Mume wangu ananipa laki 5 kila mwezi mama anadai hazitoshi nirudiane na x wangu

Kuwatetea wanawake ni kazi ngumu sana aisee. Juzi kuna uzi nilikuwa napinga wanawake kupigwa ila kupitia huu uzi natengua utetezi wangu na kusema WAPIGWE TU kama sababu ipo. Pia amri ya USIUE kwenye zile amri 10 za biblia inabidi ifanyiwe marekebisho kidogo ili kueandana na mahitaji ya sasa.
 
Mvumilie tu maana kama ana huo moyo wa kutoa laki5 iko siku atapata. Sahivi ushazeeka kurudi kwa mbaba akakuhudumia kama mwanzo, bythway yuko na katoto kengine, ni katabia kuacha kagumu 😂
 
Mume wangu ananipa Laki 5 k

Kabla ya kuingia kwenye ndoa, kulikuwa na mwanaume niliyekuwa naye—ni mume wa mtu. Yeye ndiye aliyekuwa analipia ada yangu ya chuo, alikuwa ananipa pesa pamoja na kuhudumia wadogo zangu. Yaani, hata ada za wadogo zangu alikuwa akilipa. Nyumbani kila mtu alifahamu kuhusu msaada wake, kasoro Baba.

Kipindi hicho nilikuwa pia na huyu mume wangu, ambaye wakati huo alikuwa mchumba wangu. Alikuwa ananihudumia kwa mambo madogo madogo, lakini sikuwa nikiomba pesa nyingi kutoka kwake kwa sababu nilikuwa na mbaba wangu. Baada ya kumaliza chuo, sikuhangaika kutafuta kazi. Nilijaribu kufungua biashara, lakini haikufanikiwa, hivyo nikaamua kuolewa.

Kila kitu kilikuwa vizuri, lakini kipindi nikiwa kwenye ndoa niliendelea kuwa na yule mbaba wangu. Alikuwa bado ananihudumia. Shida ilianza baada ya mume wangu kuhamishwa kikazi, tuko mkoani sasa, na siwezi kuonana na yule baba kwa sababu pia nina ujauzito.

Changamoto ni kwamba kipato cha mume wangu ni kidogo sana, mshahara wake ni kama milioni 3 hivi. Anaweza kunihudumia, lakini hawezi kuhudumia ndugu zangu. Siwezi kumuomba pesa ya kumhudumia Mama yangu au kulipia ada za wadogo zangu. Kwa mwezi, mume wangu hunipa laki 5 kwa ajili ya matumizi yangu na kusaidia kwetu, lakini haitoshi hata kwa Mama yangu tu.

Niliwazoesha msaada wa pesa kiasi kwamba kila kitu wananiomba mimi. Nikiwaambia kuwa mambo yamebadilika, hasa Mama, hataki kunielewa. Ananiambia kuwa nilikurupuka kuolewa, na kama mume wangu hawezi kusaidia familia yangu basi niachane naye.

Mama yangu alimtafuta yule baba kuongea naye kuhusu kurudiana na mimi. Baba alisema kama bado nampenda, basi nirudi Dar es Salaam, na yeye atalea mimba yangu na kuendelea kunihudumia. Hata hivyo, alisema hawezi kunipa pesa wakati nikiwa mkoani!

Sina shida yoyote kwenye ndoa yangu. Mume wangu ananijali kwa kila kitu. Hivi sasa tunajenga, na sijachangia chochote, lakini kwa wema wake ameandika majina yetu wote wawili kwenye mali hiyo. Chakula na kila kitu kinapatikana, lakini sina amani kabisa.

Mama yangu kama ameninunia—wiki ya pili sasa hapokei simu zangu na anatuma tu meseji akisema, "Umekamua kuwa mbinafsi kujichagua wewe huku ndugu zako wakiteseka. Ikaa huko huko, lakini jua kuwa wewe si mtoto wangu!" Naomba ushauri, Kaka. Nafanyaje? Naona hii ndoa itanishinda, labda nilikimbilia kuolewa!
Maskin namuone huyo mme wako huruma kuoa ukoo wa kikahabaa ,,nakushauri uondoke umuache mkaka wa watu atafute mke ww nenda dar ukasomeshe wadogo zako na pia umtunze mamako Kwa kujiuza
 
SASA MBONA JAMBO SIMPLE HILO CHUKUA NAMBA YA HUYO BWANAAKO MPE MAMAAKO ILI AWE ANAPEWA HIZO HELA YEYE
 
Duh aiseee mkiuliwa tunaanza kuwalaumu wanaume
 
Kama ni kweli wale wanaosemaga baadhi ya wazazi wa kike tunaharibu watoto ni dhahiri hawakukosea.
 
Dunia ina maajabu jamani, mama mzazi ana co-sign umalaya wa mwanae duuuh
Hali ndivyo ilivo siku hizi, wazazi wana dictate mahusiano ya watoto wao wa kike, haswa kama kamsomesha kwa gharama.
Next time ukiona unasumbuliwa na mkeo, jua kuwa unadeal na maamuzi ya kijiji na sio mtu mmoja!
 
Mume wangu ananipa Laki 5 k

Kabla ya kuingia kwenye ndoa, kulikuwa na mwanaume niliyekuwa naye—ni mume wa mtu. Yeye ndiye aliyekuwa analipia ada yangu ya chuo, alikuwa ananipa pesa pamoja na kuhudumia wadogo zangu. Yaani, hata ada za wadogo zangu alikuwa akilipa. Nyumbani kila mtu alifahamu kuhusu msaada wake, kasoro Baba.

Kipindi hicho nilikuwa pia na huyu mume wangu, ambaye wakati huo alikuwa mchumba wangu. Alikuwa ananihudumia kwa mambo madogo madogo, lakini sikuwa nikiomba pesa nyingi kutoka kwake kwa sababu nilikuwa na mbaba wangu. Baada ya kumaliza chuo, sikuhangaika kutafuta kazi. Nilijaribu kufungua biashara, lakini haikufanikiwa, hivyo nikaamua kuolewa.

Kila kitu kilikuwa vizuri, lakini kipindi nikiwa kwenye ndoa niliendelea kuwa na yule mbaba wangu. Alikuwa bado ananihudumia. Shida ilianza baada ya mume wangu kuhamishwa kikazi, tuko mkoani sasa, na siwezi kuonana na yule baba kwa sababu pia nina ujauzito.

Changamoto ni kwamba kipato cha mume wangu ni kidogo sana, mshahara wake ni kama milioni 3 hivi. Anaweza kunihudumia, lakini hawezi kuhudumia ndugu zangu. Siwezi kumuomba pesa ya kumhudumia Mama yangu au kulipia ada za wadogo zangu. Kwa mwezi, mume wangu hunipa laki 5 kwa ajili ya matumizi yangu na kusaidia kwetu, lakini haitoshi hata kwa Mama yangu tu.

Niliwazoesha msaada wa pesa kiasi kwamba kila kitu wananiomba mimi. Nikiwaambia kuwa mambo yamebadilika, hasa Mama, hataki kunielewa. Ananiambia kuwa nilikurupuka kuolewa, na kama mume wangu hawezi kusaidia familia yangu basi niachane naye.

Mama yangu alimtafuta yule baba kuongea naye kuhusu kurudiana na mimi. Baba alisema kama bado nampenda, basi nirudi Dar es Salaam, na yeye atalea mimba yangu na kuendelea kunihudumia. Hata hivyo, alisema hawezi kunipa pesa wakati nikiwa mkoani!

Sina shida yoyote kwenye ndoa yangu. Mume wangu ananijali kwa kila kitu. Hivi sasa tunajenga, na sijachangia chochote, lakini kwa wema wake ameandika majina yetu wote wawili kwenye mali hiyo. Chakula na kila kitu kinapatikana, lakini sina amani kabisa.

Mama yangu kama ameninunia—wiki ya pili sasa hapokei simu zangu na anatuma tu meseji akisema, "Umekamua kuwa mbinafsi kujichagua wewe huku ndugu zako wakiteseka. Ikaa huko huko, lakini jua kuwa wewe si mtoto wangu!" Naomba ushauri, Kaka. Nafanyaje? Naona hii ndoa itanishinda, labda nilikimbilia kuolewa!
Ulilelewa na mama mpumbavu,mshenzi,taahira,kakakuona n.k!

Alikua anakutimukisha kingono na umebeba laana usipotubu utavunja na ndoa yako!

Nenda kampige kofi huyo mama Kwa ujinga huo!
 
Hii ng’ombe inasema kipato 3m na kupewa matumizi 500k kwa mwezi ni kidogo wakati, all she can offer is pussy😂😂😂😂
 
Kwa nini mama mtu asiende kwa mubaba yeye maana ulichonacho wewe na yeye anacho ila maisha bhana😂😂😂😂
 
Mume wangu ananipa Laki 5 k

Kabla ya kuingia kwenye ndoa, kulikuwa na mwanaume niliyekuwa naye—ni mume wa mtu. Yeye ndiye aliyekuwa analipia ada yangu ya chuo, alikuwa ananipa pesa pamoja na kuhudumia wadogo zangu. Yaani, hata ada za wadogo zangu alikuwa akilipa. Nyumbani kila mtu alifahamu kuhusu msaada wake, kasoro Baba.

Kipindi hicho nilikuwa pia na huyu mume wangu, ambaye wakati huo alikuwa mchumba wangu. Alikuwa ananihudumia kwa mambo madogo madogo, lakini sikuwa nikiomba pesa nyingi kutoka kwake kwa sababu nilikuwa na mbaba wangu. Baada ya kumaliza chuo, sikuhangaika kutafuta kazi. Nilijaribu kufungua biashara, lakini haikufanikiwa, hivyo nikaamua kuolewa.

Kila kitu kilikuwa vizuri, lakini kipindi nikiwa kwenye ndoa niliendelea kuwa na yule mbaba wangu. Alikuwa bado ananihudumia. Shida ilianza baada ya mume wangu kuhamishwa kikazi, tuko mkoani sasa, na siwezi kuonana na yule baba kwa sababu pia nina ujauzito.

Changamoto ni kwamba kipato cha mume wangu ni kidogo sana, mshahara wake ni kama milioni 3 hivi. Anaweza kunihudumia, lakini hawezi kuhudumia ndugu zangu. Siwezi kumuomba pesa ya kumhudumia Mama yangu au kulipia ada za wadogo zangu. Kwa mwezi, mume wangu hunipa laki 5 kwa ajili ya matumizi yangu na kusaidia kwetu, lakini haitoshi hata kwa Mama yangu tu.

Niliwazoesha msaada wa pesa kiasi kwamba kila kitu wananiomba mimi. Nikiwaambia kuwa mambo yamebadilika, hasa Mama, hataki kunielewa. Ananiambia kuwa nilikurupuka kuolewa, na kama mume wangu hawezi kusaidia familia yangu basi niachane naye.

Mama yangu alimtafuta yule baba kuongea naye kuhusu kurudiana na mimi. Baba alisema kama bado nampenda, basi nirudi Dar es Salaam, na yeye atalea mimba yangu na kuendelea kunihudumia. Hata hivyo, alisema hawezi kunipa pesa wakati nikiwa mkoani!

Sina shida yoyote kwenye ndoa yangu. Mume wangu ananijali kwa kila kitu. Hivi sasa tunajenga, na sijachangia chochote, lakini kwa wema wake ameandika majina yetu wote wawili kwenye mali hiyo. Chakula na kila kitu kinapatikana, lakini sina amani kabisa.

Mama yangu kama ameninunia—wiki ya pili sasa hapokei simu zangu na anatuma tu meseji akisema, "Umekamua kuwa mbinafsi kujichagua wewe huku ndugu zako wakiteseka. Ikaa huko huko, lakini jua kuwa wewe si mtoto wangu!" Naomba ushauri, Kaka. Nafanyaje? Naona hii ndoa itanishinda, labda nilikimbilia kuolewa!
TATEPA
 
Nlipofika hapo kwenye kipato kidogo milioni 3 , mmmh Chaiiiii☕☕
 
Back
Top Bottom