KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Sawa naona unajifanya huelewiHuenda mtu anaenidai unajuaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa naona unajifanya huelewiHuenda mtu anaenidai unajuaje
yule jamaa anayeambiwa na mkewe kuwa sijapika wala sijakununulia chochote km una njaa lala utakulA kesho, aje aone wenzie huku
No unajua wanawake wetu sometimes mnazingua sana! Hujataka kuuliza unafosi mtu apokee simu...kilichomponza mwenzio ni kupora simu na mie ukinifanyia hivyo lazma nikutie makofi sababu siwezi kukulazimisha kupokea simu yakoSawa naona unajifanya huelewi
Sijui huna macho husomiNo unajua wanawake wetu sometimes mnazingua sana! Hujataka kuuliza unafosi mtu apokee simu...kilichomponza mwenzio ni kupora simu na mie ukinifanyia hivyo lazma nikutie makofi sababu siwezi kukulazimisha kupokea simu yako
Mie nakwambia kabisa huyu mtu ananidai na sipokei simu sababu leo ndio nilimwambia ntampa af sina!Sijui huna macho husomi
Aliulizwa mbona hupokei simu hakujibu
Logically km mtu hufichi kitu
Unaweza sema ni mtu ananidai ila cz ni nyumba ndogo unakwama
Approach ya mke nayo ni ya kishenzi
Kilikutuma nini upotelee kwenu kuzaa?.
Badala ukae kwako umuweke mume busy kulea ujauzito na mtoto ukaona umuache free nafkr ni muda wa kuvuna ulichopanda
Thank you
Huwa sielewi mtu kwenda kujifungulia nyumbani kwao
Sio hivyo kwa wanaumeKwa ufupi tu huyo hakupendi ashakuchoka kuna mtu kaichukua nafasi yako kwa kipindi kile ambacho haukuwepo mapenzi yamehamia kwa aliyekuwa anamhudumia wakati wewe ukiwa mjamzito.
Kuna wakati mipango ina fail, hadi sim flani hatupokei na sijui kwa nini wanawake macho yao yote yapo kwenye simu zetuKama hujaona basi...
Simu inaita kama sio ya usaliti mbona hupokei mbele ya mkeo?.
Pole sana Happy!Naogopa Sana
Iko hivi Jana tulikua namaongezi na mzee sebulen mpaka saa 6 usiku sababu toka nimetoka nyumban kujifungua ni kama ananikwepa hivi.
Akitoka kazini anipita uwanjan kwenye mazoez mpaka saa 3 usiku akirudi anakaa seblen anaangalia mpira mpaka saa 7 ndio anakuja kulala na gafla ukija seblen unamkuta anachat na simu Sasa Jana nikaamua kumuuliza.
Tukiwa katika maongezi akapigiwa simu hakupokea ikarudia tena akaikata simu ikiwa vibration, Nikamwambia mbona hiyo simu unaikata? Nani anapiga akadai achana na simu bahati mbaya nikampokonya simu akaja juu achana na simu yangu akaninyonga mkono nikamng'ata mkono.
Uwiiii hapo ndio nilipoamsha mashetani sababu alinikimbiza anipige na rungu nikamtoroka nikajifungia chumbani namuomba msamaha hataki kunisikiliza.
Leo nimeamka namuomba msamaha hataki nifanyeje jamani.
Wasiwas wangu anaweza niua maana ana hasira Sana alafu chumban Kuna rungu na sime
Anza mazoezi ya kunyanyua vyuma,piga push up,Ruka kichura,kuviringika,nk.Ili kujiweka tayari kwa lolote.Naogopa Sana
Iko hivi Jana tulikua namaongezi na mzee sebulen mpaka saa 6 usiku sababu toka nimetoka nyumban kujifungua ni kama ananikwepa hivi.
Akitoka kazini anipita uwanjan kwenye mazoez mpaka saa 3 usiku akirudi anakaa seblen anaangalia mpira mpaka saa 7 ndio anakuja kulala na gafla ukija seblen unamkuta anachat na simu Sasa Jana nikaamua kumuuliza.
Tukiwa katika maongezi akapigiwa simu hakupokea ikarudia tena akaikata simu ikiwa vibration, Nikamwambia mbona hiyo simu unaikata? Nani anapiga akadai achana na simu bahati mbaya nikampokonya simu akaja juu achana na simu yangu akaninyonga mkono nikamng'ata mkono.
Uwiiii hapo ndio nilipoamsha mashetani sababu alinikimbiza anipige na rungu nikamtoroka nikajifungia chumbani namuomba msamaha hataki kunisikiliza.
Leo nimeamka namuomba msamaha hataki nifanyeje jamani.
Wasiwas wangu anaweza niua maana ana hasira Sana alafu chumban Kuna rungu na sime
🤣🤣Mpigie simu rafik yake au mchungj aje awasikilize asuluhishe.
Ila
Kama mwana ndoa vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uko vizuri mdada! We una kichwa chepesi hadi raha
Umeona simu tu hujaona ya kumkwepa mkewe.Ana makosa yapi? Wewe mtu kaamua asipokee simu yake kinakuwasha nini kuanza kupora simu isio yako? Ni utovu wa nidhamu na lazma nikulambe makofi!
sijaona kosa la huyo dada la kusitahili kuomba msamahaKwanini aondoke bila ruhusa ya mumewe,hawezi kuondoka na akiondoka kienyeji mwanaume anaweza kusema kuwa mke katoroka
Msamaha ni lazima aombe,maana yeye ndie aliyepokonya simu ya mumewe
Halafu ndoa si malumbano,usione ndoa zinadumu,bali bila mmoja kujishusha ndani ya nyumba inakuwa shida
Ndoa si jambo jepesi kama mnavyofikiri
Binafsi ujauzito wangu ulikua changamoto sababu niltakiwa nikafanyiwe op hosp kubwa mi napoishi Kuna dispensary tu, hata clinic nilikua naenda bugando na niliandikiwa kabisa ikifika wk ya 38 nirud kwa ajir ya Op na nyumban ni huko mi napoishi nje kudogoKaribu, wengi hawajui ina mengi mazuri..
Inasikitisha kwanza mume kukosa kuona inakuwaje hadi mtoto kuzaliwa na baada mke anapitia nini.. bond inakosekana kabisaaaaa kwenye mapenzi na ndoa kuipaisha.. yaani anakuwa hajui hata mke anapitia nini.. anakosa kuona mtoto anavyokua na kukosa muda wa kubond nae pia manzoni..
[emoji848]hii nzuriKuna njia nyingi :
1.Kama unampenda : Tuma ujumbe wa kuomba msamaha akirudi nyumbani ujifanye kama hamna tatizo anaweza akakaa kimya iko siku atajishitukia.
2.Kama umeshachoka hutaki vita: inategemea na hali ilivyo, unaweza kuamua kuondoka, uanze mchakato wa kutengana.
3. Kama vita ni vita: mvizie siku ataingia kwenye anga zako unambinya nani hii kisawa sawa hata apige kelele vipi akiendelea kufurukuta unampa onyo "ukiendelea utazipoteza" kuna mdau humu aliadabishwa kwa siku mbili alikuwa hata hawezi kutembea vizuri.
Ukweli ni kwamba mara nyingi ndoa hudumu kwasababu ya uvumilivu wa mwanamke !
[emoji4]kweli kabisaaaSiri moja ya wanaume wanaochepuka ni kuwa na hasira bila sababu ya msingi!! Nakupa za ndani kabisaa!!! Mchunguze.
mpaka ufikiwe ashachoka utabaki kubembeleza na kumpa pole na kwambali hao saba show yao sio ya kitoto!Wa nane ndio mimi aispate tabu...