Mume wangu jamani nimechoka kudanganywa....

Mume wangu jamani nimechoka kudanganywa....

Mabaharia sikuhizi wanaangalia status ya mwanamke je una kazi nzuri, una mshiko hata ukiwa single mother of three kid's with money unapata mume fasta, zamani warembo waliotegemea uzuri wapate wenye pesa ni kilio tu kwa kwenda mbele na majonzi.

So zidisha kutafta hela mkuu, hata ukiwa mrembo vipi ka huna kitu ya kukuingizia kipato utasugua Gaga mpaka basi
 
Hebu saka maisha Dada usiende kunyanyasika kwenye ndoa ukakosa option ya kuondoka.

khaa[emoji849][emoji849] jobless ni stress za kutosha, na mume juu jamani?

Hakuna mwanamme anaependa mwanamke wa kukaa tu hasa zama hizi. Waone tu huku wanapopoa corporate women ujidanganye utaingia mikono mitupu.
Ushauri mzuri huu, ukiwa jobless mwanamke hata mtu wa kukutongoza ni shughuli pevu, wanaume wanapenda wanawake wapambanaji, namshauri mwanamke mwenzangu aweke juhudi kwenye kujitaftia kipato, then atakuja kupata mtu sahihi wakumpenda jinsi alivo
 
Chai yenye masala🤣🤣🤣
 
Mabaharia wa siku hzi hawatutaki sisi vyeusi Mangala, hawatutaki sisi jobless jamani, hawatutaki sisi tusiokuwa na Tako wala mguu [emoji2960][emoji38], hawatutaki sisi wapiga mizinga jamani, hawatutaki sisi vifupi nyundo... Loooh!! Lkn mme wangu najua ww utakuwa huna shda kbs na ivyo vigezo jmn [emoji16][emoji85].
Sasa madam:-
Huna Tako halafu una vigezo 30 kweli..??!!!!
We mtafute tu mradi anapumua msonge.

Na kengine mzigo lazima uliwe NDANI YA WIKI MOJA YA MTONGOZO.

#YNWA
 
Mabaharia sikuhizi wanaangalia status ya mwanamke je una kazi nzuri, una mshiko hata ukiwa single mother of three kid's with money unapata mume fasta, zamani warembo waliotegemea uzuri wapate wenye pesa ni kilio tu kwa kwenda mbele na majonzi.
So zidisha kutafta hela mkuu, hata ukiwa mrembo vipi ka huna kitu ya kukuingizia kipato utasugua Gaga mpaka basi
Unaongea kam pesa IKO. Naomba nikukabidhi moyo wangu
 
Haya husika na kichwa cha uzi umsaidie..[emoji2]
Mkuu wageni wa kwenye nyumba yako ya Evelyn wa Chumvi wanalalamika kuwa ni karibu week na zaidi hutoi pesa ya chakula na haurudi nyumbani, kumbe uko huku bar unalewa. Siyo poa mkuu, jerekebishe aisee. Nadhani umenipata kiongozi.
 
Najua na nimeona nataka nikija leta muendelezo niimalize kabisa! Yani nitoe jiwe la jumla nami nimechoka madeni kila Leo..😅
 
Back
Top Bottom