Mume wangu hasimamishi, nifanyaje?!

Mume wangu hasimamishi, nifanyaje?!

Atafute mwanaume awe anamchachafya! masuara ya ngono ni ya muda 20’s had 50’s kuna muda watu wanaanza kuishi kama kaka na dada usije jua ndoa zote wanafanya hay matengo maisha yao yote
ndoa za kikristo haturuhusiwi kufanya ulichoandika
 
Haya mje sasa
Naona kumekucha
Haya MALALAMIKO nimeyapata Kwa dada alieolewa miezi 6 iliopita, kaolewa huko Kwa walokole

Kisa kinaenda hivi

Mlokole: Money penny me naumia Sana, huwezi amini tangu tuoane hatujawahi tembea pamoja kama MKE na mume

Money penny: Nini mbaya mami??

Mlokole: Mume hasimamishi nanii yake

Money penny: Kivipi?

Mlokole: unajua Sisi kabla hamjaolewa hairuhusiwi kuzini wala kujuana sehemu zenu za siri, nikavumilia na kutii maagizo ya kanisa, lakini tulipoongea Tu yupo honey moon nikajuà mwanaume hasimamishi, sijui nafanyaje na huu NI mwezi wa 6

Money penny: Umeenda kwa Mchungaji au wasimamizi WA ndoa wakasemaje?

Mlokole: wote wanasema ndoa haivunjwi kwasababu mwanaume hasimamishi kitakachovunja ndoa NI kifo tu na Mungu wenyewe Sisi haturuhusiwi

Sasa nifanyaje?

Msaidieni binti WA watu afanyaje
Hanithi hafungishwi ndoa.
 
mmm huyu chenga yaani alikuwa hata hagusi dudu kuona kama inahema?
 
Uislam mwema sana.

Kwa jambo kama hilo wala hatuumizi vichwa, mume anatowa talaka na akigoma anapewa yeye talaka (inaitwa khuluu).

Sasa kwa Wakristo ndiyo analo hilo maisha na ndiyo kinakuwa kichocheo cha mwanamke kuzini na kidume lala ndiyo kinalea watoto wa wenzake huku kinachekelea.

Poleni sana.
Kila kukicha unachit. Leo uislam. Kuna ID ya uislam hapa?
 
mmm huyu chenga yaani alikuwa hata hagusi dudu kuona kama inahema?
Hawajui wakikera wanaume wanailaza makusudikali. Ukitoka inasimama,unadinya na unarudi home. Hiyo inaitwa choka uende. Dadeeki. Af akiondoka,unavuta chombo unadinya hadi majirani wananyoosha mikono. Uliyetoa taarifa sasa unaaibika
 
hakuna kitu kama hicho
 
KWELI HATURUHUSIWI KUZINI WA KRISTO ILA KABLA YA NDOA YA KIKRISTO KUFUNGWA LAZIMA SWALA LA AFYA LA WAPENDANAO , PAMOJA NA UWEPO WA HAKI YA NDOA (TENDO) LINAZINGATIWA SANA NA MAFUNDISHO HUTOLEWA KWA WAPENDANAO ISIPO KUA SWALA LA KUPATA UZAO HILO NI LA MUNGU

KUMBUKA : NDOA YEYOTE YA KIKRISTO

Ndoa ya kikristo haifungwi kama mmoja wenu upande wa mwanaume au mwanamke ( mmoja kati yenu) amegundulika na changamoto nzito za kiafya baada ya tafiti za kitabibu kama UKIMWI AU UHANITHI AU USHOGA AU USAGAJI

Kwa upande wa mwanaume Hanithi au kwa upande wa mwanamke kichongeo hakipo kwa mantiki hiyo hawezi kutimiza fumbo la sakrament ya ndoa kwa vitendo vitakatifu

Huyo aliyefungisha ndoa ya aina hiyo nakusema hadi kifo basi hakua anajua alitendalo anapaswa kushitakiwa labda ukute tuu jamaa alianza tatizo la kutosimamisha akiwa teyari ndani ya ndoa ila kama alitoka nalo huko hiyo ndoa ni BATILI KIKRISTO

HIYO NDOA KIKRISTO NI BATILI NA INAVUNJIKA AKAE NA WATUMISHI VIZURI WANAIVUNJA NA KUFUTA AGANO HILO , WAKISHINDWA SERIKALI INAIVUNJA
Upo sahihi kabisa....

Hili la mtoa mada ni hadithi tu za kutunga, hamna ukweli hapo.
 
Back
Top Bottom