Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjadala uishie kwenye hii comentWanaokupa ushauri wanapoteza mda sana.
Swali, mbona katikati ya upaja kweusi sana, ndio friction imesababisha?
Daah Pole Mdogo wangu.....wewe ni George Aloyce ni Mwanamke?Hali ya huku ni ya shida kweli siwezi kuishi maisha haya, umeme upo lakini ni ile sehemu ambayo ukiingia ndani ni umeingia, hakuna cha kusema utokea uongee na majirani kila mmoja yuko shambani sijui ana mambo yake. Kwanza nyumba zenyewe ni za mbali mbali, na kupata nyumba ya maana ni changamoto sana kama unavyojua vijijini
Yaani kutoka Kata ilipo kwenda Mjini ni safari ya Siku nzima?Nimemuambia mimi angalau anitafutie nyumba mjini awe anakuja lakini hataki kwa sababu ni mbali sana, kutoka alipo mpaka mjini ni siku nzima na usafiri ni wa shida, ndoa ina miezi 8 mwanamume anataka mtoto lakini siko tayari kuzaa kwenye mazingira haya, ni bora kuachana lakini sijui namuachaje mwanamume ambaye hajawahi kunikosea
Walimwengu wameharibu dunia hii achomwe tu afeMleta mada anaitwa george aloyce na ni mke wa mtu
Jamani huyu dada mueleweni kuna vijiji ukienda kama umezoea kukaaa mjini unaweza changanyikiwa akili......yaaani ni chombingo kweli kweli hadi unaogopaNimeolewa lakini sifurahii ndoa yangu kabisa, nilichokitegemea kwenye ndoa si ninachokipata. Mimi ni binti wa miaka 24, nimeolewa na mume wangu ni askari, yeye ni polisi wa kata hivyo tuko huku Songea ni kijijini sana. Huyu kaka wakati nakutana naye tulikuwa Arusha ila akaja kuhamishwa huku kipindi ndiyo tuko kwenye mchakato wa ndoa.
Sikuona shida kwani niliamini kwa kuwa ni kazi ya serikali basi atapata uhamisho. Baada ya ndoa ndiyo nikaja huku, mimi ndiyo nimeamaliza chuo hivyo sina kazi najaribu kuomba lakini sijapata.
Hali ya huku ni ya shida kweli siwezi kuishi maisha haya, umeme upo lakini ni ile sehemu ambayo ukiingia ndani ni umeingia, hakuna cha kusema utokea uongee na majirani kila mmoja yuko shambani sijui ana mambo yake. Kwanza nyumba zenyewe ni za mbali mbali, na kupata nyumba ya maana ni changamoto sana kama unavyojua vijijini
Nikimuambia mwanaume kuhusu kuhama ananiambia ndiyo kwanza kahamishwa hawezi kupata tena uhamisho. Nimejikuta nimekuwa mtu wa hasira, yaani kila siku tunagombana, mume wangu anajitahidi kunisawazisha lakini siwezi, namkasirikia tu bila sababu kitu ambacho sikipendi.
Nimemuambia mimi angalau anitafutie nyumba mjini awe anakuja lakini hataki kwa sababu ni mbali sana, kutoka alipo mpaka mjini ni siku nzima na usafiri ni wa shida, ndoa ina miezi 8 mwanamume anataka mtoto lakini siko tayari kuzaa kwenye mazingira haya, ni bora kuachana lakini sijui namuachaje mwanamume ambaye hajawahi kunikosea!
Pole sana. Hayo mazingira siyo mabaya kabisa. Vumilia na mpende mume wako. Kikubwa tafuta kazi, kazi zipo nyingi utapata. Mtie moyo mumeo. Leo unamuona yupo huko iko siku atakuwa Dodoma makao makuu aya sehemu ya mjini yenye shughuli nyingi. Polisi wengi huanzia vijijini ila mwisho wanakuwa mjini. Vumilia mdada na mpende mumeo. Nimekuonea huruma kwa sababu unachotaka kufanya ni kitu kibaya mno kitakusumbua sana badaye maana maisha ya leo siyo ya keshoNimeolewa lakini sifurahii ndoa yangu kabisa, nilichokitegemea kwenye ndoa si ninachokipata. Mimi ni binti wa miaka 24, nimeolewa na mume wangu ni askari, yeye ni polisi wa kata hivyo tuko huku Songea ni kijijini sana. Huyu kaka wakati nakutana naye tulikuwa Arusha ila akaja kuhamishwa huku kipindi ndiyo tuko kwenye mchakato wa ndoa.
Sikuona shida kwani niliamini kwa kuwa ni kazi ya serikali basi atapata uhamisho. Baada ya ndoa ndiyo nikaja huku, mimi ndiyo nimeamaliza chuo hivyo sina kazi najaribu kuomba lakini sijapata.
Hali ya huku ni ya shida kweli siwezi kuishi maisha haya, umeme upo lakini ni ile sehemu ambayo ukiingia ndani ni umeingia, hakuna cha kusema utokea uongee na majirani kila mmoja yuko shambani sijui ana mambo yake. Kwanza nyumba zenyewe ni za mbali mbali, na kupata nyumba ya maana ni changamoto sana kama unavyojua vijijini
Nikimuambia mwanaume kuhusu kuhama ananiambia ndiyo kwanza kahamishwa hawezi kupata tena uhamisho. Nimejikuta nimekuwa mtu wa hasira, yaani kila siku tunagombana, mume wangu anajitahidi kunisawazisha lakini siwezi, namkasirikia tu bila sababu kitu ambacho sikipendi.
Nimemuambia mimi angalau anitafutie nyumba mjini awe anakuja lakini hataki kwa sababu ni mbali sana, kutoka alipo mpaka mjini ni siku nzima na usafiri ni wa shida, ndoa ina miezi 8 mwanamume anataka mtoto lakini siko tayari kuzaa kwenye mazingira haya, ni bora kuachana lakini sijui namuachaje mwanamume ambaye hajawahi kunikosea!
Asante sana Kwa ushauriPole sana. Hayo mazingira siyo mabaya kabisa. Vumilia na mpende mume wako. Kikubwa tafuta kazi, kazi zipo nyingi utapata. Mtie moyo mumeo. Leo unamuona yupo huko iko siku atakuwa Dodoma makao makuu aya sehemu ya mjini yenye shughuli nyingi. Polisi wengi huanzia vijijini ila mwisho wanakuwa mjini. Vumilia mdada na mpende mumeo. Nimekuonea huruma kwa sababu unachotaka kufanya ni kitu kibaya mno kitakusumbua sana badaye maana maisha ya leo siyo ya kesho
Kijijini hakufai jamaniJamani huyu dada mueleweni kuna vijiji ukienda kama umezoea kukaaa mjini unaweza changanyikiwa akili......yaaani ni chombingo kweli kweli hadi unaogopa
Hao washambaWanakuja wale wazee wa KATAA NDOA
Ukifanyacho sio woteWalimwengu wameharibu dunia hii achomwe tu afe
Ni kweliYaani kutoka Kata ilipo kwenda Mjini ni safari ya Siku nzima?
Kweli Tanzania ni kubwa sana
Hali ni mbayaDaah Pole Mdogo wangu.....wewe ni George Aloyce ni Mwanamke?
Ndio maisha unavyoona Kassim Majaliwa akiwa Waziri Mkuu Usidhani alianzia juu... Alikuwa Mwl hulo huko Vijijini.
DCI Insp Kingai aliishi huko huko Maporini ndio akawa anapanda mdogo mdogo sasa yuko Dar.
Vumilia huko ndio kuna maisha.
Vyakula vya asili, chakula bei nafuu, hata Kupanga nyumba Bei poa sana.
Kwa mtumishi ana save pesa za kutosha
Ni swala la mentality tu ila kwakuwa mwanamke mpumbavu huvunja ndoa Yake kwa mikono Yake mwenyewe na ww vunjaNimeolewa lakini sifurahii ndoa yangu kabisa, nilichokitegemea kwenye ndoa si ninachokipata. Mimi ni binti wa miaka 24, nimeolewa na mume wangu ni askari, yeye ni polisi wa kata hivyo tuko huku Songea ni kijijini sana. Huyu kaka wakati nakutana naye tulikuwa Arusha ila akaja kuhamishwa huku kipindi ndiyo tuko kwenye mchakato wa ndoa.
Sikuona shida kwani niliamini kwa kuwa ni kazi ya serikali basi atapata uhamisho. Baada ya ndoa ndiyo nikaja huku, mimi ndiyo nimeamaliza chuo hivyo sina kazi najaribu kuomba lakini sijapata.
Hali ya huku ni ya shida kweli siwezi kuishi maisha haya, umeme upo lakini ni ile sehemu ambayo ukiingia ndani ni umeingia, hakuna cha kusema utokea uongee na majirani kila mmoja yuko shambani sijui ana mambo yake. Kwanza nyumba zenyewe ni za mbali mbali, na kupata nyumba ya maana ni changamoto sana kama unavyojua vijijini
Nikimuambia mwanaume kuhusu kuhama ananiambia ndiyo kwanza kahamishwa hawezi kupata tena uhamisho. Nimejikuta nimekuwa mtu wa hasira, yaani kila siku tunagombana, mume wangu anajitahidi kunisawazisha lakini siwezi, namkasirikia tu bila sababu kitu ambacho sikipendi.
Nimemuambia mimi angalau anitafutie nyumba mjini awe anakuja lakini hataki kwa sababu ni mbali sana, kutoka alipo mpaka mjini ni siku nzima na usafiri ni wa shida, ndoa ina miezi 8 mwanamume anataka mtoto lakini siko tayari kuzaa kwenye mazingira haya, ni bora kuachana lakini sijui namuachaje mwanamume ambaye hajawahi kunikosea!
Akili yko ndio imeishia hapoMjadala uishie kwenye hii coment
Mwamba kamaliza kila kitu
Unaolewaje mtoto wa kiume? Mi nkiolewa Sina shida kwa sababu ni wa kikeUkifanyacho sio wote
MamboJoji km joji eh
We jike mwenzanguLeo umekuwa Jike?
Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!
Alipomaliza chuo, nilipomuambia mambo ya kumuoa, akaniambia hapana, subiri mpaka nipate kazi, kuna mambo namalizia, nikajitahidi kuhangaika, kuna mshikaji wangu akamuunganishia, akapata kazi benki. Mshahara laki 6, sijakaa miezi miwili, ananiambia kuwa ananunua gari, nikawaza kwamba maisha gani...www.jamiiforums.com