ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,652
fikiria shemeji yako-mke wa rafiki yako-anakuita akikutaka uje haraka kwao.
Unafika home kwao unamkuta macho yamemvimba akilia kwa uchungu huku
mshikaji wako naye yuko pembeni akijifanya mkavu usoni, kisa eti ye ni
mwanaume na kichwa cha familia.
Baada ya utulivu kurejea shemeji anakwambia maneno haya: 'shemeji mshauri
mwenzio basi awe anatumia kondomu, maana wanawake zake wanajitamba kwangu
kuwa rafiki yako hajui kutumia hata kondomu'. Shemeji tuna watoto tukifa
sisi nani atawatunza na hivi maisha yalivyo magumu, si wataishia kuwa chokoraa
mtaani, shemeji!
Jamani sikujua niseme nini, huwezi amini nilikaa kimya na niliondoka kwa ahadi ya
kuja tena baadae. Jamani hebu nishaurini huyu mwanaume mwenzetu nikamwambie
nini maana inaonekana ni kweli jamaa mambo ya kinga hayajui. Kulishakuwa
na tetesi mtaani za wanawake watatu kuchoropoa mimba zake.
za