Mume wangu ananipa Kila kitu kasoro kitu kimoja tu. Nishaurini nataka kuvunja hii ndoa

Kwa Sababu vijiji vya songea navijua...We haupo songea sema upo tunduru ama namtumbo,ama Nyasa...Na Kwa sababu Nina connection na watendaji Kata zoote za mkoa WA Ruvuma namtafuta Mumeo then atausoma huu ujumbe... Pumbavu kabisaaa
 
Fala sana wewe, unatafuta umaarufu kwa njia ya kuandika story ya kipumbavu.

Na kama hii stori ni ukweli basi tambua kuwa katika wake wapumbavu duniani basi upo top 10.

Hauwez kukosa raha eti kisa hakuna wakupiga nae stori za umbea.
Hujielewi wewe
 
Huwezi kumuacha kwa sababu hajawahi kukukosea lakini unamkasirikia! Wewe mwambie akuache tu usije kumpa sokomoko mtoto wa watu bure.
Kule kilosa juzi kati imeoneshwa kuna mwamba kaua mke na kumfukia mulemule chumbani huenda mambo yaliyosababisha ndiyo kama hayo.
 
Vunja tuu uende huko utakakokuwa unakipata ,kwani anavyokupa utavipata hata kwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…