Mume wangu jamani nimechoka kudanganywa....

akiwa na tako ndoa fastaa mbona
 
Hahaha unajaribu kutupigia vyb la kiwaki...hatukubali we msubiri bwana wa mabwana
 
Mungu atakupa unayemuomba, nimependa mbali na usaliti wa mabaharia, bado una tumaini yupo wa kwako wa kuishi nae.

Usikate tamaa, Mungu ndio anajua yote.

Kila la kheri.
 
Hahahaahahahah

Nimecheka sana aiseeee. Ngoja nkasome nyuzi zako za nyuma
 
Bestyyyy mbona unatusemea??

Je kama wengine tunapenda golikipas ili all the time awepo home??

Nlikuwa najiuliza tu, hivi mume wa yule mlinzi wa Mama Samia anaishije???
 
Bestyyyy mbona unatusemea??

Je kama wengine tunapenda golikipas ili all the time awepo home??

Nlikuwa najiuliza tu, hivi mume wa yule mlinzi wa Mama Samia anaishije???
Labda nimekariri kwamba we are all supposed to bring to the table something.

I could never be too comfortable being provided for.
 
Huu uandishi ni wa kijana wa kiume
 
Hao ni mabaharia.

Hao ni vijana wa hovyo hovyo!

We are talking about Class. Class is permanent
 
Oh new era, new problem
 
No we are not.

Kila situation hapo na uzuri wake. All in all, hakuna formula kwenye hizi mambo
True.

Some men can very well handle every penny spent in running a home and have no issues whatsoever.

Others find joy in having a hardworking woman even without sharing financial obligations.

Wengine huko hawapo na kule hawapo, ila wapo wapo tu 🤣
 
Kuna wadau wanasema wote wanaojifungua mwez huu wana roho ngumu sanaa..yaan wakt nchi ikiwa kweny majonz wao walikuwa wanavunja amri ya 6 tena kavu kavu....nje ya madaa...sasa kwny hili tangazo lako naomba nkujulishe tu kuwa PM ipo wazi...tupiamo kaujumbe nami nitakasomaa...mm pia nmechoka kumsubiria mke..bora tumalizane hapa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…