Mume wangu hapendi kula nyumbani

Hilo jina lako mkuu! Balaaah kama wazee wa Casablanca.
 
Dah
Dah Yaani kama we no mwenye mume Kwa comment hii
 
Sahihi mimi jamaa ilikuwa hivyo hivyo,mkewe alikuwa anampikia vya kama wa wapemba,chapati rost maini,tambi,chapati na aina hiyo ya misosi! Jamaa zake ugali samaki au nyama😃😃
 

Nina uzoefu na hili, utakua hujui kupika, na hata kama unajiona kupika mumeo ha enjoy pishi lako. Wanawake wengi hudhani kwamba kukaanga sana ama viungo vingi ndio kujua kupika. Fanya utafiti mumeo anapenda vyakula vya aina gani. Jaribu kumuachia mtu mwingine apike hapo nyumbani utizame je mume atakula au la. Mumeo ni mstaarabu sana ndio maana anakaa kimya. Mi mke wangu nilimsimanga sana mpk akaenda VETA kusoma mapishi
 
Sasa kula ale mwingine halafu utuulize sisi? Tutajuaje Kwa Nini Hali??? Mambo mengine si ya kuulizana wenyewe huko chumbani?! Uwe unamuuliza kwanza kabla ya kupika mwambie ataje snachotaka kupikiwa na akute umekiandaa vzr halafu mpakulie na mle pamoja sio unamuacha ale peke yake! Kama hayo yatashindikana muulize Kwa upole kwamba haufurahii yy kutokula chakula chako na hiyo Hali inakuuuma
 
unampa Yass?
 
Ebu muonjeshe 0714
 
Inawezekana akitaka kukwambia anashindwa sababu huwa unaanza kujitetea badala ya kumuelewa. Wanaume hatupendi kurumbana na wanawake zetu majumbani. Tunataka utulivu na amani.

Muda mwingine mtu anatamani akwambie kuwa unakosea hapa na hapa kwa nia nzuri tu ila kwasababu ya haiba zenu wanawake kutokuwa wavumilivu na wastahimilivu plus mkiambiwa jambo mnaligeuza personal dakika hiyo hiyo,ndio maana kuna wanaume wanaona bora wakae kimya na kukwepa majibizano ambayo hayana faida kwao.
 
atakuwa Manyanya huyo
 
Itakuwa anakunywa sana pombe
 
inawezekana unajua sana mupika lakini je inajua mmeo hupenda kula nini? au wewe unajipikia tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…