Mume wangu hataki msamaha wangu

Sawa naona unajifanya huelewi
No unajua wanawake wetu sometimes mnazingua sana! Hujataka kuuliza unafosi mtu apokee simu...kilichomponza mwenzio ni kupora simu na mie ukinifanyia hivyo lazma nikutie makofi sababu siwezi kukulazimisha kupokea simu yako
 
No unajua wanawake wetu sometimes mnazingua sana! Hujataka kuuliza unafosi mtu apokee simu...kilichomponza mwenzio ni kupora simu na mie ukinifanyia hivyo lazma nikutie makofi sababu siwezi kukulazimisha kupokea simu yako
Sijui huna macho husomi

Aliulizwa mbona hupokei simu hakujibu

Logically km mtu hufichi kitu
Unaweza sema ni mtu ananidai ila cz ni nyumba ndogo unakwama

Approach ya mke nayo ni ya kishenzi
Kilikutuma nini upotelee kwenu kuzaa?.
Badala ukae kwako umuweke mume busy kulea ujauzito na mtoto ukaona umuache free nafkr ni muda wa kuvuna ulichopanda
 
Mie nakwambia kabisa huyu mtu ananidai na sipokei simu sababu leo ndio nilimwambia ntampa af sina!
 
Thank you
Huwa sielewi mtu kwenda kujifungulia nyumbani kwao

Karibu, wengi hawajui ina mengi mazuri..

Inasikitisha kwanza mume kukosa kuona inakuwaje hadi mtoto kuzaliwa na baada mke anapitia nini.. bond inakosekana kabisaaaaa kwenye mapenzi na ndoa kuipaisha.. yaani anakuwa hajui hata mke anapitia nini.. anakosa kuona mtoto anavyokua na kukosa muda wa kubond nae pia manzoni..
 
Pole sana Happy!

Huenda mpaka sasa amechezea kichapo cha kutosha na simu amevunjiwa na huyo kichaa wake. Ushauri uliotolewa pengine hataweza kuuona.
Hapo ajipange kwa vyote kuachwa/kuachika sasa.

..........maisha lazima yaendelee tu...........
 
Anza mazoezi ya kunyanyua vyuma,piga push up,Ruka kichura,kuviringika,nk.Ili kujiweka tayari kwa lolote.
 
Ana makosa yapi? Wewe mtu kaamua asipokee simu yake kinakuwasha nini kuanza kupora simu isio yako? Ni utovu wa nidhamu na lazma nikulambe makofi!
Umeona simu tu hujaona ya kumkwepa mkewe.
 
Pole sana, muwahi wewe kabla hajakuwahi yeye...

Jaribu kuachana na simu yake kuepusha machafuko...
 
sijaona kosa la huyo dada la kusitahili kuomba msamaha

kuchunguza simu ya mumewe si kosa, maana mlinzi wa mume na ndoa kiujumla ni yeye

ninachokiona hapa, huyo jamaa yake ameshikwa masikio na mchepuko huko nje na hii ni kawaida kwa sisi wanaume!

wanaume hua tunakawaaida ya kujisahau tukiwa na kitu, ila kitu hicho kikiondoka hua tunajuta sana

ndio maana namshauri aondoke, na nina uhakikka atafatwa kwa magoti.
 
Binafsi
Binafsi ujauzito wangu ulikua changamoto sababu niltakiwa nikafanyiwe op hosp kubwa mi napoishi Kuna dispensary tu, hata clinic nilikua naenda bugando na niliandikiwa kabisa ikifika wk ya 38 nirud kwa ajir ya Op na nyumban ni huko mi napoishi nje kudogo
 
[emoji848]hii nzuri

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…