Viumbe vya ovyo sana!Ni kweli
IPO hivi,mdogoangu alimfumania mumewe chumba cha pili wanapoishi,yule shemeji si akamtembezea kichapo cha mbwa koko mdogoangu,eti kamdhalilisha kwanini kapiga kelele[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viumbe vya ovyo sana!Ni kweli
IPO hivi,mdogoangu alimfumania mumewe chumba cha pili wanapoishi,yule shemeji si akamtembezea kichapo cha mbwa koko mdogoangu,eti kamdhalilisha kwanini kapiga kelele[emoji16]
Nyingine zinatokana na nini?Hasira zetu sio hadi tuwe na michepuko
Kuna siku mlilala njaa? Kuna siku alishindwa kutimiza mahitaji ya home? Achana na simuNaogopa Sana
Iko hivi Jana tulikua namaongezi na mzee sebulen mpaka saa 6 usiku sababu toka nimetoka nyumban kujifungua ni kama ananikwepa hivi.
Akitoka kazini anipita uwanjan kwenye mazoez mpaka saa 3 usiku akirudi anakaa seblen anaangalia mpira mpaka saa 7 ndio anakuja kulala na gafla ukija seblen unamkuta anachat na simu Sasa Jana nikaamua kumuuliza.
Tukiwa katika maongezi akapigiwa simu hakupokea ikarudia tena akaikata simu ikiwa vibration, Nikamwambia mbona hiyo simu unaikata? Nani anapiga akadai achana na simu bahati mbaya nikampokonya simu akaja juu achana na simu yangu akaninyonga mkono nikamng'ata mkono.
Uwiiii hapo ndio nilipoamsha mashetani sababu alinikimbiza anipige na rungu nikamtoroka nikajifungia chumbani namuomba msamaha hataki kunisikiliza.
Leo nimeamka namuomba msamaha hataki nifanyeje jamani.
Wasiwas wangu anaweza niua maana ana hasira Sana alafu chumban Kuna rungu na sime
Kwa ufupi tu huyo hakupendi ashakuchoka kuna mtu kaichukua nafasi yako kwa kipindi kile ambacho haukuwepo mapenzi yamehamia kwa aliyekuwa anamhudumia wakati wewe ukiwa mjamzito.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yeah ndo mimi banaMkuu wewe ndo muhusika nini?[emoji16]
tabu mko nane mtamchosha!
Ni kweli kwamba kuna muda unatakiwa kujishusha, lkn hii hapana, Msamaha umemwomba kwa kosa lipi?Naogopa Sana
Iko hivi Jana tulikua namaongezi na mzee sebulen mpaka saa 6 usiku sababu toka nimetoka nyumban kujifungua ni kama ananikwepa hivi.
Akitoka kazini anipita uwanjan kwenye mazoez mpaka saa 3 usiku akirudi anakaa seblen anaangalia mpira mpaka saa 7 ndio anakuja kulala na gafla ukija seblen unamkuta anachat na simu Sasa Jana nikaamua kumuuliza.
Tukiwa katika maongezi akapigiwa simu hakupokea ikarudia tena akaikata simu ikiwa vibration, Nikamwambia mbona hiyo simu unaikata? Nani anapiga akadai achana na simu bahati mbaya nikampokonya simu akaja juu achana na simu yangu akaninyonga mkono nikamng'ata mkono.
Uwiiii hapo ndio nilipoamsha mashetani sababu alinikimbiza anipige na rungu nikamtoroka nikajifungia chumbani namuomba msamaha hataki kunisikiliza.
Leo nimeamka namuomba msamaha hataki nifanyeje jamani.
Wasiwas wangu anaweza niua maana ana hasira Sana alafu chumban Kuna rungu na sime
Wasiwas wangu anaweza niua maana ana hasira Sana alafu chumban Kuna rungu na sime
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yeah ndo mimi bana
mkuu unaweza kuta maneno yako yamefanya mtu ajinyonge hukoKwa ufupi tu huyo hakupendi ashakuchoka kuna mtu kaichukua nafasi yako kwa kipindi kile ambacho haukuwepo mapenzi yamehamia kwa aliyekuwa anamhudumia wakati wewe ukiwa mjamzito.
Kwanini aondoke bila ruhusa ya mumewe,hawezi kuondoka na akiondoka kienyeji mwanaume anaweza kusema kuwa mke katorokanakushauri uondoke hapo kwake kwa muda,
kama wewe na mwanao mna umuhimu kwake
atakuja kwa magoti!
nakushauri usiombe msamaha, maana hujamkosea chechote
ondoka hapo, hata wiki haitoisha atakufata.