Acha ushamba wa kushobokea wazungu!!!Hauwafahamu vema hao watu wewe!!!Kwanza unaonekana bado mshamba ana haujakua.Vitu unavyovitetea ni upumbavu mtupu ukilinganisha na thamani ya ndoa na heshima kwa mume.Wanawake mnakosea sana kuchanganya u beijing(Kujifanya nawe jeuri) katika mambo ya kidini.Kama uliolewa kidini(sio kuwekwa tu ndani) ni lazima uliapa kumheshimu na kumtii mumeo!!Yeye ndo kichwa cha familia,analosema litii.Eti u turn mara rafiki yangu mara mzungu wewe WANAKUSAIDIA nini hawa zaidi ya mume.Nina wasiwasi kuwa uliolewa kwa kusikilizia upepo wa kutoka kimaisha sasa umeona matarajio finyu wataka kujaribu bahati kwa mzungu.Aibu kwako.UKIMALIZA KUSOMA HAPA RUDI HOME MUOMBE MSAMAHA MUMEO