Mume wangu jamani nimechoka kudanganywa....

Tatizo kubwa la kina dada hasa hao jobless wanazingua hivi!! Mnakubaliana mnaishi unajipinda kidume unampa kimtaji hata kidogo halafu akishaanza kuona visenti inakuja tabia mpya ya ubinafsi na mungu anamakusudi yake unaweza kumpa kiamtaji kidogo halafu riziki inamtembelea,, wewe unapata mtihani wa kusimamishwa kazi hapo utajua hujui unaishi na mtu wa namna gani,, mwanamke muhudumie miaka 40 hakuna shida ila asikuhudumie siku 4 utajuta kabisa
 
Mabaharia wale baada ya wiki,, ila mume asubiri miez mitatu,, anasubiri nini?? wa dunia ipi huyo?? ili iweje? agundue nini??

Mkuu endelea kusali,, utakuja kupata...
 
Mume wa mchongo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…