Mume wangu amenitenga baada ya kupinga manyanyaso ya ndugu zake

Pole sana dada,nafahamu machungu Hayo jinsi yalivyo dada Zangu Mimi ni hivyo hivyo yaani wakorofi kinoma,lakini nilipogundua ujinga wao hou nikawapigA stop,piga magoti uombe kaka yetu atafahamu hayo siku moja,kweli inauma sana,lakini vumilia sana na usidanganywe na mtu yoyote kuisaliti ndoa yako,maana Hiyo itakudhalilisha na kurahisisha kazi yao
 
Kama mwanaume haelewi lugha rahisi unayoongea wewe ya kumuelewesha, heb jaribu kuongea lugha anayoiongea yeye nakuhakikishia atapata ujumbe na utamkaa

halaf punguza kulia lia, jitahdn kuwa ngangari, najua kuna wakat kweli unapata uchungu, kalilie hata chooni huko ila siyo mbele yake
tafuta kitu cha kufanya hata kucheza na watoto, chochote mrad usiwe idle, coz hyo ndiyo inafanya umfikirie...
usipotze mda wako na yeye ongea nae yale ya msingi, na hakikisha huduma zingine zote za msingi kama mke na mama wa familia unazitoa,usiache kutimiza wajib wako ila usimnyenyekee tena,

nimewah kujarib hii, ilifanya kaz vzur sana kwangu, hope itakusaidia na ww,
 

kwa mkoa wa Mara mbona hiyo kawaida sana?? hapo kipi cha kushangaza? huku kwetu tushazoea hayo mambo ni ya kawaida tu.....nataka hii stori iwe balanced,basi....hatuwezi kuyafanyia kazi maelezo ya mtu mmoja....

kwa hiyo unataka na mume wake aje kutoa maelezo ndo umshauri?
 
mtoa mada za asb?tunaomba mrejesho yaliyojiri tangu jana usiku baada ya kufuata ushauri uliopewa!
 
Pole mrembo,naomba nikulize swali,Unampenda sana mume wako? uko tayari kufanya lolote kwa ajili yake na watoto wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…