Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ulimuuliza wanini? Mambo ya sasa ukijua Mumeo ana nyumba ndogo wala humcomfront, coz there is no way aka confess, na kutubu au kujuta! Sana sana ata eliminate all the
evidence na kukugeuzia kibao cha kutokuwa na imani nae. Kama hivo anavokufanyia. Hio yote ni kupoteza maboya tu na kusanua soo liishe.
Ukipata ushahidi dnt panic, we withhold evidence na kuzidi kuiaccumulate mpaka itoshe kumconvict directly. Unakuwa na defence ya kontena kama chelsea ili asipate upenyo wa kuchomokea.
Na sio taarifa ya mashtaka unamsomea wewe, afu hakimu wewe tena! Atakuomba msamaha uwongo na kweli afu haina maana, resources zote zimepotea na mda.Taarifa anaipata kwa Nyumba ndogo a.k.a mgoni wako kuwa huku hali si shwari mkeo kaja kama bomu la B52 lenye Uranium na Nuclear kwa mpigo! Akirudi huku wewe wamchekea tu kama sio wewe! Lazima ahisi wataka kumpoison kama sio kumkaba na mto usiku!
Akijikosha unamwambia nani kakuuliza baba? Wala usinichoshe! Mwenzio keshapata full dose na kapona ugonjwa wake wa umala.ya bado wewe sasa dawa yako inachemka!
Nyumba ndogo za siku hizi sugu kuliko hata Mr. 2 mwenyewe! Ukijifanya mstaarabu atambeba jumla jumla! Nenda pale anzisha kumsuta kistaarabu na kumchimba biti, akijibu fyoko tu anzisha varangati afu wahi kushtaki polisi umefanyiwa fujo na kamuweke yule Beki tatu ndani wiki 2, afu mwambie ampigie mumeo akamtoe kama anampenda! Mumeo ilitakiwa apate taarifa apewe na Beki tatu akiwa ndani. Ndo ajue wewe sio mwepesi!
Mimi nilikuwa na Mume wa mtu ananizoea zoea kwa vocha, Mpesa na lift. Nikastukia tu siku Mtu ananipigia! Mimi Mama S, Mke wa flani? Nikasema tume toba yarabiiiiii! Nachanwa na viwembe! Nikajikaza kumuuliza nikusaidie nini Mama? Nakusalimia tu Mwanangu! Wala usiwe na shaka! Mmmmmh! Nikasema anaitumishia Jini kwenye simu nini? Nikamwambia haya nashukuru (Mwenyewe kauzu zaidi ya dagaa) Hivo hivo kila siku asubuhi na jioni! Ananiambia watoto wametoka shule salama, leo tumekula mchicha tu, mara tumekula maharage, Mara nashukuru mwanangu leo tumeachiwa hela ya nyama! Mwisho yakanifika kooni, Nikamtukana tukana yule jibaba sikumwambia kama ni simu ya mkewe ndo imenitisha! Mwanamke ana gubu kanifanya mpaka dhamira inisute! Khaaaaaaaaaa!
housegirl wa jirani:heh:..........wa nyumbani tayari au hana mvuto..........kweli baadhi ya wanaume wana njaa iliyopitiliza.
mwana wane.....ndo maana nikamuuliza hg wa ndani kashapitiwa au bado..........loh hiki kipaji chako na watu8 kutofautisha red card na yellow card ni hatareeee
Teh teh ngoja nijiondokee mie!
unaelekea wapi thatha.
mwana wane.....ndo maana nikamuuliza hg wa ndani kashapitiwa au bado..........loh hiki kipaji chako na watu8 kutofautisha red card na yellow card ni hatareeee
Teh teh ngoja nijiondokee mie!
tehe tehe tehe, dah we jamaa! Wamefika mkuranga wanaelekea mtwara na sijui kama watafika
Haya mamuv yenu ya MMU huwa yanavutia...siku hizi badala ya kuwaangalia Orijino Komedi, huwa nakuja hapa one time nipate vimbwanga viwili vitatu...
Patna twenzetu wote...ngoja nipumzishe mbavu zangu mkoloni aningoja mie kesho!
hahahaha naona siku hizi unaingia mida hii
Pole patna kumbe mkoloni anakusubiri?
Haya bana we jipumzishe.
Huwa nina kama saa moja tu ya kuperuzi hapa kabla ya kuangusha....ndio maana waniona mida hii ya kukabidhiana lindo.
Usiku mwema...
Jamani mwenzenu mume wangu ananiambia nina husuda, hii ni nini? Kisa tu nimegundua anatembea na house girl wa jirani
Acha unyanyapaa.Kisa tu nimegundua anatembea na house girl wa jirani