Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #181
siji
Njooo kwangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njooo kwangu
ya kwako ya ukweli iko wap mbona hujafungulia uzi basi unahemea kwangu?Upo sahihi kabisa....
Hili la mtoa mada ni hadithi tu za kutunga, hamna ukweli hapo.
Mwanamke ananjia nyingi za kujua km inahema, mfani hai mkienda kwenye mziki lazina atagundua km inahemadu, imehema ikiwa imelala
Si mnasemaga wameolgwa? Sasa! Kweli wamelogwa,mkiwa nae chaliii yupo hoi kalala chali,akija mwingine anasifia balaa. Ukiona hivyo,chukua vyupi vyako sepa.hakuna kitu kama hicho
aisee ndio mnajifariji sio?Mwanamke ananjia nyingi za kujua km inahema, mfani hai mkienda kwenye mziki lazina atagundua km inahema
atasikiaHuyo mchungaji ni wa mchongo hajui maandiko.
Ndoa ni tendo la ndoa na si kiapo mnachofanyiwa kanisani. Kama hakuna tendo la ndoa hapo hakuna ndoa.
Dada yuko huru kuolewa tena.
Huo ndio ukristo haswa, visa hivi vinatokea makanisani ingawa ni kwa uchache na ikitokea ndoa inavunjwa
aisee, mwenyewe umeona umejiiibu!Si mnasemaga wameolgwa? Sasa! Kweli wamelogwa,mkiwa nae chaliii yupo hoi kalala chali,akija mwingine anasifia balaa. Ukiona hivyo,chukua vyupi vyako sepa.
Ana hasira kama kalogewa JF.DU, NI YULE DADAYETU MWISLAM?
ANA SHIDA KWELI ANAGOMBANAGA NA KILA MTU HUKU
Nkadumbue vipi madam ?ili ukasumbua wanawake wengine sio?
huyo msamehe na mwombee toba kwa Mungu aje kwa Yesu kwanzaAna hasira kama kalogewa JF.
Uislam unafanya hivi unamwambia vile. Si akaende huko wanakosemaga hivo! JF anajua watu wengine wamelewa,anawaletea mawaidha humu.
Af ananuislam gani? Muislam wa kweli ana vitabia vya ajabu ajabu?! Mara Simba imefungwa, Allah. Mara umecomment hivi, mtume kasema. Mara ameona mada ya ngono,na yeye anataka. Tumechokaaa
ukasumbue sio kudumbuaNkadumbue vipi madam ?
Typing error nkasumbue vipi wakati huku sieleewi niendelee kukaa na chizi ?ukasumbue sio kudumbua
Kwa Yesu kufanya nini sasa na wewe! Unajifanya mambo yake huko sijui Yeliko au wapi(mitaa nimeisahau ila ni nchi za huko kwenye vita). Ikifika jioni huyooo,anakatiza mitaa kama hana akili nzuri. Sasa nae kumbe mademu wawili kwa pamoja. Maria na Marita. Sijui yeye alikua anahonga nini. Au alitumia ubabe tuhuyo msamehe na mwombee toba kwa Mungu aje kwa Yesu kwanza
hahahahahahha eti ngono
akikugusa na tako lake mwanaume lijali lazima liheme, (dudu)aisee ndio mnajifariji sio?
Limekuchoma? Soma,pitaaaa si ajabu ukawa umelogewa wewe. Njoo nikupe namba ya Sangomaaisee, mwenyewe umeona umejiiibu!
umemwona wapi akipita mitaa, una prove?Kwa Yesu kufanya nini sasa na wewe! Unajifanya mambo yake huko sijui Yeliko au wapi(mitaa nimeisahau ila ni nchi za huko kwenye vita). Ikifika jioni huyooo,anakatiza mitaa kama hana akili nzuri. Sasa nae kumbe mademu wawili kwa pamoja. Maria na Marita. Sijui yeye alikua anahonga nini. Au alitumia ubabe tu
nakuona pathetic looser, that's itLimekuchoma? Soma,pitaaaa si ajabu ukawa umelogewa wewe. Njoo nikupe namba ya Sangoma
aisee!akikugusa na tako lake mwanaume lijali lazima liheme, (dudu)
mimiamadiwenani njoo huku usome sio umekaa huko kutunisha mapua tuMWAMBIE AINGIZE KAMA UTAMBI