiri mpendwa hongera sana!

yaani sweetlady ukija kwangu nakupa ushauri uwe ngangari siyo nenda beba virago ondoka hapana. inabidi tueke mkakati wa kuwatimua wao wala sio sisi kutimka khaa! mbona kuna watu wanakomaa hadi baba anabeba virago na akienda vikimshinda anarudi na begi lakae kam mkimbizi? hatujaamua tu.
 
Last edited by a moderator:
Hebu isome tena stori yenyewe halafu unambie kama kung'ang'ania kwa mumewe kuna msaada wowote kwake kwa sasa. Kuna mazingira unaweza mke anaweza sema sitoki tutabanana hapa. Lakini kwa huyu mzazi ambaye pengine hana hata msaada sioni kama ni mantiki.

aliwezaje kujilea hadi hapo alipofika? afikir njia za kujikmboa kiuchumi aache kwenda kuwa tegemezi kwa ndugu ambao mwisho itakuwa ni kumsema tu. simsauri hivyo kwani hata huko kwao wazazi watachoka atii............. inatakiwa afikirie jinsi ya kujikwamua tena kama walishajenga ndo poa kweli unabaki kwenye nyumba ya bure unafanyabiashara hata za kijinga alimradi ajimudu kimaisha ndipo pa kujiingiza kwenye vikoba na saccos hapo achangamke mjini hapa si kulia lia tu. uwiiiiiiiiiii!
 
gfsonwin mie naona wengine wanashindwa vile labda hawawezi kujitegemea.....hebu chukulia mwanamke hana kazi afu mume anamtimua......hivi unadhani atafanya nini zaidi ya kulia lia na kumlamba mume miguu?
 
Last edited by a moderator:

Ukamlee wewe kwani we mwanae? Hao bint zake wao hawana uchungu na mama yao mpaka we ukawe nao kiasi cha kuiacha ndoa yako mjini? Usiusogeze hata ukucha wako eti unaenda mlea mkweo, gangamala mpaka shetani ajue kuwa mwanamke umeamua. Pia usisahau kusugua goti dada kwa maexperience zaidi ktk mambo ya kuomba muone dada gfsonwin
 
gfsonwin mie naona wengine wanashindwa vile labda hawawezi kujitegemea.....hebu chukulia mwanamke hana kazi afu mume anamtimua......hivi unadhani atafanya nini zaidi ya kulia lia na kumlamba mume miguu?

hapo pia ndo ambapo wanawake tunakosea sana manake kama kuwa goli kipa jamani tubadilike hata ile kodi ya meza save mia mia ili ujichezee kamcezo uate mtaji wako manake haya maisha si rahisi kiivyo kama wanavyofikiri.

katika utumwa ambao tunapaswa kuuepuka ni ule wa kuwa tegemezi kiuchumi kwa wanaume yaani hio ndo hutumika kama kitanzi aisee. mimi huwa ni mkali sana kwa wanawake wa aina hii wallah kuliko uteseke eti kisa huna mtaj nitafute nikupe kwa riba ukomboke lol!
 

Ubarikiwe kungwi.....umejaaliwa moyo wa kipekee..........ni wanawake wachache wenye moyo kama huo wako! Mleta mada sijui kaenda kunywa supu lol!
 
Ubarikiwe kungwi.....umejaaliwa moyo wa kipekee..........ni wanawake wachache wenye moyo kama huo wako! Mleta mada sijui kaenda kunywa supu lol!

ifike mahali tujikomboe wenyewe hivi wapenda mateso tuyapatayo kwa wababa? sipend kuona mwanamke anateseka kwa mwanaume bana tuish kama binadam bana hakuna aliyezaliwa na mwingine akanyewa tu.
 
i see mi sililii mwanaume nilimkurupusha tangu dogo alivyokuwa tumboni baada ya kuona analeta ubrazameni yaani usela mavi nkamkatia mawasiliano manake ni bira mtu ujielewe kuwa ni single parent ili ujipange kuliko kuhesabia un mume lakini hewa sina habari nae na simu yangu nimeblock hana access upuuzi wa kuumiza kichwa bila sababu no, wapuuzi sana hawa viumbe kwakweli.wananitia hasira sana ila haina haja ya kulia unakomaa mwenyewe unasimama kabisa,kulia na kusononeka kunakuzeesha na kukupa maradhi ya moyo ufe uwaache wanao bure na yeye aendelee kula goodtimes lol sikushauri kurudi home kama vipi yeye asepe akaanze life mpya na familia nyingine kama ameamua kuianzisha mpotezee kabisa
 
Jf bhana,unapata kila kitu sa hivi nimeshampata kungwi gfsonwin.Kiukweli nimependa msimamo wako.
 
Toka aambiwe kuwa arudi kwao angerudi angekuwa mbaaaaaali


 
Umeona eeh

Kulia kunazeesha si mchezo

Mimi nilishajiwekea utaratibu wa kutafuta cha kunichekesha kabla sijaenda kulala.

Wakati mwingine kabla sijalala najikumbusha comment ya hajabu nilokutana nayo JF...basi nacheka wee. mpaka napitiwa na usingizi. Vya kuchekesha vingi ujue.

Sasa baba nanii kama anataka kunizeesha kwa kilio ajue amegonga mwamba...atalia yeye.
Lol.

 
Me naomba niulize,hivi kama huyu dada angekuwa amefunga ndoa ya kikristo angefanyaje?inamaan asingeweza kuachika mpaka mmoja afe?na asingeweza kuolewa tena?na kama angepata man mwingine angeishi nae tu lakini bila kutambulika kama ni mke?naomba nielimishwe wadau..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…