tinkibiruka mhaya
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 929
- 794
Asante sana,🙏🙏🙏Mkuu Hapa umeupiga mwingi Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana,🙏🙏🙏Mkuu Hapa umeupiga mwingi Sana
Hayo sio mateso ndio raha ya ndoa yenyewe hiyo. Hakuna kitu hapa duniani kisichokuja na kero zake kikawa raha mwanzo mwisho.Anaonja onja tu ndo maana simuelewi hizi ndoa tunaolewa tu kuweka heshima Ila ni mateso tu. Bora mtu ubaki single.
Aisee 😂Nilipiga teke aseeh vyombo vyote na nililia then nilipata hasira Sana miye nipike afu usile,why?!!Tena anachokipenda ,mi Sio jeuri Kwa me ila nilichukia mnoo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji3][emoji2960]
Ukikua utajua TU[emoji16][emoji16][emoji2960][emoji2960] namuelewa sana miss Chuga,usiombe usiwe chakula na mwanaume inauma inapinch inafukuta balaaa ..Mimi siku Moja TU nililia na kupiga teke yeye Kila siku ,Mimi sijui ingekuajeAisee [emoji23]
Mimi hiyo jeuri sina aisee
Inauma sana,nawaelewa ila kwa kichwa cha huyu wangu kilivyo😂🤣Ukikua utajua TU[emoji16][emoji16][emoji2960][emoji2960] namuelewa sana miss Chuga,usiombe usiwe chakula na mwanaume inauma inapinch inafukuta balaaa ..Mimi siku Moja TU nililia na kupiga teke yeye Kila siku ,Mimi sijui ingekuaje
Je wakati anakula unampa uhuru au ndio unaanza kuuliza habari za Glory cheupe?.Habari zenu wapendwa?
Naombeni msaada Mume wangu amekuwa pasua kichwa hapendi kula nyumbani, najua kupika nampikia vyakula vizuri lakini akija anakula tu kidogo anaacha wakati mwingine hali kabisa ukimuliza hana sababu.
Mwanzo nilijua labda napika vibaya lakini siyo maana watu wengine wakila hata wageni wanakifurahia sana chakula mpaka wananisifia najua kupika Ila mme wangu ndo tatizo anaweza akala hata vijiko 5 akasema ameshiba.
Hii hali kwakweli inaniumiza sana akili na uzuri ana mwili nahisi labda atakuwa anakula uko nje akija anakuwa labda ameshiba maana kwa jinsi anavyokula hapa ndani alitakiwa awe hana hata afya yani kwa kifupi ni kama tu hali Ila anagusagusa, kuna wakati hadi nawaza sijui kalogwa.
Mumeo ni mlevi, basi akishakunywa pombe hufanya ubaguzi wa chakula cha kula hivyo hula kidogo hasa mboga mboga.
Pia mara nyingi hula bar anakonywea
😂😂😂😂 Jichunguze,punguza mdomo kwa mumeo.Alikuwa anakula vizuri tu hii tabia imeanza tu sahivi
Sijajua kwann kasahau kulitizama na hili.Mtu asipokula tayari unahisi amerogwa [emoji16] kwanini hujahisi labda ana minyoo
Hili ndo jibu japo linaumiza,ila ndo ukweliMmeo ana nyumba ndogo
Inaonyesha unampenda sana mumeo,na kashajua unampenda na huwezi kumuacha,Cha kufanya acha kimfatilia kikubwa endelea kimpikia tu vizuri,hasa chakula kile anachokipenda,akila vizuri au asipokula vizuri hiyo ni juu yake,Hawa watu Huwa hawabebeki hasa wakijua wanapendwa usiumize kichwa chako kwa mtu mzima mwenye akili na anayejua Nini anafanyaHuyu hanywi pombe kabisa yani ananiumiza sana akili, kuna kipindi dada yake alikuja nikafanya makusudi nikamuomba anisaidie kupika nia yangu nimuone Kama akirudi atakula alichopika dada yake pia nacho hakula hapo ndo nilipozidi kuona kuwa Kuna tatizo mahali.
Sasahivi nimeshakuwa Kama chizi sijiamini tena kila anayekuja akila chakula changu namuuliza hivi ni kitamu wananiambia ndio na wanavyokula pia unaona kabisa wanakifurahia sasa huyu mme wangu simuelewi, sijui anafanya hivi kunikomoa
Pole sana mkuu.Anaonja onja tu ndo maana simuelewi hizi ndoa tunaolewa tu kuweka heshima Ila ni mateso tu. Bora mtu ubaki single.
Kama wengine wanakula wanakisifia kwamba unajua kupika.Hapo ndipo shida.Chakula cha mumeounawapaje wengine?Habari zenu wapendwa?
Naombeni msaada Mume wangu amekuwa pasua kichwa hapendi kula nyumbani, najua kupika nampikia vyakula vizuri lakini akija anakula tu kidogo anaacha wakati mwingine hali kabisa ukimuliza hana sababu.
Mwanzo nilijua labda napika vibaya lakini siyo maana watu wengine wakila hata wageni wanakifurahia sana chakula mpaka wananisifia najua kupika Ila mme wangu ndo tatizo anaweza akala hata vijiko 5 akasema ameshiba.
Hii hali kwakweli inaniumiza sana akili na uzuri ana mwili nahisi labda atakuwa anakula uko nje akija anakuwa labda ameshiba maana kwa jinsi anavyokula hapa ndani alitakiwa awe hana hata afya yani kwa kifupi ni kama tu hali Ila anagusagusa, kuna wakati hadi nawaza sijui kalogwa.
Anaonja onja tu ndo maana simuelewi hizi ndoa tunaolewa tu kuweka heshima Ila ni mateso tu. Bora mtu ubaki single.
Wanawake mnapenda sifa,huwaga tunawasifia tu mmepika vzr hata kama mmekoroga tu,wanaume wngi tupo sensitive na quality wa chakula,nikiona unapika ili mradi tu nijaze tumbo na huko njw kuna migahawa ya maana kama kwa sele bonge au swahili food,kwako nitakuwa nakuja nikiwa nimeshashiba kabisa,makorokocho yako walishe watoto wako...Habari zenu wapendwa?
Naombeni msaada Mume wangu amekuwa pasua kichwa hapendi kula nyumbani, najua kupika nampikia vyakula vizuri lakini akija anakula tu kidogo anaacha wakati mwingine hali kabisa ukimuliza hana sababu.
Mwanzo nilijua labda napika vibaya lakini siyo maana watu wengine wakila hata wageni wanakifurahia sana chakula mpaka wananisifia najua kupika Ila mme wangu ndo tatizo anaweza akala hata vijiko 5 akasema ameshiba.
Hii hali kwakweli inaniumiza sana akili na uzuri ana mwili nahisi labda atakuwa anakula uko nje akija anakuwa labda ameshiba maana kwa jinsi anavyokula hapa ndani alitakiwa awe hana hata afya yani kwa kifupi ni kama tu hali Ila anagusagusa, kuna wakati hadi nawaza sijui kalogwa.
Wageni kama Wageni, haaa😀Hao wageni wanakula free meal lazima wakusifie tu hata kama kibaya. Chunguza ujue kama anakula nje ama la. Kwani huwa hamtoki OUT uone huko anakula vipi?
Kwenye sherehe mkienda ulaji wake upoje? Je wakati wa uchumba alikuwa anafurahia mapishi yako? Mbona kama vile humjui kabisa mumeo?
Ulisoma boarding? Ukinijibu nitatoa comment kwa sasa a reserve it.Habari zenu wapendwa?