Mume wangu: Basi uwe unatumia kondomu!

Mume wangu: Basi uwe unatumia kondomu!

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,971
Reaction score
1,652
fikiria shemeji yako-mke wa rafiki yako-anakuita akikutaka uje haraka kwao.
Unafika home kwao unamkuta macho yamemvimba akilia kwa uchungu huku
mshikaji wako naye yuko pembeni akijifanya mkavu usoni, kisa eti ye ni
mwanaume na kichwa cha familia.

Baada ya utulivu kurejea shemeji anakwambia maneno haya: 'shemeji mshauri
mwenzio basi awe anatumia kondomu, maana wanawake zake wanajitamba kwangu
kuwa rafiki yako hajui kutumia hata kondomu'. Shemeji tuna watoto tukifa
sisi nani atawatunza na hivi maisha yalivyo magumu, si wataishia kuwa chokoraa
mtaani, shemeji!

Jamani sikujua niseme nini, huwezi amini nilikaa kimya na niliondoka kwa ahadi ya
kuja tena baadae. Jamani hebu nishaurini huyu mwanaume mwenzetu nikamwambie
nini maana inaonekana ni kweli jamaa mambo ya kinga hayajui. Kulishakuwa
na tetesi mtaani za wanawake watatu kuchoropoa mimba zake.
za
 
Duh! Hii kali sasa!!, hao wanawake si wawe wanamvalisha wao au wavae hata red pepeta.
Au ikiwezekana kwa kuwa ni rafiki yako mfundishe wewe ili aweze kuzitumia naye.
 
Huyo mwanamke achague moja kupata ukimwi au kulea ndoa!
 
Duh, huwa inafikia point hii kwa kweli
Tena kama anasafiri, unamfungashia kabisa, japo anakataa lakini akili kumkichwa

Wanamme akili zao wanazijua wenyewe.
 
Mwambie hivi..........Rafiki yangu, kwa kuwa inaonekana umeshindwa kujizuia, basi uwe unatumia condom ...............
 
AKITUMIA KONDOMU ATAPATAJE UTAMU???...AU NYIE HAMJUI ILE KITU INANOGA IKILIWA KAVUKAVU..SIO KWELI KWAMBE WATU HAWAPENDI KUTUMIA NDOMU ILA KAKA KUTEMBELEA RIM KUNA MA-FLAVOUR YAKE TUTAKE AU TUSITAKE...UKIMWI NI UGONJWA KAMA MALARIA CANCER AU HATA TYPHOID...KUFA KILA MTU ATAKUFA.

KUHUSU KUMSHAURI ATUMIE NDOMU...MWAMBIE SHEMEJI YAKO AKA MKEWE WAANZE MAZOEZI YA NDOMU HAPO HOMU KWAO NA YEYE MKEWE NDIO AWE ANAMVALISHA...nawakilisha
 
AKITUMIA KONDOMU ATAPATAJE UTAMU???...AU NYIE HAMJUI ILE KITU INANOGA IKILIWA KAVUKAVU..SIO KWELI KWAMBE WATU HAWAPENDI KUTUMIA NDOMU ILA KAKA KUTEMBELEA RIM KUNA MA-FLAVOUR YAKE TUTAKE AU TUSITAKE...UKIMWI NI UGONJWA KAMA MALARIA CANCER AU HATA TYPHOID...KUFA KILA MTU ATAKUFA.

KUHUSU KUMSHAURI ATUMIE NDOMU...MWAMBIE SHEMEJI YAKO AKA MKEWE WAANZE MAZOEZI YA NDOMU HAPO HOMU KWAO NA YEYE MKEWE NDIO AWE ANAMVALISHA...nawakilisha

Poa kaka, leo nilifikwa na huzuni sana kwa shem wangu. Ukiona hadi mke anakuitia kitu kama hii ujue
mtu amefikwa aiseee!
 
duh ni suala gumu sana maana hapo maamuzi yako yanaweza kujenga au kubomoa zaidi...
 
Aisee kwenye ndoa kuna mambo! Mume ni rafiki yako right?ongea nae kiume apunguze hiyo tabia ya uzinzi maana it seems kwa stage aliyofikia kuacha kabisa ni ndoto pia asisahau kinga,alafu huyo shemeji yako it seems ameamua kuivumilia hiyo hali so mwambie anunue box la condoms may be it might help..kha!
 
hahha usinidanganye ata siku moja...mke au mme akicheat hata tumia condom maana nyumbani anaipata skin to skin na alizhazoea so wategemea miujiza kuwa akicheat atatumia condom...wee ukipata mke au mume jua ulishajidainia kifo any time.
 
Duh, huwa inafikia point hii kwa kweli
Tena kama anasafiri, unamfungashia kabisa, japo anakataa lakini akili kumkichwa

Wanamme akili zao wanazijua wenyewe.

Wanawake nao hata ukiwa hujavaa hawana msimamo wakukataa yaani ukimshikashika kidogo tu tayari analainika mtu anakula.
Utadhani hawayajui madhara yake

Yaani wanawake bwana akilizao wanazijua wenyewe.
 
Huyo ana pepo la ngono, hatumii akili yake huyo, anahitaji kutolewa pepo tu kwa jina la Yesu mambo mengine yote yatakuwa sawa na ataacha zinaa kabisa. Pepo linataka auguwe ili asambaze ukimwi kwa wote atakaokuwa anatembea nao wa kwanza akiwa mkewe. Kutumia kondomu hawezi hapo ni sala tu zinahitajika kumrekebisha.
 
kama wewe mke utataka mme atumie condom ina maana kwa hawala anatakiwa apige live sasa hapo utakuwa unajenga au unabomoa??? cha msingi ni kitafuta tatizo na suluhu ya tatizo.. pia ni kumfanya mume atambue au ajitambue
 
kama wewe mke utataka mme atumie condom ina maana kwa hawala anatakiwa apige live sasa hapo utakuwa unajenga au unabomoa??? cha msingi ni kitafuta tatizo na suluhu ya tatizo.. pia ni kumfanya mume atambue au ajitambue

BPM
Suluhu??? You can never ever control the actions of another being sasa suluhu unaloongelea wewe ni lipi?????She can only control what happens to her, so kama si kutumia condom na huyo mumewe how else can she ensure she is protected!!............................urgh~

Ndyoko
Huyo shemeji yako hovyo kweli!! Kama anajua mumewe ni chupi mkononi, na tena ni wa pekupeku why cant she for the same love of their kids, put her foot down and ask for protected sex or nothing kama hawezi kuondoka?? :doh:
 
Tujaribu kuchunguza mahusiano mengi, utakuta mmoja akiwa kicheche basi mwingine anakuwa mtulivu... nadhani ni balance ya muumba ili dawa ya moto iwe maji na si moto... hebu fikiria viwembe tupu wakikutana ingekuwaje!! so hayo ndo majaribu ya ndoa.... na ndo mana wengine wanaziita ndoano!!!!
ushauri: kifupi hamna dawa hapo naomba umwambie hivyo huyo dada, hakuna ushauri hapo zaidi ya huyo dada kupiga magoti mbele ya mungu na kumlilia yeye... maana kama huyo gumegume la kiume kazoea, hata wakiitwa wazee wa kanisa, masheikh, mufti au askofu mkuu hataacha hiyo tabia.. wa kumbadili ni mmoja tu...baba aliye juu..
 
BPM
Suluhu??? You can never ever control the actions of another being sasa suluhu unaloongelea wewe ni lipi?????She can only control what happens to her, so kama si kutumia condom na huyo mumewe how else can she ensure she is protected!!............................urgh~ :doh:

so yuko tayari kuhakikisha anatoa uhuru wa jamaa kufanya nini kilichoko akilini mwake.. kuna mambo hutokea kwa muda ndo maana anatakiwa kuongea na mwenza kwanza atambue kwamba mwenza katambua then unaendelea na nini unataka kiwe na si kuamua matumizi ya condom ndani ya ndoa .. so unampa uhuru nani na kwa nini?? ina maana wewe unajiweka kwenye nafasi ya hawala
 
makubwa,matakufa na uyamu wenu lol!suala cio ku2mia ndom huyo ni malaya jaman ana mke na mahawara zaidi ya w3 khaa!ifile mahali wanaume mjifunze ku2lia jaman mcendekeze ngono na kuteketeza familia khaaa mmezidisha bwana halafu kuacha hamtaki,ndom nazo hamtaki kuvaa jaman.
 
hahha usinidanganye ata siku moja...mke au mme akicheat hata tumia condom maana nyumbani anaipata skin to skin na alizhazoea so wategemea miujiza kuwa akicheat atatumia condom...wee ukipata mke au mume jua ulishajidainia kifo any time.

Umetoa live na ukweli mchungu! Na mbaya zaidi, akiwa na nyumba ndogo anajidanganya yuko peke yake!
 
Back
Top Bottom