Mume wangu jamani nimechoka kudanganywa....


Maake kwanza nichekeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaaan kila nikifikiria kumuoa Johhana mwanamke wa ndoto zangu lkn nikikumbuka tuu kuwa huwa anabeti na anajua mikeka yote nachoka kabisa daaahπŸ˜‡πŸ€£
 
Sio Mimi Bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu wajina...Mimi Nina ngalangala langu tayari
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa kwenye mahusiano na mwanaume rijali na akakuvumilia miezi 6 bila kumpa game,jua anapewa huko nje na ataendelea kupewa na huyohuyo hata baada ya kuoana.

Mtu hauko bikra na mbaya zaidi unahitaji uhudumiwe miezi yote hiyo 6 uliyobana mapaja.

Ngumu kumeza hiyo!
 
Ukipewa ndo utamuoa?. Wangapi umewadanganya mpaka Sasa?
 
Shangazi hamia kwenye kilimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…