Mume wangu hasimamishi, nifanyaje?!

Mume wangu hasimamishi, nifanyaje?!

Haya mje sasa
Naona kumekucha
Haya MALALAMIKO nimeyapata Kwa dada alieolewa miezi 6 iliopita, kaolewa huko Kwa walokole

Kisa kinaenda hivi

Mlokole: Money penny me naumia Sana, huwezi amini tangu tuoane hatujawahi tembea pamoja kama MKE na mume

Money penny: Nini mbaya mami??

Mlokole: Mume hasimamishi nanii yake

Money penny: Kivipi?

Mlokole: unajua Sisi kabla hamjaolewa hairuhusiwi kuzini wala kujuana sehemu zenu za siri, nikavumilia na kutii maagizo ya kanisa, lakini tulipoongea Tu yupo honey moon nikajuà mwanaume hasimamishi, sijui nafanyaje na huu NI mwezi wa 6

Money penny: Umeenda kwa Mchungaji au wasimamizi WA ndoa wakasemaje?

Mlokole: wote wanasema ndoa haivunjwi kwasababu mwanaume hasimamishi kitakachovunja ndoa NI kifo tu na Mungu wenyewe Sisi haturuhusiwi

Sasa nifanyaje?

Msaidieni binti WA watu afanyaje
Muelekeze kwangu kwanini ateseke na msaada anaweza kupata
 
Si kweli kuwa NI KIFO TU ndicho kinachotenganisha ndoa ya Kikristo

Kuna mamho mengi yanayoweza kuivunja ndoa ya Kikristo, kwa mfano:-

1) Iwapo mmoja alidanganya kuwa ni mzima wa Afya kumbe ni Muathirika wa HIV

2) Iwapo Mmoja ana Uhanithi lakini hakusema na hakupimwa kabla ya ndoa kufungwa

3) Iwapo Mwenzi mmoja amejaribu kumuua mwenzie aidha wa sumu au kwa namna nyingine na ikathibitika

4) Iwapo mwenzi mmoja alikuwa na Ukichaa lakini hakuweka wazi kabla ya ndoa kufungwa


Nafikiri kuna mengine mengi


FaizaFoxy
sauwa boss
asante kwa mawazo mazuri
ila haujasema dadeti afanyaje
 
FB_IMG_1504214934992.jpg
Huyu mbona aliweza! Maduka mengi mbona wanauza betri na waya!!!
 
KWELI HATURUHUSIWI KUZINI WA KRISTO ILA KABLA YA NDOA YA KIKRISTO KUFUNGWA LAZIMA SWALA LA AFYA LA WAPENDANAO , PAMOJA NA UWEPO WA HAKI YA NDOA (TENDO) LINAZINGATIWA SANA NA MAFUNDISHO HUTOLEWA KWA WAPENDANAO ISIPO KUA SWALA LA KUPATA UZAO HILO NI LA MUNGU

KUMBUKA : NDOA YEYOTE YA KIKRISTO

Ndoa ya kikristo haifungwi kama mmoja wenu upande wa mwanaume au mwanamke ( mmoja kati yenu) amegundulika na changamoto nzito za kiafya baada ya tafiti za kitabibu kama UKIMWI AU UHANITHI AU USHOGA AU USAGAJI

Kwa upande wa mwanaume Hanithi au kwa upande wa mwanamke kichongeo hakipo kwa mantiki hiyo hawezi kutimiza fumbo la sakrament ya ndoa kwa vitendo vitakatifu

Huyo aliyefungisha ndoa ya aina hiyo nakusema hadi kifo basi hakua anajua alitendalo anapaswa kushitakiwa labda ukute tuu jamaa alianza tatizo la kutosimamisha akiwa teyari ndani ya ndoa ila kama alitoka nalo huko hiyo ndoa ni BATILI KIKRISTO

HIYO NDOA KIKRISTO NI BATILI NA INAVUNJIKA AKAE NA WATUMISHI VIZURI WANAIVUNJA NA KUFUTA AGANO HILO , WAKISHINDWA SERIKALI INAIVUNJA
Consummation of the marriage
 
Copulation ni moja kati ya vigezo vinavyoitambua ndoa. Kama mwanamke anaona mumewe hasimamishi
Penis[\SPOILER] na anakosa tendo la ndoa ana haki ya kuachna naye
Ili ndoa itambulike lazima vikojoleo viingiliane siku ya ndoa. Bila hivyo, hakuna ndoa. Cheti hicho kinakuwa ni kipande cha Karatasi kama Karatasi nyinginezo
 
Back
Top Bottom