gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,692
Kongosho no maana huwa nasema wanaume wanahtaj mtu mkaksi tu. nilisema sitoki kwangu na ni ful dont see me, yaani hakuna itu kibaya kama kumignore mtu hadi akajiona kama vile haish na hapo hakuna kulia tena. ifike muda mwanamke u4c haki zako za msingi lol! kimya nacho ni dawa ya mtu mwonevu.gfsonwin, huyu binti anashindwa kuelewa kuwa kila mtu ni 'amiri jeshi mkuu' wa roho yake na furaha yake.
Sasa asipojilindwa mwenyewe hakuna atakayemwonea huruma, kazima uweke mpaka wa uvumilivu si kulalamika tu.
Haoni watanzania tumedhamiria hata kupigia SAU 2015? Yeye anashangaa shangaa tu na kulia.
Unaona wee ulivyokomaa sasa hivi isikite mmeo adabu 100%.
Last edited by a moderator: