george aloyce
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 1,302
- 2,023
- Thread starter
- #41
Nawe unavuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe unavuta
Kama weweUna jinsia 2 au
Ndio mpango wgBest way toroka akienda kazini then muachie ujembe ili asihangaike kukutafuta,zima cm once unaondoka hapo and change it completely kwakua ukiweka laini mpya kwenye the same cm wakiingia kwenye mifumo yao wanakupata.hamia and anza new life
Unamaanisha nini
Komami niko mjin daslama achaneni uje uwe mke wa pili
KivipKuwa makini
Tatizo ni mapolini mi siweziWe dada umesoma ila kichwani ni mweupe,hivi ukimpenda mtu si shida na raha au afu unaanzaje kumfosi akupangishie mjini ili udange?[emoji16]
Hujitambui weweWanaokupa ushauri wanapoteza mda sana.
Swali, mbona katikati ya upaja kweusi sana, ndio friction imesababisha?
We unazoKuna muda unapatwa na hasira lakini inabidi utulir tu.
Mleta mada ni mpumbavu na hatumii akili.
Kama ilivokuluhusu weweGeorge Aloyce ni lini serikali iliruhusu mwanaume kuwa na mume wake?
Hujielewi weweFala sana wewe, unatafuta umaarufu kwa njia ya kuandika story ya kipumbavu.
Na kama hii stori ni ukweli basi tambua kuwa katika wake wapumbavu duniani basi upo top 10.
Hauwez kukosa raha eti kisa hakuna wakupiga nae stori za umbea.
Vip jamani
We unaweza Kaa poliniHuyo ni jinga kweli.
Yaani apangiwe nyumba mjini aache mume shamba huko? Kwani kile kiapo cha ndoa kilisemaje kwenye kipengele cha shida na raha?
Vunja tuu uende huko utakakokuwa unakipata ,kwani anavyokupa utavipata hata kwingineNimeolewa lakini sifurahii ndoa yangu kabisa, nilichokitegemea kwenye ndoa si ninachokipata. Mimi ni binti wa miaka 24, nimeolewa na mume wangu ni askari, yeye ni polisi wa kata hivyo tuko huku Songea ni kijijini sana. Huyu kaka wakati nakutana naye tulikuwa Arusha ila akaja kuhamishwa huku kipindi ndiyo tuko kwenye mchakato wa ndoa.
Sikuona shida kwani niliamini kwa kuwa ni kazi ya serikali basi atapata uhamisho. Baada ya ndoa ndiyo nikaja huku, mimi ndiyo nimeamaliza chuo hivyo sina kazi najaribu kuomba lakini sijapata.
Hali ya huku ni ya shida kweli siwezi kuishi maisha haya, umeme upo lakini ni ile sehemu ambayo ukiingia ndani ni umeingia, hakuna cha kusema utokea uongee na majirani kila mmoja yuko shambani sijui ana mambo yake. Kwanza nyumba zenyewe ni za mbali mbali, na kupata nyumba ya maana ni changamoto sana kama unavyojua vijijini
Nikimuambia mwanaume kuhusu kuhama ananiambia ndiyo kwanza kahamishwa hawezi kupata tena uhamisho. Nimejikuta nimekuwa mtu wa hasira, yaani kila siku tunagombana, mume wangu anajitahidi kunisawazisha lakini siwezi, namkasirikia tu bila sababu kitu ambacho sikipendi.
Nimemuambia mimi angalau anitafutie nyumba mjini awe anakuja lakini hataki kwa sababu ni mbali sana, kutoka alipo mpaka mjini ni siku nzima na usafiri ni wa shida, ndoa ina miezi 8 mwanamume anataka mtoto lakini siko tayari kuzaa kwenye mazingira haya, ni bora kuachana lakini sijui namuachaje mwanamume ambaye hajawahi kunikosea!
Kama wewe ulivoolewaGeorge kaolewa Tena,?
Kama wewe ulivoolewaMleta mada anaitwa george aloyce na ni mke wa mtu