Mume wangu hapendi kula nyumbani

Ah jamani
Mambo ndio magumu hivo
🤣🤣🤣
 
Kwa mentality uliyo nayo utaendelea kuteseka sana.
Heshima gani umepata hadi sasa? kuliwa huliwi na sasa hali chakula unachopila

Huna ubavu wa kuwa single.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]jamani mnampa makavu live daahhh!!
 
..ila wanawake waliokulia mbali na bahari kupika chakula kizuri chenye radha bado ni changamoto!
...... from my own experience.
Uongo yani jamii ya pwani inayojua kupika ni wazaramu na wandeleko lakini wazazibar ndiyo wabovu wakupika sana kupika mboga hawajui wanapika michuzi ya maji, kupika pilau hawajui pia kupika Samaki haaajui.
 
Dear pitia thread zake kwanza kuhusu uchumba mpk ndoa
 
Kama anapiga mitungi, jua tu tu anakula Bar na kuhusu wageni hao lazima wasifie maana ni wageni ila all in all maada anatimiza mahitaji ya nyumbani na ya ndoa, mengine achana nayo. mi mwenyewe kula home huwaa weekend tu maana nikitoka job napitia sehemu napiga kamnyweso na nyama au mchemsho ndio narudi home ila weekend nashinda home hadi sa11 ndio natoka.
 
Yes yaani ishara zilianza mapema Sana kabla ya ndoa yake, namuonea huruma mnoo
Mungu ampe faraja siku Moja ktk ndoa yake
 
Kuna watu hawana adabu humu, anaandika kitu unamuonea huruma kabisa kumbe anadanganya kuinjoi watu[emoji28]
Hahaha...hadanganyi huyuu anasema Kweli nachomshauri APAMBANE kusali snap na kuomba kwa Imani yake
 
Nimeisoma itakua kuna tabia mbaya alizionyesha baada ya yy kutolewa mahari labda dharau...thats why mama mkwe akawa hataki tena...na kaka amefosi kuoa naona labda sasa na yy ndo anayaona...itakua huyu bi dada hana heshima ana mdomo mchafu...
[emoji1][emoji38][emoji38][emoji125][emoji125][emoji125]kalpana Mungu anakuona
 
Nendeni Msalato ukamshauri
[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji38][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]depal aje ajifunze nyama choma
Miss chuga Mungu ampe hekima na busara ktk hili
Nilisusiwa kula siku Moja Tena ilikua hivi katoka kachelewa kurudi akakuta nshakula(utaratibu ni kula pamoja)we akagoma kula kasusa,dogo nilitupa sahani na vyakula nikapiga teke bwana wee[emoji38][emoji38][emoji38]nilikumbatiwa Kwa nguvu nkaombwa msamaha na sikussusiwa Tena ht nitoe boko
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuachika sio rahisi jaman.
Tumuombeee.
Ni rahisi km pia mwanaume humpendi huyu Bado anampenda siku akichoka hatosumbuka tena
 
[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…