Mume wangu hasimamishi, nifanyaje?!

Hizi ni cheap campaigns zenye lengo la kuhalalisha UASHERATI kabla ya ndoa kwa kigezo Cha 'kutest mitambo'. Na hamtafanikiwa kwa jina la Yesu.
Hujatoa solution ya tatizo la binti.

Hata kama ni warumi au walokole, utaratibu uko wazi, kesi kama hiyo ndoa inavunjwa. Aende akamwambie mchungaji wake.

Iko hivi, kama alikuwa mzima baafae ndo akapata hiyo shida, hapo ndoa haivunjwi.

Kama hajawahi kufanya penetration, hiyo ndoa ni batili na inavunjwa.
 
Basi huyo kavamia ulokole.basi naapambane na hali yake🤣🤣
 
Ndoa inaweza kuvunjwa endapo mwanaume au mwanamke hawezi kushiriki tendo la ndoa. Na endapo mmoja anaonesha kulalamikia suala hilo ndoa inavunjwa vizuri tu.
Sikujua ngoja akitoka kanisani anakuja kwangu kitamshauri aende Kwa mwanasheria
 
Sasa swala la dadaetu unamsaidiaje
 
Hapana! Hadi nimekubali kuolewa means nampenda sana jamaa hivyo tutakua pamoja kutafuta solution!
My dia, ndoa NI tendo la ndoa
Marriage is more thank love dear
Trust me nimekaa kwenye ndoa Miaka 40 najua nachokueleza
Ukiondoa neno nimempenda Sana mume wangu kwenye ndoa, ndoa lazima iendelee
 
Simamisha wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…