Mume wangu ananipa laki 5 kila mwezi mama anadai hazitoshi nirudiane na x wangu

Ndio maana baada ya kuoa wanaume tunakonda na inashauriwa usioe masikini kwani huyo mume wako amekuoa wewe ama ameoa ndugu zako au ukoo mzima..!? Kipato cha 3m ni kidogo?? Idiot😬
 
H Hii makala ya uongo.
 
Hii stori naona kama haina uhalisia vile
Mkuu,

Stories za JF kama hizi wewe chukulia kama zoezi la kufikiri kidhahania.

Mimi hupenda sana kuhoji na kuhakiki habari kabla ya kuzijadili.

Lakini, tukija kwenye mambo personal, uhakiki huo ni mgumu, kwa sababu by nature issue imekuwa reported kuwa ni personal, sasa kama imetokea kweli tunaihakiki vipi?

Na hata tukipenda sana kuhakiki mambo, kumkatalia mtu kuwa hiki halijatokea nako ni kugumu pia, na ni vibaya sana kumwambia mtu kitu hakijamtikea ikiwa kimemtikea kweli.

Kwa hiyo, chukulia hii habari kama zoezi la kufanya fikra za kidhahania kuwa hata kama halijatokea hivi, kuna wimbi kubwa la wazazi kuwauza binti zao to the highest bidder siku hizi.

Na hapa ndipo hata mtu akitaka kuwapinga team kataa ndoa, huwezi kusema kuwa hoja zao hazina mashiko kabisa.
 
Mwambie mama yako yeye pia si anayo coomer! Akampe huyo mbaba apate hizo pesa za anasa anazozitaka. Kama anapenda ukahaba basi angeufanya yeye akiwa kijana.
 
Leo malaya mmemua kutujazia nyusi zinazothibisha umalaya wenu
 
Mume wangu
Wewe ni jinsia gani??




 
Dozeee dozeee! Hii ni story tuu au ni kweli? Laah! Kama ni kweli yote uliyoandika ni kweli au umetia chumvi ? Kama umetia chumvi, je ni nyingiii , kiasi au kidogo sanaaa?
 
Chai.
 
Naomba ushauri, Kaka. Nafanyaje? Naona hii ndoa itanishinda, labda nilikimbilia kuolewa!
Efe 5:31
Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja.

Ushauri wangu ni huu ulikwisha achana na mama yako mara tu baada ya kuolewa...

Mama yako sio mtu mzuri acha kumsikiliza.

Na wewe uache umalaya
 
Mama malaya+ Binti Malaya=MALAYA SUGU.
Kama vp bmkuwa arudi kudanga tu.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Yaani hapo dereva ni ww baki njia kuu mchepuko sio Dili,maana fainali ni uzeeni sahivi hutaona shida ila baadae utaona shida wakati mbaba na mama mzazi wakiwa hawapo.....Samahani naomba kufahamu kabila lako na la bimkubwa wako kama hutojali
 
Kabila atakuwa mulaaangi huyu, kuondoa 1 huyo Hawa watu ni kama wana curse ya asili, very sad ni kwamba haoni hata aibu kuweka hiyo tabia yake public!
 
Kabila atakuwa mulaaangi huyu, kuondoa 1 huyo Hawa watu ni kama wana curse ya asili, very sad ni kwamba haoni hata aibu kuweka hiyo tabia yake public!
Huyo clinically it seems genetically ni mix ya mrangi, mmakonde na Chuga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…