Mume wangu hasimamishi, nifanyaje?!

Mume wangu hasimamishi, nifanyaje?!

Huyo mchungaji ni wa mchongo hajui maandiko.
Ndoa ni tendo la ndoa na si kiapo mnachofanyiwa kanisani. Kama hakuna tendo la ndoa hapo hakuna ndoa.
Dada yuko huru kuolewa tena.
Huo ndio ukristo haswa, visa hivi vinatokea makanisani ingawa ni kwa uchache na ikitokea ndoa inavunjwa
 
atasikia
 
Si mnasemaga wameolgwa? Sasa! Kweli wamelogwa,mkiwa nae chaliii yupo hoi kalala chali,akija mwingine anasifia balaa. Ukiona hivyo,chukua vyupi vyako sepa.
aisee, mwenyewe umeona umejiiibu!
 
DU, NI YULE DADAYETU MWISLAM?
ANA SHIDA KWELI ANAGOMBANAGA NA KILA MTU HUKU
Ana hasira kama kalogewa JF.

Uislam unafanya hivi unamwambia vile. Si akaende huko wanakosemaga hivo! JF anajua watu wengine wamelewa,anawaletea mawaidha humu.
Af ana uislam gani? Muislam wa kweli ana vitabia vya ajabu ajabu?! Mara Simba imefungwa, Allah.
Kujitandia hakumaanishi ni muislam. Na soseji ukute anabugia tu.
Mara umecomment hivi, mtume kasema. Mara ameona mada ya ngono,na yeye anataka. Tumechokaaa
 
Ana hasira kama kalogewa JF.

Uislam unafanya hivi unamwambia vile. Si akaende huko wanakosemaga hivo! JF anajua watu wengine wamelewa,anawaletea mawaidha humu.
Af ananuislam gani? Muislam wa kweli ana vitabia vya ajabu ajabu?! Mara Simba imefungwa, Allah. Mara umecomment hivi, mtume kasema. Mara ameona mada ya ngono,na yeye anataka. Tumechokaaa
huyo msamehe na mwombee toba kwa Mungu aje kwa Yesu kwanza
hahahahahahha eti ngono
 
huyo msamehe na mwombee toba kwa Mungu aje kwa Yesu kwanza
hahahahahahha eti ngono
Kwa Yesu kufanya nini sasa na wewe! Unajifanya mambo yake huko sijui Yeliko au wapi(mitaa nimeisahau ila ni nchi za huko kwenye vita). Ikifika jioni huyooo,anakatiza mitaa kama hana akili nzuri. Sasa nae kumbe mademu wawili kwa pamoja. Maria na Marita. Sijui yeye alikua anahonga nini. Au alitumia ubabe tu
 
umemwona wapi akipita mitaa, una prove?
 
Back
Top Bottom