Mume wangu anatembea na house girl wa jirani

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]bujibuji mara hii umeshaotesha kinena? Hahahahaha
Kpndi hiko ndo alkua nacho saa hz mbaba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Hahahaha Buji alituweza kweli alitengeneza akaunti feki anajiita gilesi mara ana matako malaini mara nini

Mods walivyokuja kuziunganisha tuliabika sana tulikua tunamtongoza Gilesi

Smtym JF ina vichekesho sana. Bora siku hizi hawaungi ungi username. Toka walivompiga umeme kinondoni sweetheart kumbe Kanugila
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bujibuji....huyo ndo huyo housegelo
IMG-20210116-WA0004.jpg
 
Mkuu huyu n wewe au wifi aliepost[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanashangaza Mno hawa watu wanaojikuta kutafuta kiki kupitia ID mbalimbali ..cheki sasa kidume kimeumbuka
 
Hahahaha Buji alituweza kweli alitengeneza akaunti feki anajiita gilesi mara ana matako malaini mara nini

Mods walivyokuja kuziunganisha tuliabika sana tulikua tunamtongoza Gilesi

Smtym JF ina vichekesho sana. Bora siku hizi hawaungi ungi username. Toka walivompiga umeme kinondoni sweetheart kumbe Kanugila
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We ulimuuliza wanini? Mambo ya sasa ukijua Mumeo ana nyumba ndogo wala humcomfront, coz there is no way aka confess, na kutubu au kujuta! Sana sana ata eliminate all the evidence na kukugeuzia kibao cha kutokuwa na imani nae. Kama hivo anavokufanyia. Hio yote ni kupoteza maboya tu na kusanua soo liishe.

Ukipata ushahidi dnt panic, we withhold evidence na kuzidi kuiaccumulate mpaka itoshe kumconvict directly. Unakuwa na defence ya kontena kama chelsea ili asipate upenyo wa kuchomokea.

Na sio taarifa ya mashtaka unamsomea wewe, afu hakimu wewe tena! Atakuomba msamaha uwongo na kweli afu haina maana, resources zote zimepotea na mda.Taarifa anaipata kwa Nyumba ndogo a.k.a mgoni wako kuwa huku hali si shwari mkeo kaja kama bomu la B52 lenye Uranium na Nuclear kwa mpigo! Akirudi huku wewe wamchekea tu kama sio wewe! Lazima ahisi wataka kumpoison kama sio kumkaba na mto usiku!

Akijikosha unamwambia nani kakuuliza baba? Wala usinichoshe! Mwenzio keshapata full dose na kapona ugonjwa wake wa umala.ya bado wewe sasa dawa yako inachemka!

Nyumba ndogo za siku hizi sugu kuliko hata Mr. 2 mwenyewe! Ukijifanya mstaarabu atambeba jumla jumla! Nenda pale anzisha kumsuta kistaarabu na kumchimba biti, akijibu fyoko tu anzisha varangati afu wahi kushtaki polisi umefanyiwa fujo na kamuweke yule Beki tatu ndani wiki 2, afu mwambie ampigie mumeo akamtoe kama anampenda! Mumeo ilitakiwa apate taarifa apewe na Beki tatu akiwa ndani. Ndo ajue wewe sio mwepesi!

Mimi nilikuwa na Mume wa mtu ananizoea zoea kwa vocha, Mpesa na lift. Nikastukia tu siku Mtu ananipigia! Mimi Mama S, Mke wa flani? Nikasema tume toba yarabiiiiii! Nachanwa na viwembe! Nikajikaza kumuuliza nikusaidie nini Mama? Nakusalimia tu Mwanangu! Wala usiwe na shaka! Mmmmmh! Nikasema anaitumishia Jini kwenye simu nini? Nikamwambia haya nashukuru (Mwenyewe kauzu zaidi ya dagaa) Hivo hivo kila siku asubuhi na jioni! Ananiambia watoto wametoka shule salama, leo tumekula mchicha tu, mara tumekula maharage, Mara nashukuru mwanangu leo tumeachiwa hela ya nyama! Mwisho yakanifika kooni, Nikamtukana tukana yule jibaba sikumwambia kama ni simu ya mkewe ndo imenitisha! Mwanamke ana gubu kanifanya mpaka dhamira inisute! Khaaaaaaaaaa!
Duuuiiih hatariiiiiih
 
Kabuli hili nani kalifukua mweeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah.. hii technique imeenda shuleni c mchezo!
 
WAKATI MWINGINE WANAUME WATOKA NJE SI KWA SABABU YA TAMAA NI KWA SABABU YA NJAA.
 
WAKATI MWINGINE WANAUME TUNATOKA NJE SI KWA SABABU YA TAMAA NI KWA SABABU YA NJAA.
 
Back
Top Bottom