Mume wangu jamani nimechoka kudanganywa....

Mume wangu jamani nimechoka kudanganywa....

Hebu saka maisha Dada usiende kunyanyasika kwenye ndoa ukakosa option ya kuondoka.

khaa[emoji849][emoji849] jobless ni stress za kutosha, na mume juu jamani?

Hakuna mwanamme anaependa mwanamke wa kukaa tu hasa zama hizi. Waone tu huku wanapopoa corporate women ujidanganye utaingia mikono mitupu.
Tatizo kubwa la kina dada hasa hao jobless wanazingua hivi!! Mnakubaliana mnaishi unajipinda kidume unampa kimtaji hata kidogo halafu akishaanza kuona visenti inakuja tabia mpya ya ubinafsi na mungu anamakusudi yake unaweza kumpa kiamtaji kidogo halafu riziki inamtembelea,, wewe unapata mtihani wa kusimamishwa kazi hapo utajua hujui unaishi na mtu wa namna gani,, mwanamke muhudumie miaka 40 hakuna shida ila asikuhudumie siku 4 utajuta kabisa
 
Mabaharia wale baada ya wiki,, ila mume asubiri miez mitatu,, anasubiri nini?? wa dunia ipi huyo?? ili iweje? agundue nini??

Mkuu endelea kusali,, utakuja kupata...
 
Mume wangu nimechoka kudanganyika na mapenzi, nalizwa Mimi Kila wakati, nadanganywa na mabaharia. Usaliti jamani usaliti uliokithiri, nitafika kwako nikiwa nimechoka Sana [emoji1751] kwa presha ya moyo jamani. Je, umepanda basi gani jman mbn hufikiiii. Uko Burundi, Kenya, Mozambique, au Tanzania.

Mabaharia wa siku hizi wanataka utoe mzigo mapema hawataki ata kuvumilia angalau miez 6, wako na haraka Sana. Lakini najua Mume wangu uko uliko utakuwa mvumilivu Sana, tutaanza kupeana mbususu baada ya miez 3 kidogo jamani [emoji1751][emoji16].

Mabaharia wa siku hzi hawatutaki sisi vyeusi Mangala, hawatutaki sisi jobless jamani, hawatutaki sisi tusiokuwa na Tako wala mguu [emoji2960][emoji38], hawatutaki sisi wapiga mizinga jamani, hawatutaki sisi vifupi nyundo... Loooh!! Lkn mme wangu najua ww utakuwa huna shda kbs na ivyo vigezo jmn [emoji16][emoji85].

Nami najua mme wangu ww utakuwa ni Mume bora na baba bora kabisa. Vile vigezo vyangu 30 vyote nimevipunguza ss jamani, vimebakia tu usiwe mnywa pombe Sana, unywe kidg tu. Ww umbo lolote tu ata mwembamba, mnene, mfupi, mrefu, mweupe, mweusi sawa tu. Uwe na mapenzi ya dhati jamani. Miaka yoyote tu jmn.

Usichelewe Sana eti [emoji8][emoji177].
Mume wa mchongo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom