Mume wangu hapendi ndugu zangu

mume wako inaonyesha anatabia kama ya rafiki yangu mmoja, yeye alikua hivyo kwa sababu ya kupenda vitu vizuri, chunguza ndg zako na huyo dogo awe mjanja mrembo uone, cha pili chunguza marafiki zake wanavyoishi utagundua tabia zake pia, ni mwonekano tuu hapo hamna wala kingine, na ustaarabu basi!!
.
.
huyo jamaa alikua anapenda sana familia yake ionekane ya kistaarabu sana, kimwonekano nk. kwake walikaa mabinti wawili wa kwanza alikuwa hampend hivyo hivyo ila wapili. mke alileta pini, kisu mstaarabu sana, jamaa alikua anamsapoti sana, japo hakua na tabia yya uzinzi!!
 
Amtafune huyo mdogo wako, ndio mambo yatakaa sawa..
 

Mwambie akapange huyo mdogo wako au Aende Hosteli. Simple Sana.

Kama ushajua Mumeo hataji Ndugu zako hapo nyumbani chakufanya ndio hicho.
Mambo ya kumuona Mbaya ni kumuonea.
Kwa sababu anachokifanya Kwa mdogo wako kuishi hapo kwenu sio Wajibu wake Bali ni hisanu. Na hisani sio lazima
 
Madam tunaomba picha ya mdogo wako ila Mzibe sura, tutakushauri vizuri
 
Ukisema hanipendi nanyong’onyea maana ananijali yani kuna vitu ananifanyia naridhika so nikimuhukumu kwa hili ntakua nakosea. Roho ya kimaskini siwezi Kupinga ila naikemea tu kwa jina la Muumba. Na ntafanyeje sasa ndo mume wangu wa ndoa
Hii ndoa bado ipo,maana si kwa nongwa hizi
 
Vipi kama angekuwa ni mdogo wa huyo mwanaume, halafu huyo mwanamke awe anamfanyia hivyo ingependeza?
 
Huyo jamaa yako roho ya ubinafsi ndio inamsumbua tu😂😂😂

Kwenye kesi inayoletwa na Mwanamke, usiyaamini maneno yake. Utakuja kunishukuru
Vipi kama angekuwa ni mdogo wa huyo mwanaume, halafu huyo mwanamke awe anamfanyia hivyo ingependeza?

Isingependeza naye apelekwe Huko Hosteli au akapangishiwe chumba.
Mambo mengine rahisi ila Watu wanapenda kuyafanya kuwa magumu.

Ndoa inahusu Watu Wawili, MKE na Mume. Hao ndio wanajali maslahi Yao tuu.
Kama mmoja wenu hakubaliani na Jambo Fulani, Jambo hilo liachwe. Kama ushawishi umeshindikana.

Hiyo ndio maana ya Familia, serikali na ufalme.
MKe lazima afuate maslahi ya mumewe.
Na mume lazima afuate maslahi ya Mkewe.
Maslahi hayo yahusu Haki za familia na sio vinginevyo
 
Mmeo huyo ni mbinafsi na mchoyo hio tabia alianza tangu mwanzo au baada tu ya kuishi na Mdogo wako hapo home.
 
moja ya tatizo kibwa sana kwenye ndoa ni ama mume aubmie kuleta ndugu zake bioa kumshirikisha mwenzie,ndugu waletwa kwa makubaliono ya pamoja vinginevyo hoyo ndoa itaingia dosari kubwa na itavunjika,kuna ndoa moja mwanza mke kalazimisha kuleta ndugu zake kwaabavu,sasa hiyo ndoa imekwisha kabisa imebaki jina tu
 
Roho ya ubinafsi hiyo mimi ndugu zangu huwa hawakanyagi kabisa ,kisa mume hata ndugu wa mume wanataka wao tu waje ila ndugu zangu wasije ,roho za ubinafsi hizo za kukemea
 
Ka Kasema uwezo wa hostel hana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…