Mume wangu anatembea na house girl wa jirani

Mume wangu anatembea na house girl wa jirani

Tatizo lake anamdharau huyo binti kwa kuwa eti ni housegirl wakati mumewe akifika kwa huyo binti anapumua kama vile kawekwa kwenye VENTILATOR.
"hausigeli" ana mambo!
Vinginevo mumewe ange-"hit-n-run".
The fact that mumewe hatoki kwa hii nyumbandogo inamaanisha nyumbani kuna samsing inapungua.
 
Tatizo la hawa wake wa siku hizo wanajua wakishawekwa ndan basi mchezo umeisha cyo kweli ndo 1 mchezo unakuwa umeanza wanajisahau mnooo
 
hakiyanani hawa wanaume
dawa ya hawa wezi ni kuziba
vikojoleo vyao tu,shikisha adabu khaaa!!
 
Ukiona anapata shida kwenda kwa jirani mletee wa kwake hapo nyumban kwa huu uzi umekaa kama taarifa na c ushauri
 
2013 watu walikuwa mazwazwa, njemba inajifanya mwanamke na watu wanachangia kwa furaha tu..

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni ke au
me ,ihii!

Mume wako? Wewe ni SHOGA kumbe?

Hahahaha Buji alituweza kweli alitengeneza akaunti feki anajiita gilesi mara ana matako malaini mara nini

Mods walivyokuja kuziunganisha tuliabika sana tulikua tunamtongoza Gilesi

Smtym JF ina vichekesho sana. Bora siku hizi hawaungi ungi username. Toka walivompiga umeme kinondoni sweetheart kumbe Kanugila
 
Back
Top Bottom