Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Jamani mwenzenu mume wangu ananiambia nina husuda, hii ni nini? Kisa tu nimegundua anatembea na house girl wa jirani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unampa au unambania??? Ongea nae kwa uhakika zaidi badala ya kulalamika
una husuda ya nini?Jamani mwenzenu mume wangu ananiambia nina husuda, hii ni nini? Kisa tu nimegundua anatembea na house girl wa jirani
Jamani mwenzenu mume wangu ananiambia nina husuda, hii ni nini? Kisa tu nimegundua anatembea na house girl wa jirani
Wanatembea kuelekea wapi???
Wanatembea kuelekea wapi???
ahahaaa kweli uliinhia choo cha mjini shosti huyo mama kiboko...honestly ndo maana sipendi waume za watu..huwa wananishobokea sana ila sijawahi jaribu..yaani mwanamke mwenzio akikusomea mashtaka unaweza kuzimia..huyu gilesi angemtafuta huyo beki tatu kiroho safi tena kama vipi amwambie ahamie kwake amuongeze mshaahara..yaani katapanic katahama na town mbonaWe ulimuuliza wanini? Mambo ya sasa ukijua Mumeo ana nyumba ndogo wala humcomfront, coz there is no way aka confess, na kutubu au kujuta! Sana sana ata eliminate all the evidence na kukugeuzia kibao cha kutokuwa na imani nae. Kama hivo anavokufanyia. Hio yote ni kupoteza maboya tu na kusanua soo liishe.
Ukipata ushahidi dnt panic, we withhold evidence na kuzidi kuiaccumulate mpaka itoshe kumconvict directly. Unakuwa na defence ya kontena kama chelsea ili asipate upenyo wa kuchomokea.
Na sio taarifa ya mashtaka unamsomea wewe, afu hakimu wewe tena! Atakuomba msamaha uwongo na kweli afu haina maana, resources zote zimepotea na mda.Taarifa anaipata kwa Nyumba ndogo a.k.a mgoni wako kuwa huku hali si shwari mkeo kaja kama bomu la B52 lenye Uranium na Nuclear kwa mpigo! Akirudi huku wewe wamchekea tu kama sio wewe! Lazima ahisi wataka kumpoison kama sio kumkaba na mto usiku!
Akijikosha unamwambia nani kakuuliza baba? Wala usinichoshe! Mwenzio keshapata full dose na kapona ugonjwa wake wa umala.ya bado wewe sasa dawa yako inachemka!
Nyumba ndogo za siku hizi sugu kuliko hata Mr. 2 mwenyewe! Ukijifanya mstaarabu atambeba jumla jumla! Nenda pale anzisha kumsuta kistaarabu na kumchimba biti, akijibu fyoko tu anzisha varangati afu wahi kushtaki polisi umefanyiwa fujo na kamuweke yule Beki tatu ndani wiki 2, afu mwambie ampigie mumeo akamtoe kama anampenda! Mumeo ilitakiwa apate taarifa apewe na Beki tatu akiwa ndani. Ndo ajue wewe sio mwepesi!
Mimi nilikuwa na Mume wa mtu ananizoea zoea kwa vocha, Mpesa na lift. Nikastukia tu siku Mtu ananipigia! Mimi Mama S, Mke wa flani? Nikasema tume toba yarabiiiiii! Nachanwa na viwembe! Nikajikaza kumuuliza nikusaidie nini Mama? Nakusalimia tu Mwanangu! Wala usiwe na shaka! Mmmmmh! Nikasema anaitumishia Jini kwenye simu nini? Nikamwambia haya nashukuru (Mwenyewe kauzu zaidi ya dagaa) Hivo hivo kila siku asubuhi na jioni! Ananiambia watoto wametoka shule salama, leo tumekula mchicha tu, mara tumekula maharage, Mara nashukuru mwanangu leo tumeachiwa hela ya nyama! Mwisho yakanifika kooni, Nikamtukana tukana yule jibaba sikumwambia kama ni simu ya mkewe ndo imenitisha! Mwanamke ana gubu kanifanya mpaka dhamira inisute! Khaaaaaaaaaa!
Wanatembea kuelekea wapi???
Wanatembea kuelekea wapi???