ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Nimezaliwa 79, utasemaje nimebalekhe juzi?Huyo nadhani amebalee juzi anamaliza form 4 kesho kutwa
Tumsamehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimezaliwa 79, utasemaje nimebalekhe juzi?Huyo nadhani amebalee juzi anamaliza form 4 kesho kutwa
Tumsamehe
Kama dudu haifanyi kazi vidole ndio mbadalaNdoa haiendeshwi na vidole
Anti Psycho amerudiUislam mwema sana.
Kwa keei kqmqnhiy I wwla hatuumizi vichwa, mume anatowa talaka na akigoma anapewa yeye talaka (inaitwa khuluu).
Sasa kwa Wakristo ndiyo analo hilo maisha na ndiyo kinakuwa kichocheo cha mwanamke kuzini na kidume lala ndiyo kinalea watoto wa wenzake huku kinachekelea.
Poleni sana.
ComNimezaliwa 79, utasemaje nimebalekhe juzi?
Sio kweliKama dudu haifanyi kazi vidole ndio mbadala
Lakini kasaidia kiasi fulaniHuyo nae akajambe mbele
Hajatatua tatizo hapo
NimeshaoaSio kweli
Tafadhali oa Kwanza tuone ndoa yako kama inaendeshwa na vidole au dildo au dyu dyu
Kote ameendaBila kufanya dhihaka, hali hii inaweza kumpata Mtu yeyote nashauri aende hospitali akishindwa kabisa ajaribu upande wa pili( mambo ya kiroho)....hii inaweza kuwa vita ya kutenganisha ndoa yao....wapambane watatoboa....
Du umeandika kweli kweliSi kweli kusema ndoa ya Kikristu haiwezi kutenguliwa kwa mwanaume kutosimamisha. Ili ndoa ihesabiwe kuwa imekuwepo kuna masharti matatu:
1. Ndoa iwe kati ya mwanaume na mwanamke.
2. Awepo mfungishaji ndoa anayetambulika (one to solemnise the marriage)
3. Hiyo ndoa itimilishwe (the marriage has to be consummated). Hili linatokea kwa tendo la ndoa kufanyika baada ya ndoa kufungwa.
Kanisa Katoliki ni mojawapo ya makanisa yanayoshika sana sheria na ndoa ya Kikatoliki haiwezi kutenganishwa isipokuwa kwa kifo tu. Ikitokea Padri Mkatoliki amefungisha ndoa na ikaja kufahamika baadaye kuwa mwanaume hasimamishi (kwa mfano kwa miezi 6 kama ulivyosema), ndoa hiyo itahesabiwa kuwa batili na itafutwa by annulment, kitendo ambacho ni sawa na kusema hakujawa na ndoa kwa kuwa haikutimilishwa (was never consummated). Baada ya annulment mwanaume na huyo mwanamke wana uhuru wa kufunga ndoa nyingine kanisani na mtu mwingine kwa kuwa wanahesabiwa sawasawa na hawajawahi kuoa au kuolewa kabla.
Hiyo ndoa imesitishwa kwa annulment na siyo talaka. Hakuna cha talaka kwenye Kanisa Katoliki. Talaka inatolewa kwa watu walioaana.
Kama kutosimamisha kumetokea baada ya ndoa kuwa consummated, labda mwanaume ameugua baada ya wiki moja ya ndoa kufungwa na kabla ya kuugua alikuwa "shwari' hiyo ni ndoa halali na haiwezi kutenguliwa kamwe isipokuwa kwa kifo tu.
Sababu nyingine inayoweza kuleta annulment ni pale inapokuja kujulikana kwamba wanandoa wana undugu wa damu, kwa mfano mtu na dada yake. Inawezekana mtu baada ya kuzaliwa alikwenda kuishi mbali na baada ya miaka akaja akakutana na mwenza wakaoana kanisani bila kufahamu kuwa ni mtu na dada yake. Wanaweza hata kuzaa watoto lakini ikija kugundulika kwamba wana undugu wa damu hiyo ndoa itasitishwa by annulment. Hakuna cha talaka hapo kwa kuwa ndoa ilikuwa batili. Ni sawa sawa na kusema hakujawa na ndoa hapo.
Bado hajasemaLakini kasaidia kiasi fulani
Dyu dyu yako ikiacha KUSIMAMA uje hapaNimeshaoa
Maisha ya Mtu yako mikononi mwake mwenyewe, aendelee na maisha yake mengine, serikali Iko nyuma yake kama kanisa haliwezi kumsaidia.....Kote ameenda
Kiroho ndio wamemfungia ndoa na ndio majibu wamempea
Hospital wameenda imeshindikana
Wasimamizi wa ndoa wameshindwa
Mchungaji kakataa kuvunja ndoa
Unataka afanyaje mtoto WA watu
Vizur mno, iko standby modeYakwako ndio inasimama??
SauwaMaisha ya Mtu yako mikononi mwake mwenyewe, aendelee na maisha yake mengine, serikali Iko nyuma yake kama kanisa haliwezi kumsaidia.....
Sio kaziKazi ipo
Ya wenzio haisimamiVizur mno, iko standby mode
Ili awe na mkeKama anajua hamna kazi alioa ili iweje?
🤣Sio kazi
Makasiriko