unajua
Kongosho ndo maana huwa nasemaga nina roho mbaya, yaani kuna wakati sifai kumshauri mtu hasa kwenye jambo kama hili. hakya Mungu angeondoka yeye humo ndani kwani huwez kumfungia vioo? kaa nyumbani mwako stail iwe ya dont see me. bize na kazi zako akitaka atafute pa kweda na siku akikusemesha moto ndo uwake uwwiiiiiiiiiiii
yaani miye nilifanya mtu hadi aka hire private investigator alihisi nitamwua kwa mchuno niliopiga bize na wanangu yeye akawa kama fenicha tu ndani na akaumia zaid kaleta kahaba nikawa ngangari sikulia tmekula kila mtu 50 zake ikawaka taa ya njano kwenye fahamu zake na hivi huyu ni mpalestina hakya Mungu ataniua hawez akawa binadam. kumbe nilitaka kumuonyeshe mimi nikisha ingia ndani sitoki labda kwa kifo na manyanyaso huko huko ndani huwez manake sikuombi hata 100 na msosi natafuta mimi kila kitu. pita nenda kwa rum na kahaba na mimi naenda kwa rum na wanagu manina wakllah mbona alisalim amri.
ukaksi ukaksi tu kama vipi achukue time yeye ila si mimi.